Mwalimu Nyerere anaishi katika sura ya Magufuli

Giants of the twentieth century; not the lilliputians of this era.
Spot on! The late Nyerere was a political giant, visionary, thinker, writer, man of the people and most importantly a great leader who was humble enough to accept his past mistakes.
 
Nimekueleza kwamba siwezikuwa na chuki na serikali iliyoipa familia yangu nyumba ya US Dollars milioni 3 Oysterbay.

Serikaliambayo hata leo nina wazee wangu mpaka kwenye cabinet.

Nimekwambia Magufuli nimshenzi. Kasema atawapiga shangazi za wapinzani wake.

This is so wrong on so many levels.

1. Muhuni tu wa mtaani akiwa na ugomvi na muhuni mwenzake, anatakiwa kupigana na huyo muhunimwenzake,sikupeleka ugomvi waokwa shangazi ambaye hahusiki. Kwa hiyo, kauli hii hata kwamuhuni wa mtaani tu haifai, seuze rais wa nchi?

2. Rais wa nchi kachaguliwa kutetea utawala wa sheria. Kwamba kama kuna watu wamekosea, sheriaichukue mkondo wake, wadhibiwe. Rais gani anatetea matumizi ya nguvu na kupiga shangazi za wapinzani wake?

3. Kauli ni kitu cha msingi kabisa katika nidhamu. Anayeshindwa kuwa na nidhamu katikakauli yake mwenyewe hawezikuwa kinara wa nidhamu serikalini.

Umesema Magufulini kinara wa kurudisha nidhamu serikalini.

Kwa maelezo ya hapo juu, umesema uongo.

Magufuli ni mshenzi, si kinara wa kurudisha nidhamu serikalini.

Kama unawezakubisha kwa point, bisha.
Duh!
 
MAGUFULI-2.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.

LEO ninawaletea ufafanunuzi wa mambo yanayoashiria ufanano wa kiutendaji kati ya Mwalimu Julius Nyerere na Rais John Magufuli Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, kwa kuwa viongozi hufananishwa na hutofautishwa kwa utendaji wao katika kutoa uongozi.

-Ukweli

Mwalimu mwanzoni mwa miaka ya 1960 alipojiuzulu Uwaziri Mkuu kwenda kujenga Chama nakumuachia Serikali Mzee Kawawa, aliandika vitabu vitatu kimojawapo ni TUJIJISAHIHISHE ni kitabu kidogo chenye kurasa zisizozidi ishirini ambapo amesisitiza katika kusema kweli na neno Kweli limetajwa zaidi ya mara
ishirini.
“Ukweli unatabia moja nzuri sana, haujali mkubwa wala mdogo, haujali adui wala rafiki. Kwake watu wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kujilipiza kisasi kama ukipuuzwa..”

81a891f594549a067c7450617381d4d3.jpg

Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Hayo ni baadhi ya maneno katika kitabu hicho, yanayosisitiza kusema ukweli na kuheshimu ukweli. Hii ni sawa kabisa kwa Magufuli ambaye toka awali amekuwa ni kiongozi anayesisitiza kusema ukweli na kwa sasa ni mwasisi wa msemo “Msema kweli ni mpenzi wa Mungu”.

-Kusimamia Misingi

CCM ina msingi wa vitu viwili, Haki na Watu. Mwalimu mwaka 1968, akitoa hotuba aliyoiita, “Lazima Chama Kiwasemee watu” na moja ya kauli zake ni, “kazi ya Chama cha Siasa kilicho imara ni lazima kiwe kama daraja la kuwaunganiaha watu na serikali walioichagua.” Mwalimu alisema akiwaasa viongozi wa Chama kuwa karibu na wananchi na kuwa watetezi wa haki za wanyonge.

Hiyo tunaishuhudia tena kwa Magufuli ambapo kwa kiasi kikubwa amekuwa akiwasisitiza viongozi wa Chama kuwa sikio la wananchi na hata mageuzi ya Chama yamelenga kukifanya kuwa “Chama Cha wanachama na kinachoshughulika na shida za watu”

-Falsafa ya kazi

Mwaka 1976 Mwalimu aliandika kitabu “kila mtu afanye kazi” kinachoeleza kwa undani umuhimu wa kazi katika maisha binafsi na kwa taifa. Sasa ni miaka 40 Magufuli amekuja na falsafa inayofanana ya “Hapa Kazi Tu”.

– Sera ya Viwanda na Kilimo

Mwalimu aliweza kuanzisha programu za kilimo ikiwemo “utekelezaji wa siasa ni kilimo” – 1974, sera ya viwanda vidogo vidogo (SIDO), vya kati ikiwemo viwanda vya nguo urafiki, Mwatex, Mutex, Mbeyatex, n.k Sawa kabisa na Magufuli ambaye ndoto yake ni Viwanda. Miezi miwili iliyopita amezindua mradi mkubwa wa kilimo awamu II utakaogusa maisha ya wakulima wadogo kwa kuwapatia mikopo nafuu ya kilimo.

-Udhibiti wa madini

Katika suala la madini Mwalimu alifanya utambuzi wa maeneo yenye madini, hakuruhusu uchimbaji uanze mbali na changamoto tulizokuwa tukizipitia kama Taifa, kwa kuwa Watanzania hatukuwa na elimu ya kutosha ya Madini. Magufuli amekuja amekuta mikataba kandamizi iliyoingiwa na watangulizi wake baada ya mwalimu hivyo ameifumua mikataba yote ya Madini na kufanya haki ya mtanzania kuheshimiwa na kuweza kuingia makubaliano kutoka 3% ya awali mpaka 50/50%.

– Reli, Umeme na Anga.

Mwalimu aliweza kujenga Reli ya TAZARA miaka ya 1970, kwa upande mwingine alikuwa na ndoto kubwa ya ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme maarufu kama Stiegler’s Gorge ambao ulikwamishwa, shirika la ndege lilikuwa na ndege za AirTanzania kabla halijafa katika awamu zilizofuata. Miaka 30 sasa Magufuli amefufua shirika la ndege na mpaka sasa serikali imefanikiwa kununua ndege Saba ndogo za kati na kubwa. Ujenzi wa Reli ya kisasa unaendelea naujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa Stiegler’s Gorge umeanza.

Vijana wa miaka ya 1990, Nyerere tunayesimuliwa nakumsoma amerejea katika sura ya Magufuli na ni jukumu letu kumpa ushirikiano na kufanya naye kazi kuhakikisha tunatekeleza na kufikia ndoto ya Tanzania ya Viwanda.
 
View attachment 829157

View attachment 829160

Jitahidi jitahidi teuzi bado zipo sawa
 
Aise yamekuwa hayo tena!!! Mimi nijuavyo wasomi hujadili issues badala ya kujadili mtu. Je, unaweza kuja na hoja zenye nguvu ili tujadili kuhusu mada hii!!?
We! Usilinganishe mlima Kilimanjaro na kichuguu
 
Nimetafakari nini niseme kulingana na mada husika ila nashindwa kuelewa mtoa mada alikuwa na mlengo upi alipokuwa anasherehesha mada yake na kuipamba kwa maganda ya ndizi kutelezi.

Kamwe na haitatokea muheshimiwa Dr,Eng,akafanana na Mwalimu hata siku moja Mwalimu atabaki kuwa Mwalimu tu Tanzania bado hajatokea wa kufananishwa na Mwalimu kwa kila kitu.
 
Mleta mada anautafuta UDC hana lolote.
 
Leo ninawaletea ufafanunuzi wa mambo yanayoashiria ufanano wa kiutendaji kati ya Mwl Nyerere na Ndg Magufuli Mwkt wa CCM na Rais wa Tanzania, kwa kuwa viongozi hufananishwa na hutofautishwa kwa utendaji wao katika kutoa uongozi.

-Ukweli

Mwalimu mwanzoni mwa miaka ya 1960 alipojiuzulu Uwaziri Mkuu kwenda kujenga Chama nakumuachia Serikali Mzee Kawawa, aliandika vitabu vitatu kimojawapo ni TUJIJISAHIHISHE ni kitabu kidogo chenye kurasa zisizozidi ishirini ambapo amesisitiza katika kusema kweli na neno Kweli limetajwa zaidi ya mara ishirini.
"Ukweli unatabia moja nzuri sana, haujali mkubwa wala mdogo, haujali adui wala rafiki. Kwake watu wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kujilipiza kisasi kama ukipuuzwa.."

Hayo ni baadhi ya maneno katika kitabu hicho, yanayosisitiza kusema ukweli na kuheshimu ukweli. Hii ni sawa kabisa kwa Magufuli ambaye toka awali amekuwa ni kiongozi anayesisitiza kusema ukweli na kwa sasa ni mwasisi wa msemo "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu".

-Kusimamia Misingi

CCM ina msingi wa vitu viwili, Haki na Watu. Mwalimu mwaka 1968, akitoa hotuba aliyoiita, "Lazima Chama Kiwasemee watu" na moja ya kauli zake ni, "kazi ya Chama cha Siasa kilicho imara ni lazima kiwe kama daraja la kuwaunganiaha watu na serikali walioichagua." Mwalimu alisema akiwaasa viongozi wa Chama kuwa karibu na wananchi na kuwa watetezi wa haki za wanyonge.

Hiyo tunaishuhudia tena kwa Magufuli ambapo kwa kiasi kikubwa amekuwa akiwasisitiza viongozi wa Chama kuwa sikio la wananchi na hata mageuzi ya Chama yamelenga kukifanya kuwa "Chama Cha wanachama na kinachoshughulika na shida za watu"

-Falsafa ya kazi

Mwaka 1976 Mwalimu aliandika kitabu "kila mtu afanye kazi" kinachoeleza kwa undani umuhimu wa kazi katika maisha binafsi na kwa taifa. Sasa ni miaka 40 Magufuli amekuja na falsafa inayofanana ya "Hapa Kazi Tu".

- Sera ya Viwanda na Kilimo

Mwalimu aliweza kuanzisha programu za kilimo ikiwemo "utekelezaji wa siasa ni kilimo" - 1974, sera ya viwanda vidogo vidogo (SIDO), vya kati ikiwemo viwanda vya nguo urafiki, Mwatex, Mutex, Mbeyatex, n.k Sawa kabisa na Magufuli ambaye ndoto yake ni Viwanda. Miezi miwili iliyopita amezindua mradi mkubwa wa kilimo awamu II utakaogusa maisha ya wakulima wadogo kwa kuwapatia mikopo nafuu ya kilimo.

-Udhibiti wa madini

Katika suala la madini Mwalimu alifanya utambuzi wa maeneo yenye madini, hakuruhusu uchimbaji uanze mbali na changamoto tulizokuwa tukizipitia kama Taifa, kwa kuwa Watanzania hatukuwa na elimu ya kutosha ya Madini. Magufuli amekuja amekuta mikataba kandamizi iliyoingiwa na watangulizi wake baada ya mwalimu hivyo ameifumua mikataba yote ya Madini na kufanya haki ya mtanzania kuheshimiwa na kuweza kuingia makubaliano kutoka 3% ya awali mpaka 50/50%.

- Reli, Umeme na Anga.

Mwalimu aliweza kujenga Reli ya TAZARA miaka ya 1970, kwa upande mwingine alikuwa na ndoto kubwa ya ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme maarufu kama Stiegler's Gorge ambao ulikwamishwa, shirika la ndege lilikuwa na ndege za AirTanzania kabla halijafa katika awamu zilizofuata. Miaka 30 sasa Magufuli amefufua shirika la ndege na mpaka sasa serikali imefanikiwa kununua ndege Saba ndogo za kati na kubwa. Ujenzi wa Reli ya kisasa unaendelea naujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa Stiegler's Gorge umeanza.

Vijana wa miaka ya 1990, Nyerere tunayesimuliwa nakumsoma amerejea katika sura ya Magufuli na ni jukumu letu kumpa ushirikiano na kufanya naye kazi kuhakikisha tunatekeleza na kufikia ndoto ya TViwanda.

Na mwandishi wetu,
Said Said Nguya
[email protected]
Usingekuwa sahihi zaidi mkuu.Wapo watu wanaojitanabahisha kwamba wao ni wana CCM damdam,tena wanasema kwamba wao wamekipigania chama,na wakati mwingine hata wanasema wamekifia chama,huku wakiwa bado wako hai! Watu hawa bila aibu wanampiga vita kufa na kupona Rais wetu mpendwa Magufuli,ambaye ameamua kufuata nyayo za Mwalimu 100% na kweli kukifia chama.Tena wapo walioridhia Azimio la Zanzibar,ambalo mimi naliita haramu,hao nao wapo ndani ya CCM mpya tunayotaka kuijenga.Nao eti wanajiita wana CCM! Wana CCM uchwara kabisa.

Chama chetu bado kina kazi kubwa na ngumu sana mbele yake,kazi ya kutenganisha chuya na mchele.Niseme wazi kabisa,bila kufanikisha kazi hii, kuijenga CCM mpya tunayoitaka itakuwa kazi ngumu sana,na uchaguzi wa 2020 unaweza kuwa mgumu sana.Hawa hawa CCM uchwara watatu-sabotage,kama wanavyotu-sabotage sasa.
 
Leo ninawaletea ufafanunuzi wa mambo yanayoashiria ufanano wa kiutendaji kati ya Mwl Nyerere na Ndg Magufuli Mwkt wa CCM na Rais wa Tanzania, kwa kuwa viongozi hufananishwa na hutofautishwa kwa utendaji wao katika kutoa uongozi.

-Ukweli

Mwalimu mwanzoni mwa miaka ya 1960 alipojiuzulu Uwaziri Mkuu kwenda kujenga Chama nakumuachia Serikali Mzee Kawawa, aliandika vitabu vitatu kimojawapo ni TUJIJISAHIHISHE ni kitabu kidogo chenye kurasa zisizozidi ishirini ambapo amesisitiza katika kusema kweli na neno Kweli limetajwa zaidi ya mara ishirini.
"Ukweli unatabia moja nzuri sana, haujali mkubwa wala mdogo, haujali adui wala rafiki. Kwake watu wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kujilipiza kisasi kama ukipuuzwa.."

Hayo ni baadhi ya maneno katika kitabu hicho, yanayosisitiza kusema ukweli na kuheshimu ukweli. Hii ni sawa kabisa kwa Magufuli ambaye toka awali amekuwa ni kiongozi anayesisitiza kusema ukweli na kwa sasa ni mwasisi wa msemo "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu".

-Kusimamia Misingi

CCM ina msingi wa vitu viwili, Haki na Watu. Mwalimu mwaka 1968, akitoa hotuba aliyoiita, "Lazima Chama Kiwasemee watu" na moja ya kauli zake ni, "kazi ya Chama cha Siasa kilicho imara ni lazima kiwe kama daraja la kuwaunganiaha watu na serikali walioichagua." Mwalimu alisema akiwaasa viongozi wa Chama kuwa karibu na wananchi na kuwa watetezi wa haki za wanyonge.

Hiyo tunaishuhudia tena kwa Magufuli ambapo kwa kiasi kikubwa amekuwa akiwasisitiza viongozi wa Chama kuwa sikio la wananchi na hata mageuzi ya Chama yamelenga kukifanya kuwa "Chama Cha wanachama na kinachoshughulika na shida za watu"

-Falsafa ya kazi

Mwaka 1976 Mwalimu aliandika kitabu "kila mtu afanye kazi" kinachoeleza kwa undani umuhimu wa kazi katika maisha binafsi na kwa taifa. Sasa ni miaka 40 Magufuli amekuja na falsafa inayofanana ya "Hapa Kazi Tu".

- Sera ya Viwanda na Kilimo

Mwalimu aliweza kuanzisha programu za kilimo ikiwemo "utekelezaji wa siasa ni kilimo" - 1974, sera ya viwanda vidogo vidogo (SIDO), vya kati ikiwemo viwanda vya nguo urafiki, Mwatex, Mutex, Mbeyatex, n.k Sawa kabisa na Magufuli ambaye ndoto yake ni Viwanda. Miezi miwili iliyopita amezindua mradi mkubwa wa kilimo awamu II utakaogusa maisha ya wakulima wadogo kwa kuwapatia mikopo nafuu ya kilimo.

-Udhibiti wa madini

Katika suala la madini Mwalimu alifanya utambuzi wa maeneo yenye madini, hakuruhusu uchimbaji uanze mbali na changamoto tulizokuwa tukizipitia kama Taifa, kwa kuwa Watanzania hatukuwa na elimu ya kutosha ya Madini. Magufuli amekuja amekuta mikataba kandamizi iliyoingiwa na watangulizi wake baada ya mwalimu hivyo ameifumua mikataba yote ya Madini na kufanya haki ya mtanzania kuheshimiwa na kuweza kuingia makubaliano kutoka 3% ya awali mpaka 50/50%.

- Reli, Umeme na Anga.

Mwalimu aliweza kujenga Reli ya TAZARA miaka ya 1970, kwa upande mwingine alikuwa na ndoto kubwa ya ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme maarufu kama Stiegler's Gorge ambao ulikwamishwa, shirika la ndege lilikuwa na ndege za AirTanzania kabla halijafa katika awamu zilizofuata. Miaka 30 sasa Magufuli amefufua shirika la ndege na mpaka sasa serikali imefanikiwa kununua ndege Saba ndogo za kati na kubwa. Ujenzi wa Reli ya kisasa unaendelea naujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa Stiegler's Gorge umeanza.

Vijana wa miaka ya 1990, Nyerere tunayesimuliwa nakumsoma amerejea katika sura ya Magufuli na ni jukumu letu kumpa ushirikiano na kufanya naye kazi kuhakikisha tunatekeleza na kufikia ndoto ya TViwanda.

Na mwandishi wetu,
Said Said Nguya
[email protected]
Umenipotezea muda wangu kusoma huu ujinga
 
MWANDISHI nimependa ulivyomalizia
Wabishi katika hili lazima wawepo lakini sio kosa lao ni kwamba ubishi unazunguka kwenye damu zao
 
Back
Top Bottom