Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kwa Kanuni za Kiutumishi za CWT, Katibu Mkuu anatakiwa kuwa Mwalimu aliye kazini ila anayefanya kazi CWT kwa kuazimwa kwa muda maalum. Kwa kitendo cha kusimamishwa, automatically, anakuwa amesimama pia kuwa Katibu Mkuu wa CWT. Na nafikiri wamemsimamisha muda huu ili "ASIWEPO JUKWAANI" kwenye Maadhimisho ya Siku wa Mwalimu yatakayofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Manispaa ya Ilemela tarehe 13/12/2023.Si bado katibu cwt
Ova