Mwalimu Mwakasege uwe unajiongeza ili kuzishinda mbinu za Mwamposa katika kugombania Waumini Tanganyika Packers Kawe

Huko nyuma nilikuwa nakuona uko Smart ila kwa sasa taratibu naanza Kukuona nawe ni kama vile Unapotea na Hamnazo fulani hivi japo Nakukubali mno na sana Kimafundisho.

Mwalimu Mwakasege unajua fika kuwa Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri na Mwanafunzi wako ) ameshawateka wana Dar es Salaam tena wa Kawe aliko lakini nawe kila ukija Kufanya Mahubiri yako Mkoani Dar es Salaam unangangania kuwa ni Kawe ( Tanganyika Packers ) tu.

Hivi Mwalimu Mwakasege kwani ukiwa unafanya Tamasha lako ( Mahubiri yako ) maeneo mengine ya Dar es Salaam kama Viwanja vya Mwembe Yanga hutoweza kupata Watu wanaokuamini?

Haya ona sasa umepanga nawe Kuanza Tamasha lako ( Mahubiri yako ) Leo Tanganyika Packers ( kama sijakosea ) na Mtume Mwamposa baada ya kuona utapiga Hela na Yeye kwa Makusudi ameweka Tamasha la Wanawake ambao ndiyo Mtaji wake na Jeshi Kubwa Kanisani Kwake hivyo kusababisha ukimbiwe na Waumini wako wengi waliopanga Kuhudhuria ( Kuja ) Kwako leo.

Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri japo ni Mwanafunzi wako pia ) anajua mno Kucheza na Akili zako na anahakikisha ukija tu Mkoani Dar es Salaam kufanya Tamasha lako basi nae pia Wiki hiyo hiyo atafululiza na Matamasha ili mradi tu mgawane Waumini na usipate Kiwango cha Pesa ( Sadaka ) ulichokilenga kama siyo Kukikusudia.

Ukishauriwa hutaki Kusikia. Leo kama utapata Sadaka nyingi ni Shilingi Elfu Arobaini na Tano na Mia Tano Hamsini ( Tsh 45,550/= ) tu wakati Mwenzako Mtume Mwamposa kwa Nyomi la leo najua akikusanya Sadaka zote hakosi Shilingi Milioni Tano ( Tsh 5,000,000/= ) mpaka Milioni Kumi ( Tsh 10,000,000/= )

Labda baada ya huu Uzi wangu Utabadilika.
Hovyooooo!hivi ni lazima kuonesha upumbavu wako?
 
Bwana Cherehani angefyeka sikio zote Mana hazisikii lolote.
 
Popoma unahangaika mnoooo.... kila kitu unajidai unajua . Una shida mahali sio bure
 
Kondoo wangu waijua sauti yangu, nao wanifuata asema Bwana!!
 
Huko nyuma nilikuwa nakuona uko Smart ila kwa sasa taratibu naanza Kukuona nawe ni kama vile Unapotea na Hamnazo fulani hivi japo Nakukubali mno na sana Kimafundisho.

Mwalimu Mwakasege unajua fika kuwa Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri na Mwanafunzi wako ) ameshawateka wana Dar es Salaam tena wa Kawe aliko lakini nawe kila ukija Kufanya Mahubiri yako Mkoani Dar es Salaam unangangania kuwa ni Kawe ( Tanganyika Packers ) tu.

Hivi Mwalimu Mwakasege kwani ukiwa unafanya Tamasha lako ( Mahubiri yako ) maeneo mengine ya Dar es Salaam kama Viwanja vya Mwembe Yanga hutoweza kupata Watu wanaokuamini?

Haya ona sasa umepanga nawe Kuanza Tamasha lako ( Mahubiri yako ) Leo Tanganyika Packers ( kama sijakosea ) na Mtume Mwamposa baada ya kuona utapiga Hela na Yeye kwa Makusudi ameweka Tamasha la Wanawake ambao ndiyo Mtaji wake na Jeshi Kubwa Kanisani Kwake hivyo kusababisha ukimbiwe na Waumini wako wengi waliopanga Kuhudhuria ( Kuja ) Kwako leo.

Mtume Mwamposa ( Mshindani wako Kiimani na Kimahubiri japo ni Mwanafunzi wako pia ) anajua mno Kucheza na Akili zako na anahakikisha ukija tu Mkoani Dar es Salaam kufanya Tamasha lako basi nae pia Wiki hiyo hiyo atafululiza na Matamasha ili mradi tu mgawane Waumini na usipate Kiwango cha Pesa ( Sadaka ) ulichokilenga kama siyo Kukikusudia.

Ukishauriwa hutaki Kusikia. Leo kama utapata Sadaka nyingi ni Shilingi Elfu Arobaini na Tano na Mia Tano Hamsini ( Tsh 45,550/= ) tu wakati Mwenzako Mtume Mwamposa kwa Nyomi la leo najua akikusanya Sadaka zote hakosi Shilingi Milioni Tano ( Tsh 5,000,000/= ) mpaka Milioni Kumi ( Tsh 10,000,000/= )

Labda baada ya huu Uzi wangu Utabadilika.
Huku umepotea Sana, hujui haya mambo,kanisa Kama mwili wa KRISTO lina viungo vingi, ndani ya KANISA, wengine, mitume,manabii, wachungaji, waalimu wote hawa hufanya kazi moja ya kuwaleta watu kwa MUNGU.
Siyo mashindano Kama unavyodhani, huduma siyo idadi ya watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo la hili jukwaa limejaa watu wa hovyo. Kila kitu wanajifanya wajanja.
 
Huna Akili.
 
Umeamua kuandika tuuu ila hun la details.

Ni hivi, mwl Mwakasege ni sawa na mchungaji anayelisha mifugo inayomilikiwa na watu wengine. Yeye hana zizi la kutunzia mifugo akimaliza semina anawakabidhi waumino wanakosaligi.

Ndiyo maana semina zake zinahudhuriwa kwa wingi na Maaskofu wachungaji, wainjilisti, mitume, manabii waalimu na wakristo kutoka kila dhehebu. Labda kama hujui. Mwl ana huduma ya kuamsha uchaji wa kila mkristo bila kujali dhehebu.

Halafu wakishainuka kiroho wanaendelea kusali kwenye makanisa yao. Hivyo hata mwamposa ananufaika pia, kwa sababu anatengenezewa waaumini, wanaweza wasije uwanjani lakini wanafuatilia mahubiri yake kwenye media.

Ushauri wa bure kwa viongozi wengine wa dini, waendelee kumsuport Mwl. Mwakasege kwa sababu yeye hachukui muumini wa kanisa lolote ila anawaimarisha kiroho na kuwa kondoo wanaofaa wa hapo walipo
✅🙏
 
Back
Top Bottom