Mwalimu Maganga Japhet asimamishwa kazi kwa tuhuma za utoro kazini na kukaidi maelekezo ya viongozi wake

Mwalimu Maganga Japhet asimamishwa kazi kwa tuhuma za utoro kazini na kukaidi maelekezo ya viongozi wake

Watumishi wangapi wanasimamishwa kazi au kufukuzwa kazi kila siku hatujawahi ona "Tangazo kwa Umma"?

Kuna kitu hakiko sawa dhidi ya huyu Mwalimu. Hizi nguvu zote za kumchafua in public ni obvious jamaa kawashinda, so wanatafuta public sympathy
 
This man is a true man.

Walimu wamepata mkombozi sema huwa wanafanyiana figisu tu.

Vitisho vyote hajawahi ogopa anachapa kazi tu. Anapambana kuwaunganisha awalimu lakini wachache sana wanatuika vibaya. Mtu unajua yuko kwenye majukumu ya ukatibu mkuu unamfukuza kwa utoro?.

Huyu mkurugenzi sijui kama alizaliwa kawaida. Hajui katibu mkuu anamajukumu makubwa sana.

Kumnyanyasa mtu hata Mungu hapendi. Wivu haujawahi kuishia pazuri.
Mkurugenzi ni kama hawa watanzania wengi walio humu, wanamuona jamaa ni mjinga kwa kutokuwa mtu wa ndiyo mzee. Mamlaka zinamsulubu isivyo halali na watanzania wamekaa wanamcheka kuwa alibugi, halafu wakimaliza kucheka wanasema wanataka katiba mpya.

Yaani kifupi ni kuwa shule watu wamesomea ujinga. Ni wanafiki mwanzo mwisho.
 
Huu ni ujinga likely a political motivated decision, unatutangazia kwani wakati anaomba ruhusa ulitangaza?

Kwahiyo mtumishi akisimamishwa kazi tunatangaziwa? Haya mambo yanatokea wapi wajameni au mimi ndio sielewi jinsi mambo yanavyoendeshwa hapa Tz?
Huyo Mkurugenzi amekosa Weledi katika kazi, Barua za namna hiyo huwa ni siri, sasa anautangazia umma ili iweje?
 
Kunawatanzania leo tungekuwa tunatawaliwa na mkoloni - Nyerere asinge tukomboa.
 
Huu ni ujinga likely a political motivated decision, unatutangazia kwani wakati anaomba ruhusa ulitangaza?

Kwahiyo mtumishi akisimamishwa kazi tunatangaziwa? Haya mambo yanatokea wapi wajameni au mimi ndio sielewi jinsi mambo yanavyoendeshwa hapa Tz?
Huyo Mkurugenzi amekosa Weledi katika kazi, Barua za namna hiyo huwa ni siri, sasa anautangazia umma ili iweje?
Si bado katibu cwt

Ova
Ukikosa sifa ya kuwa Mwalimu moja kwa moja unakosa sifa ya kuwa Kiongozi wa CWT.
 
Mwalimu Japhet Maganga ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania(CWT) amesimamishwa kazi na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Ikumbukwe kuwa mwalimu huyu ana tuhuma nyingi zinazomkabili kwenye Chama cha Walimu Tanzania.

Sehemu ya barua hiyo imesema

''Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, ndugu Elihuruma Mabelya anapenda kuufahamisha Umma kuwa, Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) ambayo ndiyo mamlaka ya nidhamu ya Walimu, imemsimamisha kazi Mwalimu Maganga Moses Japhet aliyekuwa Mwalimu wa shule ya Msingi Tandika iliyopo kata ya Tandika, tangu leo, Desemba 05,2023.

Mwalimu Maganga Moses Japhet amesimamishwa kazi kutokana na tuhuma za utoro kazini na kukaidi au kukataa maelelekezo halali ya viongozi wake.''

Ikumbukwe Mwalimu Maganga aliwahi kuteuliwa na Rais Samia kuwa Mkuu wa Wilaya lakini akakataa uteuzi ule.

Lakini pia, aliamriwa kurejea kazini kwake Manispaa ya Temeke lakini bado akakaidi. Zaidi soma >Katibu mkuu CWT agoma kurudi Temeke kufundisha

View attachment 2835741
Mwalimu Japhet Maganga​

Pia soma

Huyu mbwiga kuna file lake mwezi februari litakuwa takukuru na ataanza msoto wa mahakamani
 
Hakuna rangi ataacha kuona ni suala la muda tu na atafungwa kwa kesi ya wizi hapo CWT.

Huo uteuzi alioukataa ilikuwa ni mbinu ya kuwatoa viongozi wote hapo CWT na baadae wangetenguliwa uDC na kustaafishwa kwa manufaa ya umma km ilivyotokea kwa DC wa Tabora Bwana Komanya!
 
Wanamualika kwenye siasa. Ngoja aje awasumbue huko.
Ogopa sana watu wanaojiamini. Siasa inayotumika inaweza kumfanya awe na nguvu zaidi kuliko sasa.
Labda wamfunge kwa tuhuma za wizi wa fedha za cwt.
Abdul Nondo walimfukuza chuo kikuu akageuka kuwa mwiba kwa ccm, naye huyu asije kuwa mwiba utao wachoma.
 
Back
Top Bottom