JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Okay. Hili ni balaa.Ndiye aliyekuwa Katibu Mkuu kabla ya Maganga.. Hawa ni maadui ndani ya CWT
Anazani atarudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay. Hili ni balaa.Ndiye aliyekuwa Katibu Mkuu kabla ya Maganga.. Hawa ni maadui ndani ya CWT
Hee.. nina wadogo zangu walimu.Yanakuhusu Nini?
Alitakiwa kusoma alama za nyakati. Wakati anapewa UDC ilikuwa imeshapangwa kuwa hatakiwi tena kule CWT. Sasa kagomea U DC na kule CWT kaondolewa.Mshahara wa DC ni 4M,inawezekana huko kwenye Ukatibu anapata zaidi ya hiyo hata ungekuwa wewe lazima ungekataa.
Hata akifukuzwa Kazi bado ataendelea kuwa Mwalimu kama Mtumishi, lakini atakosa sifa kwa kuwa atakuwa amefukuzwa Kazi.Bado ni mwalimu, amesimamishwa tu ila hajafukuzwa
Mwalimu wa Primary anawatoa jasho tusubiri wakianza wa sekondari na vyuoMkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, ndugu Elihuruma Mabelya anapenda kuufahamisha Umma kuwa, Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) ambayo ndiyo mamlaka ya nidhamu ya Walimu, imemsimamisha kazi Mwalimu Maganga Moses Japhet aliyekuwa Mwalimu wa shule ya Msingi Tandika iliyopo kata ya Tandika, tangu leo, Desemba 05,2023.
Hakuna Chombo kibovu kama TSC, sehemu kubwa huwa wanatumika tu, hawapo pale kwa ajili ya kutetea Walimu hata kidogo.Kimsingi hawa viongozi wetu wa TSC na huyu Mkurugenzi wanatumika na Deus, Serikali wasichokijua ni kwamba Deus anawachezea mchezo mbaya na furaha ya Deus ni Kuona Mwamba huyo anatoka katika hiyo Nafasi.. SERIKALI INATUMIKA VIBAYA
Kwahiyo wale waajiriwa wa kudumu pale cwt wote ni walimu?Huyo Mkurugenzi amekosa Weledi katika kazi, Barua za namna hiyo huwa ni siri, sasa anautangazia umma ili iweje?
Ukikosa sifa ya kuwa Mwalimu moja kwa moja unakosa sifa ya kuwa Kiongozi wa CWT.
Basi katiba yao ndio kifungo, waondoe hicho kipengele ili katibu awe independently sio lazima awe mwalimu muajiriwa lkn angalau awe amesomea taaluma ya ualimuKwa Kanuni za Kiutumishi za CWT, Katibu Mkuu anatakiwa kuwa Mwalimu aliye kazini ila anayefanya kazi CWT kwa kuazimwa kwa muda maalum. Kwa kitendo cha kusimamishwa, automatically, anakuwa amesimama pia kuwa Katibu Mkuu wa CWT. Na nafikiri wamemsimamisha muda huu ili "ASIWEPO JUKWAANI" kwenye Maadhimisho ya Siku wa Mwalimu yatakayofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Manispaa ya Ilemela tarehe 13/12/2023.
BAsi akifukuzwa kazi bila utumishi maana yake utumishi bado anabaki nao lkn kazi ya ualimu ndio wameichukua basi cwt wamrudishie ukatibu wake kwakuwa anayo sifa ya utumishi kwakuwa hawajampora utumishi wakeHata akifukuzwa Kazi bado ataendelea kuwa Mwalimu kama Mtumishi, lakini atakosa sifa kwa kuwa atakuwa amefukuzwa Kazi.
Kwa kosa analotuhumiwa nalo adhabu yake ni "KUFUKUZWA KAZI BILA UTUMISHI" na hawezi kutoboa labda awahi kwenda kwenye Tume ya Usuruhishi na Upatanishi "CMA" la sivyo kinachofuata ni KUFUKUZWA KAZI BILA UTUMISHI.