Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

Mkishapata kazi vijana mnajeuri sana,
Hivi huko kijijini, shule iko mbali, kuliko kumpangia bchumba binti mdogo kuna ubaya kukaa na mtu anaeeleweka?
Au we ndo umezaliwa na kukua mjini hufahamu maisha ya kijiji?

Ukute we ndo unalaana
Ogopa sana mtu mweusi akawa na uhakika wa kula na kulala, kitu kinachoitwa shida kwake hawezi kukielewa.
 
Kwa bush hiyo ni kawaida wala polisi hawahitaji kujua chanzo ni nini? Halafu huyo mwalimu ni mrembo nimemuona, au itakuwa alikuwa na mahusiano na mume wa mtu….maana walimu nao kwa kupenda kuiba waume za watu wako vizuri
Tupiako kapicha basi. Huenda pia ana chura. Ikija swala la mwanamke ana chura na amejazia wanaume tunawehuka na kuchanganyikiwaga sana as if we are possessed by demons.
 


Viwanafunzi vijinga vilikuwa vinakula hako katoto, labda vikagundua teacher naye anapiga, unaishije na mtoto wa mtu Nyumba moja bila mke?
 
Ogopa sana mtu mweusi akawa na uhakika wa kula na kulala, kitu kinachoitwa shida kwake hawezi kukielewa.
Nigger anapenda sana kula na kulala si unawaona black Americans? Kuna fursa kibao marekani unaweza kumake hata dollars elfu 7 kwa mwezi lakini nigger haoni hiyo
yeye akishapata government handouts, food vouchers na social benefits baas.

Chaliifrancisco na adriz wako radhi kulala sebuleni kwa shemeji/dada zao.
 
Hukumu ya kunyongwa itekelezwe haraka baada ya kumpata muuaji.
Na lazima muuaji apatikane.
FBI wangampata haraka sana.
 
Mkuu weka hii picha ya marehemu hapo chini kwenye uzi wako.
 

Haya ndiyo Yale matukio ambayo hata shetani humshangaa binadamu
 
Tupiako kapicha basi. Huenda pia ana chura. Ikija swala la mwanamke ana chura na amejazia wanaume tunawehuka na kuchanganyikiwaga sana as if we are possessed by demons.
Sio vizuri kuleta picha za marehemu wa watu bila ruhusa mkuu
 
Umasikini ni laana yahn mzazi unafika hatua ya kushindwa kukaa na binti yako unaruhusu akake kwa watu baki .....lakini pia uyo mzazi alikosa majina mpaka akampa mwanae jina la TATIZO.??
Kwetu sisi Waafrika jina huwa lina aksi mazingira uliyo zaliwa wakati huo. Kwa hiyo mwenye jina huwa ni kumbukumbu inayo tembea. Utawakuta akina Nyanjala ( Huyu Ali zaliwa wakati wa ukame na njaa kali) Wegoro( Ali zaliwa usiku), Msafiri, (Ali zaliwa safarini).......... Nk, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…