Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaa umemkalia kooni mwenzio sijui maokoto yanakuumaaa😁😁Mwalimu Japhet Maganga ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania(CWT) amesimamishwa kazi na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Ikumbukwe kuwa mwalimu huyu ana tuhuma nyingi zinazomkabili kwenye Chama cha Walimu Tanzania.
Sehemu ya barua hiyo imesema
''Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, ndugu Elihuruma Mabelya anapenda kuufahamisha Umma kuwa, Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) ambayo ndiyo mamlaka ya nidhamu ya Walimu, imemsimamisha kazi Mwalimu Maganga Moses Japhet aliyekuwa Mwalimu wa shule ya Msingi Tandika iliyopo kata ya Tandika, tangu leo, Desemba 05,2023.
Mwalimu Maganga Moses Japhet amesimamishwa kazi kutokana na tuhuma za utoro kazini na kukaidi au kukataa maelelekezo halali ya viongozi wake.''
Ikumbukwe Mwalimu Maganga aliwahi kuteuliwa na Rais Samia kuwa Mkuu wa Wilaya lakini akakataa uteuzi ule.
Lakini pia, aliamriwa kurejea kazini kwake Manispaa ya Temeke lakini bado akakaidi. Zaidi soma >Katibu mkuu CWT agoma kurudi Temeke kufundisha
View attachment 2835741
Mwalimu Japhet Maganga
Pia soma
Ndio maana alishtuka, na hata sasa kashastuka... Mganga kafanya mengi mazuri ndani ya chama, kazuiwa wizi wa wanasiasa basi mnamfanyia fitina... Ila hazitasaidia hata akitaka maokoto mliyataka yashawapitaaa!Hakuna rangi ataacha kuona ni suala la muda tu na atafungwa kwa kesi ya wizi hapo CWT.
Huo uteuzi alioukataa ilikuwa ni mbinu ya kuwatoa viongozi wote hapo CWT na baadae wangetenguliwa uDC na kustaafishwa kwa manufaa ya umma km ilivyotokea kwa DC wa Tabora Bwana Komanya!
Afu ye yupo kimyaaaaaa....!anawaangalia Tu alafu anasemma hiiiiii.....!wananijua hawa?mi sitishwagi bagosha.nikienda kushitaki kwa Babu mtajua....!Huyu amewashinda,msituchoshe
Angekubali uteuzi Sasa hivi angekuwa anakula upepo laini ndani ya shangingi la SerikaliBoss hanuniwi
Huenda sasa hivi atakuwa anajuta kimyakimyaWaswahili husema, Mkataa Pema. . .
Mshahara wa DC ni 4M,inawezekana huko kwenye Ukatibu anapata zaidi ya hiyo hata ungekuwa wewe lazima ungekataa.Angekubali uteuzi Sasa hivi angekuwa anakula upepo laini ndani ya shangingi la Serikali
1. Disastrous politics of CWT.Mwalimu Japhet Maganga ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania(CWT) amesimamishwa kazi na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Ikumbukwe kuwa mwalimu huyu ana tuhuma nyingi zinazomkabili kwenye Chama cha Walimu Tanzania.
Sehemu ya barua hiyo imesema
''Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, ndugu Elihuruma Mabelya anapenda kuufahamisha Umma kuwa, Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) ambayo ndiyo mamlaka ya nidhamu ya Walimu, imemsimamisha kazi Mwalimu Maganga Moses Japhet aliyekuwa Mwalimu wa shule ya Msingi Tandika iliyopo kata ya Tandika, tangu leo, Desemba 05,2023.
Mwalimu Maganga Moses Japhet amesimamishwa kazi kutokana na tuhuma za utoro kazini na kukaidi au kukataa maelelekezo halali ya viongozi wake.''
Ikumbukwe Mwalimu Maganga aliwahi kuteuliwa na Rais Samia kuwa Mkuu wa Wilaya lakini akakataa uteuzi ule.
Lakini pia, aliamriwa kurejea kazini kwake Manispaa ya Temeke lakini bado akakaidi. Zaidi soma >Katibu mkuu CWT agoma kurudi Temeke kufundisha
View attachment 2835741
Mwalimu Japhet Maganga
Pia soma
Serikali inaihofu CWT kwa sababu pekee ina wanachama 49% ya ikama ya watumishi wa nchi.Mwalimu Japhet Maganga ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania(CWT) amesimamishwa kazi na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke. Ikumbukwe kuwa mwalimu huyu ana tuhuma nyingi zinazomkabili kwenye Chama cha Walimu Tanzania.
Sehemu ya barua hiyo imesema
''Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, ndugu Elihuruma Mabelya anapenda kuufahamisha Umma kuwa, Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) ambayo ndiyo mamlaka ya nidhamu ya Walimu, imemsimamisha kazi Mwalimu Maganga Moses Japhet aliyekuwa Mwalimu wa shule ya Msingi Tandika iliyopo kata ya Tandika, tangu leo, Desemba 05,2023.
Mwalimu Maganga Moses Japhet amesimamishwa kazi kutokana na tuhuma za utoro kazini na kukaidi au kukataa maelelekezo halali ya viongozi wake.''
Ikumbukwe Mwalimu Maganga aliwahi kuteuliwa na Rais Samia kuwa Mkuu wa Wilaya lakini akakataa uteuzi ule.
Lakini pia, aliamriwa kurejea kazini kwake Manispaa ya Temeke lakini bado akakaidi. Zaidi soma >Katibu mkuu CWT agoma kurudi Temeke kufundisha
View attachment 2835741
Mwalimu Japhet Maganga
Pia soma
Ni maajabu haya hata Mimi Huwa nashangaa Sana.Inakuwaje Mwalimu wa Shule ya Msingi anakuwa Katibu wa Chama cha Walimu Tanzania,huku kuna Walimu wa vyuo wenye Elimu na uzoefu.haya ni maajabu ya 10 ya Dunia.
Kwani kile chama kipya cha walimu tulichokisikia hii miezi ya karibuni kimeishia wapi?Serikali inaihofu CWT kwa sababu pekee ina wanachama 49% ya ikama ya watumishi wa nchi.
Dawa pekee ya serikali kusalimika na hofu hiyo ni kuigawa CWT kuwa 2:-
1. CWT ya Walimu wa sekondari.
2. CWT ya Walimu wa shule za msingi.
Au
1. CWT ya sekta rasmi.
2. CWT ya sekta binafsi.
Wao ndo wengi kwa hiyo huwa wanachagua wa msingi mwenzao mambo ya anafaa au hafai hayawahusuInakuwaje Mwalimu wa Shule ya Msingi anakuwa Katibu wa Chama cha Walimu Tanzania,huku kuna Walimu wa vyuo wenye Elimu na uzoefu.haya ni maajabu ya 10 ya Dunia.