Mwalimu Maganga Japhet asimamishwa kazi kwa tuhuma za utoro kazini na kukaidi maelekezo ya viongozi wake

Utoro siku tatu tu unafukuzwa kazi sasa yy siku 18 Bado anadunda ni mwenzao huyu sema ndio hivyo angekuwa mwingine na kesi angepewa.
 
Khaa umemkalia kooni mwenzio sijui maokoto yanakuumaaa😁😁
 
Ndio maana alishtuka, na hata sasa kashastuka... Mganga kafanya mengi mazuri ndani ya chama, kazuiwa wizi wa wanasiasa basi mnamfanyia fitina... Ila hazitasaidia hata akitaka maokoto mliyataka yashawapitaaa!
 
Kina vitu haviwekwi sawa,kwanza katika Serikali ukisha pata kazi mahala pengine unaweza pewa ruhusa kwa muda usiozidi miaka 3 na baada ya hapo kurejea kwako katika cheo chako itategemeana na Mwajiri wako kama ana nafasi hiyo.
 
1. Disastrous politics of CWT.

2. State colonization of Trade Unionism.
 
Serikali inaihofu CWT kwa sababu pekee ina wanachama 49% ya ikama ya watumishi wa nchi.

Dawa pekee ya serikali kusalimika na hofu hiyo ni kuigawa CWT kuwa 2:-

1. CWT ya Walimu wa sekondari.

2. CWT ya Walimu wa shule za msingi.

Au

1. CWT ya sekta rasmi.

2. CWT ya sekta binafsi.
 
Inakuwaje Mwalimu wa Shule ya Msingi anakuwa Katibu wa Chama cha Walimu Tanzania,huku kuna Walimu wa vyuo wenye Elimu na uzoefu.haya ni maajabu ya 10 ya Dunia.
Ni maajabu haya hata Mimi Huwa nashangaa Sana.
Vyeo vingi Huwa wanapewa walimu WA shule za msingi.

Waratibu elimu kata ni walimu shule za msingi.
Viongoz WA Cwt ngaz ya wilaya ni walimu shule ya mingi.
Viongoz WA Cwt ngaz ya mkoa ni walimu shule ya msingi.

Viongoz Kwa upande wa elimu ngazi ya wilaya Kwa upande wa elimu msingi na sekondari wengi ni walimu WA msingi.

Nilichokuja kuelewa Huwa ni swala la maadili kwenye uongoz maana hao watu Wana Ile haiba haswa japo kiupeo ni weupe Sana alafu wakikomalia jambo hutok kabisa ni watu wenye roho za kukunja Sana.
 
Kwani kile chama kipya cha walimu tulichokisikia hii miezi ya karibuni kimeishia wapi?
 
Yaani mshahara wote ule bado hajajipanga mpaka arudi kwenye ualimu,ni mjinga tu anaweza kurudi kwenye chaki
Imagine mshahara,tenda ya kutengeneza skafu na kofia bado mwalimu saccos kweli arudi kwenye chaki?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Inakuwaje Mwalimu wa Shule ya Msingi anakuwa Katibu wa Chama cha Walimu Tanzania,huku kuna Walimu wa vyuo wenye Elimu na uzoefu.haya ni maajabu ya 10 ya Dunia.
Wao ndo wengi kwa hiyo huwa wanachagua wa msingi mwenzao mambo ya anafaa au hafai hayawahusu
Wao wanachoangalia awe msingi mwenzao

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…