Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa ! Na wangemuelewa tu !Angekuwa na ujasiri kwa kuwaambia "nilikuwa na njaa, nikala hizo pesa".
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
HaifikiSorry.
Yaani mwalimu ameshindwa kuhimili shutuma.
Ukute hela yenyewe ni elfu hamsini.
Fear of unknown ✅According to Sumaye fear of an knowing❌
Sasa ukiwa na mamilioni uoga wa nini.Kuna watu wanaiba mamilioni ya serikali wapo na hawafanywi kitu, uoga ni mbaya sana.
Walimu ni wazalendo sana yaani amekula Hela ndogo tu ya umma kajitoa uhai wakati politician wanataduna mabillioni ya umma na wala hawajaliWatu wanadaiwa madeni mazito sana na hawajizuru, huyu atakuwa legelege sana.