Mwalimu Lwaitama: Kesi ya Mbowe: " Rais Samia anayo Mamlaka ya kuifuta"

Asante sana mkuu kwa kutupatia somo.
 
Ungesema ile parallel power pale nyuma ya usukani ndiyo tatizo:

View attachment 1985214

Ungeeleweka vyema.

Wanajiita taasisi ya urais. Iko ibara gani ya katiba, composition vyote haijulikani.

Yahaya unaishi wapi? Au nakazia yako Kinondoni?
Hii picha uliyo iweka ni mfano mzuri wa mapungufu ya katiba yetu.
 
Hii picha uliyo iweka ni mfano mzuri wa mapungufu ya katiba yetu.

Mbaya wetu yawezekana wala siyo CCM bali kuna kundi limejipa taasisi isiyokuwepo kwenye katiba.

Wanaita urais ni taasisi. Wajumbe wake hawajulikani. Wanakampeni wapi wanajumuishwa vipi haijulikani.

Hao wanajua aliko Ben Azory Lijenje na hata nani walikuwa kwenye viroba.

Umizoomi ID zao zina mengi ya kusema. Ni wasiojulikana wanaojulikana.
 
Ipo siku ambayo vinywa vyao vitaropoka mabaya yoote waliyo yatenda kwa jamii ya watanzania.
 
Ipo siku ambayo vinywa vyao vitaropoka mabaya yoote waliyo yatenda kwa jamii ya watanzania.

Uzuri tunaendelea kuwajua kwani tunajua na majaji wamo.

Waulize je alipo Lijenje kama lao moja?
 
Hujui hata maana ya uhuru wa mahakama....
kilichozungumzwa ni kufuta kesi....
ambapo kimsingi bado ipo kwenye mamlaka ya DPP ambae ni mteule wa raisi
 
Hii kesi Ni ya kihuni,mama walimdanganya hata mtoto mpumbavu anajua kabisa h.i Ni kesi ya kishenzi.kesi ya ugaidi wa laki sita
 
H Hamna kesi pale, fikiri vizuri!
 
Sheria za CCM
 
Yule ni tapeli tu, subili afikishe 75 ndo utamjua kuwa ni mwalimu tapeli
 
Bila shaka wewe ni akili kubwa ndio maana sijakuelewa mimi akili ndogo.

Akili kubwa ni huyo anayenukuliwa yaani kile chanzo chenyewe cha uzi.

Wala usijishaue.

Vipi ni size yako?
 
Akili kubwa ni huyo anayenukuliwa yaani kile chanzo chenyewe cha uzi.

Wala usijishaue.

Vipi ni size yako?
Subirini atakapokula mvua za kutosha na kwenda jela na kumkuta tayari Ole Sabaya ni Nyampara ndio mtaleta hizi stupid philosophies zenu!
 
Hawezi kufuta kesi inayo endelea mahakamni. Anaye weza kuifuta ni DPP.
Lakini chakushangaza kesi ya mbowe ushahidi umechukuwa kama miaka miwili kukamilika. leo kuna watu ndani zaidi ya miaka sita upelezi haujakamilika. Kuna walokamatwa kwa ugaidi mapaka leo ni miaka 8.
Mbowe kapata unafuu na kesi yake kwenda haraka. Hii ni njia moja kumtowa ,kwani kama mawakili wazuri basi atatoka tuu. nakama atashtakiwa anayo haki ya kukata Rufaa.

Kwa hivyo tusubirini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…