Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Wakati anafunga semina ya Neno la Mungu wilayani Kahama Mwalimu Mwakasege amesema amealikwa na.Kanisa Katoliki jijini Dodoma kuwa mnenaji Katika semina ya Karismatiki

Mwalimu Mwakasege atahudumu kwa siku.mbili 31/05/2022 na 01/06/2022

Chanzo: Upendo tv
 
Source: Upendo tv
Huyu mzee nikiwaga kwenye wifi iliyotulia huwa nachukuaga madini kwake.

Yuko smart sana huyu mzee.
 
Wakati anafunga semina ya Neno la Mungu wilayani Kahama Mwalimu Mwakasege amesema amealikwa na.Kanisa Katoliki jijini Dodoma kuwa mnenaji Katika semina ya Karismatiki

Mwalimu Mwakasege atahudumu kwa siku.mbili 31/05/2022 na 01/06/2022

Chanzo: Upendo tv
mmh!
 
Uzuri wa Mwalimu Mwakasege ni kuwekeza kwake katika mafundisho ya imani kupitia Biblia Takatifu!

Hauzi maji ya upako, hauzi sabuni, hana muda mchafu wa kukashifu imani ya watu wengine, hana ujanja ujanja! Jambo hili linamfanya aheshimiwe na makundi yote ya dini ukilinganisha na watu kama Kakobe, Mwamposa, nk.
 
Pale Iringa Mtume.Mwamposya alikuwa analala kwenye Nyumba ya Uaskofu Kanisa Katoliki Kihesa
 
Ni kawaida sana kwa Kanisa Katoliki kumiliki Hostels. Na umesema vyema nyumba ya Uaskofu, sio ya Askofu. Hata CHADEMA kwenye kampeni zao mikoani walikuwa wanafikia nyumba zinazomilikiwa na masista wa Kikatoliki, jambo kubwa hapo ni biashara, unalala, unalipa

1653426929244.png
 
Hana tamaa, angekua na tamaa angeanzisha kanisa na ana watu wengi.
Nimehudhuria semina zake, kwanza kamati yake ya maandalizi wapo smart kufunga mahema na huduma nyinginezo.
Huwa nabeba daftari kabisa , maana nchi hii mwalimu ni Nyerere na Mwakasege tu, wengine ni "maticha" tu.
 
Back
Top Bottom