Mwalimu Nyerere anaishi katika sura ya Magufuli

Mwalimu Nyerere anaishi katika sura ya Magufuli

Nyumba ilipigwa upgrades za kufa mtu kwa gharama za umma, hayo yote ma manicured lawn and all yaliwekwa, halafu ikaachiwa familia, halafu value ni kwa kiwanja pia kwa sababu ni super uber low density unaweza kuweka bungalows sita ndani na ukawa hujazibana.

The valuation was by then, not sure by now.I believe it has dropped, but we are not selling anyway.

Lakini all in all, my point is, habari ya kwamba mimi naishambulia serikali ya Magufuli kwa sababu nina chuki nayo, imeingilia maslahi yangu etc ni mufilisi.

Kwa sababu, ningekuwa mtu wa kuangalia maslahi, hiiniserikaliyangu, kuanzia habari ya hizonyumba za kupewa, mpaka wazee wangu walio katika cabinet sasa.

I wasn't just flossing (although I'm prone to that on my own shit, heck) I was dispelling the erroniously fallacious notion that I have beef with the government because they took my cake.

To the contrary.They gave me a bakery!
Ona sasa. Tukiuuliza ulete ushahidi unakimbia kimbia. Wazee wako kwenye cabinet ni akina nani!!? Au bado upo na mentality za kizamani za kusema unanijua mimi!!
Hizi unazozileta hapa ni hadithi za kufikirika.
 
-Ameita watoto wa watu "VILAZA" baadhi ya watu akili kubwa kama Ben Saanane wakahoji na yeye hiyo Phd yake ya Kutu za Maganda ya korosho mbona na yenyewe ina UTATA(FEKI)? Ben Kapotea Mpaka sasa hajulikani halipo.

-Tundu Lissu alihoji Ndege tuliyonunua tuliambiwa inakuja JULY mbona mpaka sasa hatujaiona? Akaonekana ni Msaliti,yeye ndio ameenda kuwaambia WADAI wetu wacanada wakazuia ndege,Ndugu yenu akasema DAWA ya MSALITI Jeshini wanajua wanachofanya kwa MSALITI wakiwa vitani,Baada ya Siku mbili tatu tangia kauli hiyo itolewe,Lissu akamiminiwa Risasi 38.

-Bunge lilipitisha sehemu za tozo za korosho zirudi kwa wakulima ili kuwawezesha kuliinua hilo zao thru ruzuku etc,Wananchi wamewatuma wawkilishi wao waulizie fedha zao za tozo za korosho mbona hawapewi,kati ya bil 210 walikuwa wanadai wamepewa 10,Wabunge wanaulizia b 200 zipo wapi,ikatoka kauli kwanza Atafukuza wabunge wote wa kusini hajali hata kama waziri mkuu naye anatoka huko huko,akaenda mbali akamtaja hadi mbunge ataanza kupiga shangazi zake na akamwambia mbunge mwingine atoke kabisa CCM kama anaona atakosa kura endapo hasipowatetea wakulima wa korosho.

Mambo ni Mengi hayo ni baadhi kwa uchache,Mengine washaeleza wadau huko juu.
 
Ona sasa. Tukiuuliza ulete ushahidi unakimbia kimbia. Wazee wako kwenye cabinet ni akina nani!!? Au bado upo na mentality za kizamani za kusema unanijua mimi!!
Hizi unazozileta hapa ni hadithi za kufikirika.
Umeniambia kwamba naisemaserikaliya Magufulikwa sababu naichukia, imeingilia maslahiyangu.

Nakuonesha kwamba serikalihii ni yangu sana. Siwezi kuichukia.

Nikikuonesha serikalihii ni yangu sana, siwezikuichukia kwa kuharibu maslahi yangu, unanisema najidai, wakati wewe mwenyewe ndiye umenileta huku.

Jambo moja hujaweza kukanusha.

Magufuli ni mshenzi. Bisha.
 
''Watanzania hutumia Asilimia moja kwenye Kufikili''..Hii ni nukuu kutoka kwenye gazeti fulani. Kwa namna moja ama nyingine, Mleta uzi inamhusu hiyo. Btw, unawezaje kulinganisha a philosopher na mwendawazimu? Acheni hizo mambo
 
Hatuongeli english lakini unataka "phoilosophical arguments"

Unajua unapoandika "philosophical arguments" tayari ushaandika english ngumbaru wewe?
Kabla ya kuendelea kukusaidia. Niambie ngumbaru maana yake ni nini!?
Unazunguka zunguka tu na kuniita majina ya kila aina. Haiondoi ukweli kwamba umeshindwa kutolea maelezo madai yako. Hii inatokana na chuki zako binafsi dhidi ya Rais wetu mpendwa.
 
Magufuli ni mshenzi. Kasema atawapiga shangazi za watu.

Huyu ni mshenzi tu.

Na wewe kama huoni huyu ni mshenzi. Basi na wewe ni mshenzi tu.

Nakubadilishiakibao sasa.

Wewe unayempigia zumari mshenzi Magufuli nawe ni mshenzi tu.

Uan muwezesha huyu mshenzi Magufuli kuendeleza ushenzi wake na kumuimbia pambiohapa.

JF kuna watu hatutaki washenzi kama wewe na Magufuli.
 
Umeniambia kwamba naisemaserikaliya Magufulikwa sababu naichukia, imeingilia maslahiyangu.

Nakuonesha kwamba serikalihii ni yangu sana. Siwezi kuichukia.

Nikikuonesha serikalihii ni yangu sana, siwezikuichukia kwa kuharibu maslahi yangu, unanisema najidai, wakati wewe mwenyewe ndiye umenileta huku.

Jambo moja hujaweza kukanusha.

Magufuli ni mshenzi. Bisha.
Jambo moja nadhani hulijui. Ila nitaendelea kukuelimisha taratibu tu.
Wewe unataka umuite mtu mshezi halafu atokee wa kubisha. Hizi arguments nakumbuka tulikuwa tunazitumia tukiwa primary school. Nashangaa leo hii kuiona hapa.
Je, unaweza ukajadili zaidi ya kusema bisha!?
 
Huwezikubisha Magufuli mshenzi kwa sababu ni kweli.

Magufuli ni mshenzi.

Na wewe unayemtetea mshenzi ni mshenzi.

Ama kwa kuwa unajua ni mshenzi na kutetea ushenzi wake makusudi.

Ama kwa kuwa wewe ni mshenzi kiasi cha kwamba hujui tofauti ya ushenzi na ustaarabu ni nini, na hivyo unatetea ushenzi.

Either way, nyote, wewe na Magufuli, ni washenzi.

Ndiyo mana unamtetea mshenzi mwenzako.
 
Mtake radhi MWALIMU, aliishi kivitendo si kimaneno,
 
Magufuli ni mshenzi. Kasema atawapiga shangazi za watu.

Huyu ni mshenzi tu.

Na wewe kama huoni huyu ni mshenzi. Basi na wewe ni mshenzi tu.

Nakubadilishiakibao sasa.

Wewe unayempigia zumari mshenzi Magufuli nawe ni mshenzi tu.

Uan muwezesha huyu mshenzi Magufuli kuendeleza ushenzi wake na kumuimbia pambiohapa.

JF kuna watu hatutaki washenzi kama wewe na Magufuli.
😀😀😀😀 Naona sasa mizuka imekupanda. Na mimi tena nimekuwa mshezi.
Yaani huna maelezo zaidi ya kutuita Mimi na Magufuli hivyo!?
Wakoloni nao waliwaita mababu zetu washenzi. Kwahiyo neno mshenzi huwa naona kama utani. Ninauhakika Kiranga unamkubali JPM kiaina.
Lakini huenda kuna contract inakubana, maana wenye tabia ya kuwaita wengine ni washenzi ni wakoloni tu.
 
Wewe ni sawa namtu aliyekaa karibu na choo kichafu kinachonuka.

Mtu aliyekaakaribu na choo hicho kwa muda mrefumpaka kazoea harufu ya choo kile.

Wakija watu waliotoka sehemu safi, wanaojua harufu safi na chafu, wakakuambia hapo ulipokaa pananuka mavi, unaona wanakutukana.

Kwa sababu ushazoea hiyo harufu ya mavi ambayo ni Mgufuli.

Ukizoea sana hata wewe mwenyewe utanuka mavi.

Acha kujizoeza ushenzi.
 
Huwezi kusimamia maadili ya watumishi kama wewe huna maadili wala upendo kwa watu! So dont try to ever compare Nyerere with any President in Tanzania.
 
Nyerere hakuwa fisadi,mbaguzi, muongo,roho mbaya, mlipa visasi,katili,kigeugeu,mkurupukaji,mleta utengano,mtia hasara taifa,alikuwa mzalendo wa vitendo sio maneno alikuwa na hekima na busara,aliwapenda wote bila ubaguzi,akujilimbikizia mali.
 
Huwezikubisha Magufuli mshenzi kwa sababu ni kweli.

Magufuli ni mshenzi.

Na wewe unayemtetea mshenzi ni mshenzi.

Ama kwa kuwa unajua ni mshenzi na kutetea ushenzi wake makusudi.

Ama kwa kuwa wewe ni mshenzi kiasi cha kwamba hujui tofauti ya ushenzi na ustaarabu ni nini, na hivyo unatetea ushenzi.

Either way, nyote, wewe na Magufuli, ni washenzi.

Ndiyo mana unamtetea mshenzi mwenzako.
Haki ya nani leo ninacheka mpaka watu wananitazama. Yaani wewe unatamka tu mtu fulani ni mshenzi halafu unatafuta wa kubisha.
Nakumbuka shule ya msingi tulikuwa tunachora mstari na kusema vuka sasa ukivuka ngumi zinapigwa.
Sasa hapo mnaanza kupigana tu bila hata sababu. Ndicho unachokifanya wewe kuketa kuleta arguments za kitoto.
 
Huwezi kusimamia maadili ya watumishi kama wewe huna maadili wala upendo kwa watu! So dont try to ever compare Nyerere with any President in Tanzania.
Asante, Watanzania si wajinga kubugia ujinga huukwamba Magufulianarudisha nidhamu namaadili serikalini.

Magufuli analeta woga wa kumuogopa yeye binafsi, kidikteta.

Hii si nidhamu, huu ni udikteta.
 
Magufuli ni mshenzi. Kasema atawapiga shangazi za watu.

Huyu ni mshenzi tu.

Na wewe kama huoni huyu ni mshenzi. Basi na wewe ni mshenzi tu.

Nakubadilishiakibao sasa.

Wewe unayempigia zumari mshenzi Magufuli nawe ni mshenzi tu.

Uan muwezesha huyu mshenzi Magufuli kuendeleza ushenzi wake na kumuimbia pambiohapa.

JF kuna watu hatutaki washenzi kama wewe na Magufuli.

Mleta mada kadhihirisha hana hoja. Amebaki kuzunguka zunguka tu bila kuonyesha ushahidi na kuthibitisha mantiki ya hoja yake.
Lakini inaeleweka, hata akina Idd Amin walikuwa na wapiga zumari wao ambao kwao hapakuwa na mfano wa kumlinganisha nae. Annael kajipambanua kuwa mpiga filimbi asiyekuwa na uwezo wa kunogesha wasikilizaji.
 
Wewe ni sawa namtu aliyekaa karibu na choo kichafu kinachonuka.

Mtu aliyekaakaribu na choo hicho kwa muda mrefumpaka kazoea harufu ya choo kile.

Wakija watu waliotoka sehemu safi, wanaojua harufu safi na chafu, wakakuambia hapo ulipokaa pananuka mavi, unaona wanakutukana.

Kwa sababu ushazoea hiyo harufu ya mavi ambayo ni Mgufuli.

Ukizoea sana hata wewe mwenyewe utanuka mavi.

Acha kujizoeza ushenzi.
Aise wewe jamaa una mdomo mchafu sana. Je, upo na family!? Nataka nijue namna ya kujadiliana na wewe huenda stress au psychological problem linakusumbua nikusaidie. Nipo tayari kukusaidia bure kabisa wewe jibu swali langu tu.
 
Back
Top Bottom