Mwalimu Mwakasege: Corona ndio Tauni kwa mujibu wa Biblia

Mwalimu Mwakasege: Corona ndio Tauni kwa mujibu wa Biblia

Kwan haiwezekan yeye kuhubiri bila audience acha kukariri
sijasema haiwezekani nisome tena, "alikuwa jukwaani ikimaanisha ni uwanjani" wewe kwa akili yako unaweza kufunga Jukwaa kisha ukahubiri bila wasikilizaji?
 
sijasema haiwezekani nisome tena, "alikuwa jukwaani ikimaanisha ni uwanjani" wewe kwa akili yako unaweza kufunga Jukwaa kisha ukahubiri bila wasikilizaji?
Umefuatilia mahubiri yake tokea ameanza juzi, Kama ulikua unafuatilia huwez uliza maswali yasiyo na kichwa
 
mhhh, kwamba hakuna audience, ? jana nimefuatilia kwenye TV naona yupo kwenye Jukwaa ila camera imeelekezwa kwake mwanzo mwisho, Je ni kwamba kaenda uwanjani bila ya kuwepo watu au wameamua kutoonesha waumini waliokuwepo uwanjani?
Zile kamera ni kwa ajili ya watu wa mitandaoni(LIVE-you tube) watu wa nje ya nchi na ndani + UPENDO TV + CABLE YA ARUSHA(jina limenitoka) + online Radio

sasa pale hana audience na alisema mapema kuwa ni kwa njia ya Radio na Mitandao(you tube) + Upendo Tv na cable flani hivi ya Arusha

Na anasikika zaidi ya Radio 17+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameandika plague ila kwenye bibliia ya kiswahili wakisema tauni wanamaanisha huo ugonjwa wenyewe wa tauni na kama ni janga la kumaliza watu wengi hawajaliita tauni kwenye kitabu cha ufunuo wameandika ni mapigo na kuna sehemu wameandika misiba ila sehemu walizoandika tauni wamemaanisha huo ugonjwa wenyewe wa tauni....ila biblia za kiingereza plague imebeba maana 2 hio tauni yenyewe na hayo mapigo......mleta mada angesema ni mapigo na si tauni maana ukishasema tauni unaenda moja kwa moja kwenye ugonjwa wenyewe na si majanga ya kumaliza watu wengi
Tatizo lako umekariri kimwili hivyo inakuwia vigumu kuelewa " kiroho"

Corona ni tauni!
 
  • Thanks
Reactions: Pep
mhhh, kwamba hakuna audience, ? jana nimefuatilia kwenye TV naona yupo kwenye Jukwaa ila camera imeelekezwa kwake mwanzo mwisho, Je ni kwamba kaenda uwanjani bila ya kuwepo watu au wameamua kutoonesha waumini waliokuwepo uwanjani?
Mkuu hili jambo hujafatlia na huna facts, ungejua nini kimefanyika ungehoji!
 
Tatizo lako umekariri kimwili hivyo inakuwia vigumu kuelewa " kiroho"

Corona ni tauni!
Kwangu corona ni pigo sio tauni........na kama alivyosema corona ndo tauni iliyotabiriwa kwenye biblia je ile tauni iliyowatandika kule ulaya na kaskazini mwa afrika na ikaua watu wengi sana zaidi ya hii corona......japo corona mwisho wake haujafika ila pia idadi ya vifo bado haijafikia hata nusu ya tauni ya kipindi kile lile tukio nalo tutasemaje?? kama hii corona ndo huo utabiri wa biblia tauni ya kipindi kile haikua utabiri??? Pia kuna spanish influenza nayo vipi????
 
Aisee nyie watu

Tatizo tuna ubishi wa kishamba!!!

Zile kamera ni kwa ajili ya watu wa mitandaoni(LIVE-you tube) watu wa nje ya nchi na ndani + UPENDO RADIO + CABLE YA ARUSHA

sasa pale hana audience na alisema mapema kuwa ni kwa njia ya Radio na Mitandao(you tube) + Upendo Tv na cable flani hivi ya Arusha

Na anasikika zaidi ya Radio 17+

Sasa endeleeni kuropoka humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hukunielewela, mimi niliuliza ili kuelewweshwa kama ulivyofanya hapa ndio nimeelewa
 
Back
Top Bottom