johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Huyu mzee nikiwaga kwenye wifi iliyotulia huwa nachukuaga madini kwake.Wakati anafunga semina ya Neno la Mungu wilayani Kahama Mwalimu Mwakasege amesema amealikwa na.Kanisa Katoliki jijini Dodoma kuwa mnenaji Katika semina ya Karismatiki
Mwalimu Mwakasege atahudumu kwa siku.mbili 31/05/2022 na 01/06/2022
Source: Upendo tv
Shida nin?Jukwaa la siasa???
Jukwaa la siasa???
mmh!Wakati anafunga semina ya Neno la Mungu wilayani Kahama Mwalimu Mwakasege amesema amealikwa na.Kanisa Katoliki jijini Dodoma kuwa mnenaji Katika semina ya Karismatiki
Mwalimu Mwakasege atahudumu kwa siku.mbili 31/05/2022 na 01/06/2022
Chanzo: Upendo tv
Jina la Bwana lihimidiwe.Wakati anafunga semina ya Neno la Mungu wilayani Kahama Mwalimu Mwakasege amesema amealikwa na.Kanisa Katoliki jijini Dodoma kuwa mnenaji Katika semina ya Karismatiki
Mwalimu Mwakasege atahudumu kwa siku.mbili 31/05/2022 na 01/06/2022
Chanzo: Upendo tv
Naomba sana Yesu asinisahau katika Ufalme wa Baba yakeKaribu Yesu atarudi
Unatenda tendo gan la ziada mkuu. Ukiacha kuaminiNaomba sana Yesu asinisahau katika Ufalme wa Baba yake
Yesu Kristo naomba unikumbuke niuone utukufu wako kwa Baba yako mbinguni
Hilo ndio Ombi langu
Pale Iringa Mtume.Mwamposya alikuwa analala kwenye Nyumba ya Uaskofu Kanisa Katoliki KihesaUzuri wa Mwalimu Mwakasege ni kuwekeza kwake katika mafundisho ya imani kupitia Biblia Takatifu!
Hauzi maji ya upako, hauzi sabuni, hana muda mchafu wa kukashifu imani ya watu wengine, hana ujanja ujanja! Jambo hili linamfanya aheshimiwe na makundi yote ya dini ukilinganisha na watu kama Kakobe, Mwamposa, nk.
Si kwake apigaye mbio bali kwa yule Bwana anaetaka kumrehemuUnatenda tendo gan la ziada mkuu. Ukiacha kuamini
Ni kawaida sana kwa Kanisa Katoliki kumiliki Hostels. Na umesema vyema nyumba ya Uaskofu, sio ya Askofu. Hata CHADEMA kwenye kampeni zao mikoani walikuwa wanafikia nyumba zinazomilikiwa na masista wa Kikatoliki, jambo kubwa hapo ni biashara, unalala, unalipaPale Iringa Mtume.Mwamposya alikuwa analala kwenye Nyumba ya Uaskofu Kanisa Katoliki Kihesa