Mwalimu Nyerere alikuwa mroho wa madaraka ila sio mali, Hayati Magufuli alikuwa mroho wa madaraka na mali

Mwalimu Nyerere alikuwa mroho wa madaraka ila sio mali, Hayati Magufuli alikuwa mroho wa madaraka na mali

Kijana nakushauri tu ishi a decent life usipende sana maisha ya kutegemea fedha za wizi.

Ipo siku na inakuja utajuta kwanini ulichagua maisha ya aina hiyo lakini that will be too late for you.
Unaongea kama umekatwa kichwa,sijawahi kuiba mali ya mtu,labda mke wa mtu sawa
 
Good,ndio maana swala la katiba hata mama Samia leo kaliongelea kuwa ni muhimu.
Jpm alisema katiba sio priority kwake!!!
Dawa ni Sheria na Katiba ambayo itafanya viongozi wetu wawe na nidhamu.katiba na Sheria ambazo zitaondoa mambo ya kutowashtaki viongozi walioko na wasioko madarakani vinginevyo tutaendelea kuwaona viongozi mafisadi,viongozi wanaojifanyia wanalolitaka huku Sisi wananchi tukibaki kulumbana tu.
 
Chuki ni zangu Ila nishazisema... Wewe endelea kuhubiri wema wake. Sio wote tunaweza kuwa na mtazamo sawa.
Ujue kuwa hasitasaidia kitu.kitu ambacho kitasaidia kusaidia namna ya kuja na Sheria na Katiba ambayo itasaidia kuwabana viongozi wahuni walio madarakani ambao wamejaa kwenye serikali sasa hivi.vinginevyo tutaendelea kulalamika tu Kwa kusema mara kiongozi huyu mbaya mara Yule mmbaya.
 
Ni kama vile Putin huko Urusi
Nyerere hakuwahi kua mroho wa madaraka.
Napinga kabisa kipengele hicho.

Ila kile kipengele Cha huyu wa Jana uko sahihi.
Mambo alivyokua anawafanyiaga wapinzani wake wa ubunge jimboni kwake yanatisha.

Na alivyokua akiwafanyia wapinzani kitaifa baada ya kua Mkuu wa kaya yanatisha zaidi.
 
Nyerere hakuwahi kua mroho wa madaraka.
Napinga kabisa kipengele hicho.

Ila kile kipengele Cha huyu wa Jana uko sahihi.
Mambo alivyokua anawafanyiaga wapinzani wake wa ubunge jimboni kwake yanatisha.

Na alivyokua akiwafanyia wapinzani kitaifa baada ya kua Mkuu wa kaya yanatisha zaidi.
Waliokuwa tofauti na mawaxo yake walikiona cha moto,aliogopeka sana,kuna watu walitiwa vizuizini akina Hanga nk,kuna watu walikimbia nchi,alipiga marufuku vyama vingi,uchifu hizo zote ni dalili za udikteta
 
ANDIKO LAKO nimelisoma pamoja na Mapungufu Mengi. Kutokujua historia vizuri., Kutokusoma vitabu ni changamoto sana.

1:Hoja ya Mwalimu ilikuwa ni kuunga mkono Jumuiya kama ECOWAS, COMES A, EACOMUNITY NK.

2: Lengo la kuua ucheef lilikuwa ni
a)KUTENGENEZEA umoja wa kitaifa. b)Kuwa na KIONGOZI mmoja.
c)kupambana na Ukabila nk.

3.Historia ya Muungano ni pana mno
TUKISEMA sababu za Muungano ni ilinzi na usalama, undugu na Zanzibar, nguvu ya ukomonisti, vita za kibepari.
Tutafika kesho.


Soma vizuri Historia Ya nchi MUOGOPE SANA NYERERE.
NDIO MYANZANIA WA KWANZA KUSOMA MASTERS NJE.

NYERERE ALIKUWA MTY MKUBWA MNO.
SOMA HISTORIA YA NCHI NA NYERERE VIZURI.
-Lengo la kuua Uchifu ilikuwa ni kupora madaraka yao ili awe na absolute control kwani machifu walikuwa wakisikilizwa na kuaminowa sana naye hakulipenda jambo hilo kama alivyoua vyama vya ushirika. Hizo habari za uongo ulizokaririshwa hata sisi tulikaririshwa mashuleni. Unlearn that shit.
-Kuulazimisha muungano haikuhusiana kabisa na mambo ya communism/capitalism kwani kipindi hicho hatukuwa na upande tulichagua upande kuanzia kipindi cha Azimio la Arusha(1967), ule ulikuwa ni uroho wa madaraka.
-Uongo wa dhahiri ni kusema eti Nyerere ni Mtanzania wa kwanza kusoma masters degree.
-Kushindikana kwa United States of Africa ilikuwa ni mvutano wa nani atakuwa kiongozi wa muungano huo, walioogopa kupoteza madaraka yao(Nyerere included) ndiyo waliokwamisha mpango huo. Nyerere alikuwa genius na alijiamini sana lakini hakuwa among the giants ukimuweka na akina Kwame Nkrumah, Abdel Nasser, Haille Sellasie na Jomo Kenyatta japo Wabongo wako so brainwashed wameaminishwa kwamba Mchonga was among the big guns.

Nakubaliana na mleta mada ya kwamba Mchonga hakuwa na tamaa ya mali bali alikuwa na tamaa ya madaraka huku upande wa Jiwe alikuwa jambazi, zulumati anayeiba na kupora mchana kweupe na ambaye bila ya Mungu kuingilia kati ule mpango wake wa kuwa rais wa kudumu angefanikiwa kwani alikuwa akiwapelekesha watu na aliogopwa mno. Chawa wake akina Ndugai ndiyo walikuwa wakipigia debe suala la kwamba atawale milele na hata akifa akatawale malaika.
Uozo wake upande wa maadili na wizi wake uliokithiri vinaendelea kuibuliwa taratibu, kweli Mungu aliliokoa taifa kwa kuingilia kati dhahma ya utawala wa dhalimu yule.
 
Back
Top Bottom