Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki ni zangu Ila nishazisema... Wewe endelea kuhubiri wema wake. Sio wote tunaweza kuwa na mtazamo sawa.Acha chuki zako hakuna kitu magufuli mnadai amefanya haikuwahi kufanyika na mnapoteza muda wenu Kwa chuki za kishamba.
Unaongea kama umekatwa kichwa,sijawahi kuiba mali ya mtu,labda mke wa mtu sawaKijana nakushauri tu ishi a decent life usipende sana maisha ya kutegemea fedha za wizi.
Ipo siku na inakuja utajuta kwanini ulichagua maisha ya aina hiyo lakini that will be too late for you.
Mpaka hapo nadhani utakua umenielewa.Unaongea kama umekatwa kichwa,sijawahi kuiba mali ya mtu,labda mke wa mtu sawa
Dawa ni Sheria na Katiba ambayo itafanya viongozi wetu wawe na nidhamu.katiba na Sheria ambazo zitaondoa mambo ya kutowashtaki viongozi walioko na wasioko madarakani vinginevyo tutaendelea kuwaona viongozi mafisadi,viongozi wanaojifanyia wanalolitaka huku Sisi wananchi tukibaki kulumbana tu.Good,ndio maana swala la katiba hata mama Samia leo kaliongelea kuwa ni muhimu.
Jpm alisema katiba sio priority kwake!!!
Ujue kuwa hasitasaidia kitu.kitu ambacho kitasaidia kusaidia namna ya kuja na Sheria na Katiba ambayo itasaidia kuwabana viongozi wahuni walio madarakani ambao wamejaa kwenye serikali sasa hivi.vinginevyo tutaendelea kulalamika tu Kwa kusema mara kiongozi huyu mbaya mara Yule mmbaya.Chuki ni zangu Ila nishazisema... Wewe endelea kuhubiri wema wake. Sio wote tunaweza kuwa na mtazamo sawa.
We jamaa umenichekesha sana🤣🤣🤣🤣ni uroho tu wa madaraka, mpaka kijana wake akamuita madaraka
Hivi hiyo Makongoro nayo maana yake ni nini? Ni haya ya supu ya miguu ya ng'ombe au?Yule ni Makongoro,Madaraka yuko Butiama alijaribu ubunge wajumbe wakampa kura moja
2025 mtapigwa kama ngoma wapumbavu nyie!
Si mmejisalimisha ccm kwa jina la maridhiano nyie?
Nyerere hakuwahi kua mroho wa madaraka.
Napinga kabisa kipengele hicho.
Ila kile kipengele Cha huyu wa Jana uko sahihi.
Mambo alivyokua anawafanyiaga wapinzani wake wa ubunge jimboni kwake yanatisha.
Na alivyokua akiwafanyia wapinzani kitaifa baada ya kua Mkuu wa kaya yanatisha zaidi.
Waliokuwa tofauti na mawaxo yake walikiona cha moto,aliogopeka sana,kuna watu walitiwa vizuizini akina Hanga nk,kuna watu walikimbia nchi,alipiga marufuku vyama vingi,uchifu hizo zote ni dalili za udiktetaNyerere hakuwahi kua mroho wa madaraka.
Napinga kabisa kipengele hicho.
Ila kile kipengele Cha huyu wa Jana uko sahihi.
Mambo alivyokua anawafanyiaga wapinzani wake wa ubunge jimboni kwake yanatisha.
Na alivyokua akiwafanyia wapinzani kitaifa baada ya kua Mkuu wa kaya yanatisha zaidi.
Mkuu umenichekesha kwamba hadi mtoto wake akamuita Madaraka!Asante kunikumbusha
-Lengo la kuua Uchifu ilikuwa ni kupora madaraka yao ili awe na absolute control kwani machifu walikuwa wakisikilizwa na kuaminowa sana naye hakulipenda jambo hilo kama alivyoua vyama vya ushirika. Hizo habari za uongo ulizokaririshwa hata sisi tulikaririshwa mashuleni. Unlearn that shit.ANDIKO LAKO nimelisoma pamoja na Mapungufu Mengi. Kutokujua historia vizuri., Kutokusoma vitabu ni changamoto sana.
1:Hoja ya Mwalimu ilikuwa ni kuunga mkono Jumuiya kama ECOWAS, COMES A, EACOMUNITY NK.
2: Lengo la kuua ucheef lilikuwa ni
a)KUTENGENEZEA umoja wa kitaifa. b)Kuwa na KIONGOZI mmoja.
c)kupambana na Ukabila nk.
3.Historia ya Muungano ni pana mno
TUKISEMA sababu za Muungano ni ilinzi na usalama, undugu na Zanzibar, nguvu ya ukomonisti, vita za kibepari.
Tutafika kesho.
Soma vizuri Historia Ya nchi MUOGOPE SANA NYERERE.
NDIO MYANZANIA WA KWANZA KUSOMA MASTERS NJE.
NYERERE ALIKUWA MTY MKUBWA MNO.
SOMA HISTORIA YA NCHI NA NYERERE VIZURI.
Kikwete ni malaika mtakatifu bikira kikwete [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wahuni wa msoga wana angaika kuzima nyota ya JPM NA NYERERE ILA WAPI ...kamwe awawezi kumfananisha MTUKUFU JPM NA CHEGOVARA WA MSOGAKikwete?