Mwalimu Mwakasege: Corona ndio Tauni kwa mujibu wa Biblia

Mwalimu Mwakasege: Corona ndio Tauni kwa mujibu wa Biblia

Sasa Mwalimu Mwakasege anashauri nini Waumini wake na Watanzania kwa ujumla?!

Na yeye anaamini ni kagonjwa kadogo tu, na hivyo watu wasitishike na badala yake waendeleze business as usual, au?!
 
Kwahiyo hii tunayo ijua sio Tauni ni Town
 
Kwa mujibu Wa Mwl Mwakasege kama umesikiliza vizuri..alichosema ni kuwa kwenye biblia Tauni inamaanisha ugonjwa wowote unaoambukiza haraka na akalinganisha na Corona kwa sasa na bado ameongeza kwa kusema kuwa yeye anasimamia neno na si sayansi yetu hii ambayo ukitafsiri wote tutasema kuwa ni plague na organism ni Yersnia kama mdau alivyosema juu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ndio upo sahihi.

Sibishani.
 
Hawa viongozi wote wa dini wameprove failure kipindi hiki cha corona kimewaumbua. Pumbavu zenu kama mnaweza kuombea vipofu wakapona viziei wakasikia hii corona ni nini kwenu?? Eti na wao wanaisubiria dawa kutoka marekani pathetic


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa dini bwana, wabinafsi sana. Nyakati hizi za gonjwa hatari yeye bado anaendesha semina? Tuendelee hivi hivi, tutazidi kusononeka!!
 
Mwakasege ajakusanya watu alikua anaongea mbele ya camera bila ya watu tuacheni upotoshaji
mhhh, kwamba hakuna audience, ? jana nimefuatilia kwenye TV naona yupo kwenye Jukwaa ila camera imeelekezwa kwake mwanzo mwisho, Je ni kwamba kaenda uwanjani bila ya kuwepo watu au wameamua kutoonesha waumini waliokuwepo uwanjani?
 
Naomba nijulishwe na wanaowaamini hawa watu, kwani ni aina gani ya magonjwa wanayoponywa na hawa manabii/mitume wenu.
Isije wataalamu/wanasayansi wamegundua dawa na wao ndio wajifanye wamepata ufunuo wa kuponya korona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aache uongo. Spanish flu ilikuwa na rate kuwa ya kuua kuliko Coronavirus.
Watu mamilioni walikufa. Spanish flu pia ilikuwa tauni ?
Plague ni ndiyo tauni jamani.
 
Back
Top Bottom