Mwalimu Nyerere anaishi katika sura ya Magufuli

Umenishangaza sana.. yaani kwenye madini tunagawana 50 kwa 50 kutoka 3 ya zamani.. hahahaaa... kawadanganye wenzio.
 
Naona unazunguka pale pale tu.
Ninarudia tena jibu maswali haya:
Lini alisema hayo!? Alisema hayo wapi!? Kwanini alisema hayo!? Alisema hayo kwa namna gani!? Ni nani alisema hayo!?
Usipo jibu maswali hayo utakuwa unaleta stori za vijiwe vya kahawa.
Halafu hakuna mtu aliyekuuliza maisha yako binafsi kuhusu familia yako. Inaonesha namna ulivyo mwepesi kwenye mijadala. Hapa hatuhitaji kukujua tunahitaji mawazo yako tu.
Nikikuonesha hayo unayoyaulizia,utakubali Magufuli mshenzi?

Umeniingiliamaisha yangu binafsi kwakuniambianamsemaMagufuli kwa maslahi yangu, nakuambia kwamba simsemi vibaya Magufuli kwa sababu ya maslahi, kwa sababu nimefaidika sana na Magufuli, na kama ningekuwa naangalia maslahi ningemuimbia mapambio Magufuli.

Sasa baada ya mimi kukujibu hivi unaniambia hakuna mtu aliyeniuliza maisha yangu binafsi?

Wewe tutusa una maji kwenye ubongo au una nini?

Unaelewa unachoandika hapa?
 
Wewe mwenyewe umeleta mazungumzo hapa.

Kubali kwamba.

1. Umeshindwa kuichambua Wiki, kwa sababu hujui Kiingereza, na hii ndiyo sababu hukujua kwamba plural ya evidence ni evidence, si "evidences". Futa ujinga. Kubali kwamba umekosea na jifunze.

2. Magufuli ni mshenzi, katoa kauli za kishenzi za kuwapiga shangazi za watu.Hivyo hawezi kuwa kinara wa nidhamu serikalini kama ulivyosema.

Bisha.
Hicho hicho ninachokufundisha uache unaendelea kurudia. Nimekufundisha kuwa critical thinkers hujadili issues. Lakini weak thinkers hujadili watu.
Badala ya kujadili mada iliyopo mezani unanijadili mimi.
Nimekutaka ulete uthibitisho wa madai yako unapiga kona nyingi.
Je, unaweza ukaleta critical argument kuhusu madai yako. Maana unachokifanya mtu yoyote mwenye chuki anaweza kufanya hivyo.
Hata wakoloni waliwaita mababu zetu ni washenzi. Hawakuwa na maelezo yoyote ya kina.
 
Issue hata ukiiona utaijua?

Nimekwambia Magufuli hana basic ethics wala simple decorum.

Hawezi kulinganishwa na the statesman that Nyerere is.

Tatizohujui kwamba the plural of evidence is not "evidences".

Sasa hata ukioneshwa issue hii hapa utaijua vipi?
 
Nikikuonesha hayo unayoyaulizia,utakubali Magufuli mshenzi?

Umeniingiliamaisha yangu binafsi kwakuniambianamsemaMagufuli kwa maslahi yangu, nakuambia kwamba simsemi vibaya Magufuli kwa sababu ya maslahi, kwa sababu nimefaidika sana na Magufuli, na kama ningekuwa naangalia maslahi ningemuimbia mapambio Magufuli.

Sasa baada ya mimi kukujibu hivi unaniambia hakuna mtu aliyeniuliza maisha yangu binafsi?

Wewe tutusa una maji kwenye ubongo au una nini?

Unaelewa unachoandika hapa?
Kwanza kabla sijaendelea kukufundisha ustaarabu. Nieleze maana ya neno tutusa ni nini!?
Wewe umeleta madai ninakutaka unipatie matured argument unazunguka tu na kujigamba gamba pasipo sababu yoyote.

Wewe jibu hayo maswali ya GTs tuone kama maelezo yako yanaleta mantiki au hypothesis tu.
 
Matured arguments ukiziona utazijua?

Unakataa hoja kwamba Magufuli mshenzi? Hili jambo la wazi lina ushahidi, unakataa?
 
Issue hata ukiiona utaijua?

Nimekwambia Magufuli hana basic ethics wala simple decorum.

Hawezi kulinganishwa na the statesman that Nyerere is.

Tatizohujui kwamba the plural of evidence is not "evidences".

Sasa hata ukioneshwa issue hii hapa utaijua vipi?
Unarudia yale yale tu. Unabadilisha maneno tu.
Hapa unataja taja tu vitu. Hebu jaribu kuniuliza mimi dukuduku lako uone ninavyotoa ufafanuzi ili uweze kujifunza.
 
Nitakuleteaje mapya wakati ya awali hujayamaliza?

Magufuli ni mshenzi. Unakataa?
 
Nadhani umejikita kutumia maneno mabovu mabovu.
Nadhani kuna kundi lilikuwa na mazoea ya kuishi nyakati za nyuma. Zama zimebadilika inabidi kundi hilo libadilike katika kuwaza.
Hata hivyo kutumia maneno mabovu katika comment haisaidii chochote. Kinachotakiwa ni kujadili hoja.
Nimekuwekea hoja mezani kwamba. watumishi wa umma kwa sasa wanawajibika ipasavyo. Ukienda kwenye ofsi za umma utaona kabisa mabadiliko yanayoleta faraja katika nchi.
Ilakuna baadhi ya watu waliokuwa wamezoea kuishi katika maisha ya rushwa na ufisadi hakika hawataweza kumpenda. Na kwa bahati nzuri kundi hilo ni dogo sana.

Sasa tujikite kwenye mada kujadili maadili ya watumishi wa umma. Kufanya kazi ipasavyo kwa faida ya taifa zima.
Mleta Uzi nadhani unajaribu kufosi tu halaiki ijadili Uzi ambao hauingiliki akilini. Sure bora ujifariji na uridhike na ulichokijadili mwenyewe badala ya kofosi mjadala wako uwe na mashiko.
Kama vipi fanyia tu kazi ushauri wa mdau mmoja aliekwambia utupie namba waweza kumbukwa na jamaa etu[emoji2] [emoji2]
 
Matured arguments ukiziona utazijua?

Unakataa hoja kwamba Magufuli mshenzi? Hili jambo la wazi lina ushahidi, unakataa?
Unazunguka zunguka tu. Hizi zinaitwa conspiracies.
Lakini philosophical arguments huenda na maelezo ya kina.
Wewe unaleta kawama nyepesi nyepesi zisizo na supporting points.
 
Philosophical arguments my foot.

Wewe ngumbaru usiyejua spelling za english nikileta philosophical argument utaijua?
 
Nimekueleza kwamba siwezikuwa na chuki na serikali iliyoipa familia yangu nyumba ya US Dollars milioni 3 Oysterbay.

Serious question.

Do you actually think it’s a $3 million house or is it overpriced as it is with so many other properties in Dar?

The reason I ask is that, around this way, a million dollar house actually looks like a million dollar house...manicured lawns, hi-tech security system, massive yard, and all that jazz.

On the other hand, I have seen some so called million dollar houses in Dar and I just shook my head.

I have a very modest property myself [in Dar] and just out of curiosity I asked a couple of ‘real estate agents’ about how much would the asking price be if I were to put it on the market and the price they told me, I couldn’t believe it.

It got me pondering whether I should put it on the market or not....

Home prices in Dar are ridiculously overpriced!!!
 
Nitakuleteaje mapya wakati ya awali hujayamaliza?

Magufuli ni mshenzi. Unakataa?
😀😀😀 Kiranga bana. Wewe ndiye uliyeleta tuhuma, halafu wewe mwenyewe unauliza maswali!!! Nimekueleza hata wakoloni waliwaita mababu zetu kuwa ni washenzi hawakuwa na maelezo yoyote.
Je, wewe kama matured person huna maelezo zaidi yahapo!!
 
Philosophical arguments my foot.

Wewe ngumbaru usiyejua spelling za english nikileta philosophical argument utaijua?
Ona sasa hapa hatuongei English. Wewe leta philosophical arguments hapa acha kujificha ficha.
Kama umeshindwa kutoa maelezo ya kina basi hizi zitakuwa stori za vijiweni.
 
Serious question.

Do you actually think it’s a $3 million house or is it overpriced as it is with so many other properties in Dar?

The reason I ask is that, around this way, a million dollar house actually looks like a million dollar house...manicured lawns, hi-tech security system, massive yard, and all that jazz.

On the other hand, I have seen some so called million dollar houses in Dar and I just shook my head.

I have a very modest property myself [in Dar] and just out of curiosity I asked a couple of ‘real estate agents’ about how much would the asking price be if I were to put it on the market and the price they told me, I couldn’t believe it.

It got me pondering whether I should put it on the market or not....

Home prices in Dar are ridiculously overpriced!!!
Nyumba ilipigwa upgrades za kufa mtu kwa gharama za umma, hayo yote ma manicured lawn and all yaliwekwa, halafu ikaachiwa familia, halafu value ni kwa kiwanja pia kwa sababu ni super uber low density unaweza kuweka bungalows sita ndani na ukawa hujazibana.

The valuation was by then, not sure by now.I believe it has dropped, but we are not selling anyway.

Lakini all in all, my point is, habari ya kwamba mimi naishambulia serikali ya Magufuli kwa sababu nina chuki nayo, imeingilia maslahi yangu etc ni mufilisi.

Kwa sababu, ningekuwa mtu wa kuangalia maslahi, hiiniserikaliyangu, kuanzia habari ya hizonyumba za kupewa, mpaka wazee wangu walio katika cabinet sasa.

I wasn't just flossing (although I'm prone to that on my own shit, heck) I was dispelling the erroniously fallacious notion that I have beef with the government because they took my cake.

To the contrary.They gave me a bakery!
 
Ona sasa hapa hatuongei English. Wewe leta philosophical arguments hapa acha kujificha ficha.
Kama umeshindwa kutoa maelezo ya kina basi hizi zitakuwa stori za vijiweni.
Hatuongeli english lakini unataka "phoilosophical arguments"

Unajua unapoandika "philosophical arguments" tayari ushaandika english ngumbaru wewe?
 
Back
Top Bottom