Mwalimu Maganga Japhet asimamishwa kazi kwa tuhuma za utoro kazini na kukaidi maelekezo ya viongozi wake

Si bado katibu cwt

Ova
Kwa Kanuni za Kiutumishi za CWT, Katibu Mkuu anatakiwa kuwa Mwalimu aliye kazini ila anayefanya kazi CWT kwa kuazimwa kwa muda maalum. Kwa kitendo cha kusimamishwa, automatically, anakuwa amesimama pia kuwa Katibu Mkuu wa CWT. Na nafikiri wamemsimamisha muda huu ili "ASIWEPO JUKWAANI" kwenye Maadhimisho ya Siku wa Mwalimu yatakayofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Manispaa ya Ilemela tarehe 13/12/2023.
 
Huyo Mkurugenzi amekosa Weledi katika kazi, Barua za namna hiyo huwa ni siri, sasa anautangazia umma ili iweje?

Ukikosa sifa ya kuwa Mwalimu moja kwa moja unakosa sifa ya kuwa Kiongozi wa CWT.
Bado ni mwalimu, amesimamishwa tu ila hajafukuzwa
 
Huenda sasa hivi atakuwa anajuta kimyakimya
Majuto makuu maana aliacha mbachao kwa mswala upitao,

Japo sikatai ulikuwa ni uamuzi wake binafsi ambao ni muhimu kuuheshimu lakini alisahau position yake kuwa yeye ni mwalimu na huku kwengine ni kwa ruhusa tu,

Sasa ndio hayo, ulaji kauacha
 
Na mimi naungana na wewe kuamini kuwa Mwl Maganga ndiye Mpwayungu Village…utafiti ufanyike kubainisha hilo….
😂😂😂😂
Jamaa anajifanyaga kuwakandya walimu kumbe ye mwenyewe ni Teacher tena wa Makuyuni primary School.
 
Alivyomtoa jenista na katelephone kwenye payroll ya marupurupu ya cwt ndipo shida ilipoanzia,

Dah, mwamba akomae nao tu
 
Hivi vijamaa vyenye sura kama nyoka ni changamoto sana we mtu gani masikio kama yamebandikwa mama nae awe anaangalia watu wa kuwapa teuzi wilaya gani wakaongozwe na kijitu kama hicho huyu na wenziwe ni wakuwafunga kabisa wameiba mno pesa za walimu hawa makhumazan
 
Ni lazima tutangaziwe usijifanye huelewi tusipotangaziwa tutajuaje?kama unampenda sana kanywe nae Chai Makota koya!!
 
We na wewe walewale tu mwizi mkubwa
 
Kimsingi hawa viongozi wetu wa TSC na huyu Mkurugenzi wanatumika na Deus, Serikali wasichokijua ni kwamba Deus anawachezea mchezo mbaya na furaha ya Deus ni Kuona Mwamba huyo anatoka katika hiyo Nafasi.. SERIKALI INATUMIKA VIBAYA
 
Kimsingi hawa viongozi wetu wa TSC na huyu Mkurugenzi wanatumika na Deus, Serikali wasichokijua ni kwamba Deus anawachezea mchezo mbaya na furaha ya Deus ni Kuona Mwamba huyo anatoka katika hiyo Nafasi.. SERIKALI INATUMIKA VIBAYA
Huyu Deus ndio nani? Tunaweza tuka mu-expose pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…