Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Kashindwa kujibu hoja huyo.MWANDISHI nimependa ulivyomalizia
Wabishi katika hili lazima wawepo lakini sio kosa lao ni kwamba ubishi unazunguka kwenye damu zao
Kasema Magufuli anarudisha nidhamu serikalini.
Nimemuuliza, Magufuli gani?
Huyu mshenzimshenzi ambaye hata kauli ya staha imemshinda? Huyu anayetaka kuwapiga shangazi za watu?
Atawezaje kuwa kinara wa nidhamu serikalini wakati hajiheshimu hata kwenye kauli zake tu?
Kashindwa kunijibu.
Hana coherent thought. Hana credible standards.
Anaandika kiushabiki zaidi ya kuangalia facts.
Nimemwambia Nyerere ni "philosopher king" ambaye aliandika itikadi ya nchi. Alichanganya European Enlightenment thought na African Socialim.
Magufuli kaandika nini katika siasa au uchumi?
Nyerere amewaunganisha Watanzania.
Wa bara na pwani. Jumbe Tambaza shahidi. Mwinyimkuu shahidi. Uliza wazee wa zamani Magomeni Baba Kabwela ni nani. Mzanaki katoka bara na Uskochi wazee wa Pwani wamempa chama kuongoza. Si kitu kidogo.
Magufuli kaandika (kaandikiwa?) Ph.D thesis. Nyerere ni subject ya kuandikiwa Ph.D thesis.
Huwezi kulinganisha viwili hivi.
Leo mimi Msukuma naona mpaka aibu kusema mimi Msukuma sehemu nyingine. Magufuli katuaibisha kwa kuleta sentiments za ukabila nchini. Watu wanapenyezwa penyezwa kwenye chama na serikali bila uwezo kwa sababu tu Magufuli ni mjomba. Huyu mtoto James Heri wa UVCCM aliyetoa kauli mbovu kwamba wasiochagua CCM hawataletewa maendeleo majuzi mpaka kaomba radhi isiyo kuomba radhi, ni mfano wa watu wasio na uwezo wanaopandishwa kwa undugunization.
Ndiye Magufuli mnayemsifia huyo?
Wa kuchota fedha nje ya bajeti na kununua vitu bila makubaliano na mtu yeyote?
Ndiye Magufuli mnayemsifia?
Wa kumpiga risasi Tundu Lissu halafu kupotezea issue kama haina uzito.
Ndiye Magufuli mnayemsifia?
Magufuli is a country bumpkin. Mshenzi tu.
Sababu watu wanamsifia labda hawajauvuka ushenzi wa Magufuli, hivyo hawauoni, au wanajipendekeza.