JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Hiyo ni kweli.😳wee,sema kweli?
Tangu aingie kayakuta yale magenge yaliyowaondoa watangulizi wake.
Amepambana kila wakitafuta namna ya kumuondoa hawaoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni kweli.😳wee,sema kweli?
Mkurugenzi ni kama hawa watanzania wengi walio humu, wanamuona jamaa ni mjinga kwa kutokuwa mtu wa ndiyo mzee. Mamlaka zinamsulubu isivyo halali na watanzania wamekaa wanamcheka kuwa alibugi, halafu wakimaliza kucheka wanasema wanataka katiba mpya.This man is a true man.
Walimu wamepata mkombozi sema huwa wanafanyiana figisu tu.
Vitisho vyote hajawahi ogopa anachapa kazi tu. Anapambana kuwaunganisha awalimu lakini wachache sana wanatuika vibaya. Mtu unajua yuko kwenye majukumu ya ukatibu mkuu unamfukuza kwa utoro?.
Huyu mkurugenzi sijui kama alizaliwa kawaida. Hajui katibu mkuu anamajukumu makubwa sana.
Kumnyanyasa mtu hata Mungu hapendi. Wivu haujawahi kuishia pazuri.
Huyo Mkurugenzi amekosa Weledi katika kazi, Barua za namna hiyo huwa ni siri, sasa anautangazia umma ili iweje?Huu ni ujinga likely a political motivated decision, unatutangazia kwani wakati anaomba ruhusa ulitangaza?
Kwahiyo mtumishi akisimamishwa kazi tunatangaziwa? Haya mambo yanatokea wapi wajameni au mimi ndio sielewi jinsi mambo yanavyoendeshwa hapa Tz?
Kunawatanzania leo tungekuwa tunatawaliwa na mkoloni - Nyerere asinge tukomboa.Mkurugenzi ni kama hawa watanzania wengi walio humu, wanamuona jamaa ni mjinga kwa kutokuwa mtu wa ndiyo mzee. Mamlaka zinamsulubu isivyo halali na watanzania wamekaa wanamcheka kuwa alibugi, halafu wakimaliza kucheka wanasema wanataka katiba mpya.
Yaani kifupi ni kuwa shule watu wamesomea ujinga. Ni wanafiki mwanzo mwisho.
Huyo Mkurugenzi amekosa Weledi katika kazi, Barua za namna hiyo huwa ni siri, sasa anautangazia umma ili iweje?Huu ni ujinga likely a political motivated decision, unatutangazia kwani wakati anaomba ruhusa ulitangaza?
Kwahiyo mtumishi akisimamishwa kazi tunatangaziwa? Haya mambo yanatokea wapi wajameni au mimi ndio sielewi jinsi mambo yanavyoendeshwa hapa Tz?
Ukikosa sifa ya kuwa Mwalimu moja kwa moja unakosa sifa ya kuwa Kiongozi wa CWT.Si bado katibu cwt
Ova
Huyu mbwiga kuna file lake mwezi februari litakuwa takukuru na ataanza msoto wa mahakamaniMwalimu Japhet Maganga ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania(CWT) amesimamishwa kazi na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Ikumbukwe kuwa mwalimu huyu ana tuhuma nyingi zinazomkabili kwenye Chama cha Walimu Tanzania.
Sehemu ya barua hiyo imesema
''Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, ndugu Elihuruma Mabelya anapenda kuufahamisha Umma kuwa, Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) ambayo ndiyo mamlaka ya nidhamu ya Walimu, imemsimamisha kazi Mwalimu Maganga Moses Japhet aliyekuwa Mwalimu wa shule ya Msingi Tandika iliyopo kata ya Tandika, tangu leo, Desemba 05,2023.
Mwalimu Maganga Moses Japhet amesimamishwa kazi kutokana na tuhuma za utoro kazini na kukaidi au kukataa maelelekezo halali ya viongozi wake.''
Ikumbukwe Mwalimu Maganga aliwahi kuteuliwa na Rais Samia kuwa Mkuu wa Wilaya lakini akakataa uteuzi ule.
Lakini pia, aliamriwa kurejea kazini kwake Manispaa ya Temeke lakini bado akakaidi. Zaidi soma >Katibu mkuu CWT agoma kurudi Temeke kufundisha
View attachment 2835741
Mwalimu Japhet Maganga
Pia soma
Na ndicho kinachofuataHuyu mbwiga kuna file lake mwezi februari litakuwa takukuru na ataanza msoto wa mahakamani
ubishi wa kufukuzwa kazi? huyu hatakiwi serikalini, kinachofanyika ni kumuondoa kwa kufuata sheria, muda si mrefu anafukuzwa.Ila jamaa mbishi safi sana
Ova
Mwalimu huyu ndio Mpwayungu Village mwenyewe.Naona ameamua kumsikiliza Mpyayungu village
Huyo DED anatafuta uteuzi bloangu,sio kwa misifa hiyoHuu ni ujinga likely a political motivated decision, unatutangazia kwani wakati anaomba ruhusa ulitangaza?
Kwahiyo mtumishi akisimamishwa kazi tunatangaziwa? Haya mambo yanatokea wapi wajameni au mimi ndio sielewi jinsi mambo yanavyoendeshwa hapa Tz?
Kufuata procedure za sheria na sio kuzingatia sababu za yeye kutokuwa kazini (substantial)
ubishi wa kufukuzwa kazi? huyu hatakiwi serikalini, kinachofanyika ni kumuondoa kwa kufuata sheria, muda si mrefu anafukuzwa.