Mwalimu Nyerere anaishi katika sura ya Magufuli

Usitupotezee muda kujadili MTU asiejiheshimu

MTU asiyeheshimu wenzake

MTU asiyeheshimu katiba

MTU asiyekubali kukosolewa

MTU anayefanya mambo kwa kulazimisha bila intellectual sense

Hebu heshimu jukwaa
 
Hata hapa JF kila mtu anaweza ku contribute, kwa hiyo habari zote ulizoandika ni za uongo?

Kwa nini usnioneshe habari specific ya uongo kwenye hiyo Wiki tuijadili?

Unajua hata kusoma Kiingereza wewe?

Unanipa mashaka kwamba hata Kiingereza unajua kusoma.
Ona sasa unakoelekea!! Mambo ya kuongea kingereza yanatoka wapi!? Mimi nimekuuliza jambo dogo tu.
Halafu unachanganya mada. Wikipedia siyo source ya uongo, vilevile JF siyo source ya uongo lakini hizo sources siyo credible.
Sasa suala la kusema hizo source siyo credible sina maana ya kuwa hizo ni za uongo.
 
Unaanzaje kumfananisha mwalimu na magufuli bila hata aibu? Hawafanani hata kidogo kiuongozi,kiutu,kijamii na hata kiimani.
 
Mbona tunarudi tena tulikotoka!? Wewe umeweka mtazamo wako. Huo ni mtazamo wako binafsi, sasa usilazimishe wengine wawe na mtazamo huo.
Ndio maana nikakueleza kuwa tabia unazoziita za kishenzi ni katika context ipi!? Huwezi ukatueleza kuwa hiki ni cha kishenzi bila hata kuleta analytical arguments.
Hata wakoloni walisema mila zetu ni za kishenzi wakiwa na mission behind ya kutunyonya.
So kuandika tu kuwa fulani anatabia za kishenzi ni rahisi sana mtu yoyote anaweza fanya hivyo. Ila sasa tunataka utupatie critical points katika madai yako.
Sijaweka mtazamo wangu.

Nimeweka fact.

Magufuli ana kauli na maamuzi ya kishenzi.

Kauli ni kipimo cha msingi kabisa cha nidhamu.

Hivyo Magufuli, kwa kuwa ana kauli za kishenzishenzi, kama za kutaka kupiga shangazi za wapinzani wake, hawezi kuwa kinara wa nidhamu serikalini.

Kama unaweza kupinga, pinga kwa point.
 
Nimekueleza kuwa ulete analytical arguments. Nimekueleza hata wazungu waliwaita mababu zetu ni washenzi. Leta maelezo kusaidia madai yako. Zaidi sana mimi naweza kukuona mweye chuki binafsi.
Facts huwa zinaenda na critical arguments. Zaidi sana madai yako yataonekana ni hypothesis na conspiracies.
 
Baada ya danguro la billicanas kufungwa na biashara ya madawa ya kulevya kupigwa marufuku .

Majizi chadema watapata taabu sana awamu hii.
Anazungumzia hao CHADEMA walioenda kusaini mikataba iliyo itia nchi yetu kwenye madeni?
Kweli Chadema majizi yameiibia sana nchi hii maana hazina yote ilikuwa chini yao was badala ya kuleta maendeleo wamegawana bora sasa hazina ipo chini ya CCM
 
Nimekueleza kuwa ulete analytical arguments. Nimekueleza hata wazungu waliwaita mababu zetu ni washenzi. Leta maelezo kusaidia madai yako. Zaidi sana mimi naweza kukuona mweye chuki binafsi.
Facts huwa zinaenda na critical arguments. Zaidi sana madai yako yataonekana ni hypothesis na conspiracies.
what do you mean by critical arguments! Huyu alisema atawapiga shangazi za wapinzani, this is a concrete fact, unataka critical argument ipi!
 
tabia unazoziita za kishenzi ni katika context ipi!? Huwezi ukatueleza kuwa hiki ni cha kishenzi bila hata kuleta analytical arguments.
Hata wakoloni walisema mila zetu ni za kishenzi wakiwa na mission behind ya kutunyonya.

Tabia za kishenzi

1. Kupuuza katiba, kuidharau na kufanya ujinga

A) kuzuwia mikutano ya kisiasa..... Katiba imeruhusu waziwazi,
-siasa nikazi
-ukizuia wanachama wapya wanapatikana vipi,
-Sera zinanadiwa vipi,
-watu wanajadiliana wapi nk

B) Kupanga bajeti nje ya chombo husika kikatiba.....Bunge ndio chombo rasmi, sasa tunapoona bunge linapuuza ni tatizo kubwa

2) Kuzima Television zote zisioneshe bunge kwa kisingizio cha gharama, wapo waliokuwa teyari kuonesha kwa gharama zako mfano Azam cha ajabu wakazuwiwa

3) Kufungia vyombo vya habari hovyohovyo tukijuwa fika ujinga hutolewa kwa kuelimishana, kukosoana nk.

4) kufukuza kazi wenyevyeti feki kwa ubaguzi wengine wakiachwa

5) kutukuza mambo yahovyo, vyerehani NNE kiwanda! Machine 2 zakusaga unga kiwanda! Are we serious?

Jiongeze Mzee unatuabisha hapa jukwaani
 
what do you mean by critical arguments! Huyu alisema atawapiga shangazi za wapinzani, this is a concrete fact, unataka critical argument ipi!
Ili uonekane ni critical thinker unaweza ukaleta evidences hizo hapa!?
Alisema nani!? Alisema wapi!? Alisema lini!? Kwanini alisema hivyo!? Alisema hayo kwa namna gani!?
Hayo maswali ndio msingi wa critical thinkers. Kutokujibu maswali hayo tunaweka conclusion ya kuwa hizo ni propaganda, hypothesis and conspiracies.
 
Nimekueleza kuwa ulete analytical arguments. Nimekueleza hata wazungu waliwaita mababu zetu ni washenzi. Leta maelezo kusaidia madai yako. Zaidi sana mimi naweza kukuona mweye chuki binafsi.
Facts huwa zinaenda na critical arguments. Zaidi sana madai yako yataonekana ni hypothesis na conspiracies.
Magufuli hajasema atawapiga shangazi za watu?

Kauli hiyo si ya kishenzi?
 
Mods embu mtutolee huu uzi.
Nilipita hapa mchana nikaona iyo heading nikapotezea.naona bado ipo mpk sasa.
Hope watu wanakwazika kuuona ona.kama mimi
 
Tabia za kishenzi

1. Kupuuza katiba, kuidharau na kufanya ujinga

A) kuzuwia mikutano ya kisiasa..... Katiba imeruhusu waziwazi,
-siasa nikazi
-ukizuia wanachama wapya wanapatikana vipi,
-Sera zinanadiwa vipi,
-watu wanajadiliana wapi nk

B) Kupanga bajeti nje ya chombo husika kikatiba.....Bunge ndio chombo rasmi, sasa tunapoona bunge linapuuza ni tatizo kubwa

2) Kuzima Television zote zisioneshe bunge kwa kisingizio cha gharama, wapo waliokuwa teyari kuonesha kwa gharama zako mfano Azam cha ajabu wakazuwiwa

3) Kufungia vyombo vya habari hovyohovyo tukijuwa fika ujinga hutolewa kwa kuelimishana, kukosoana nk.

4) kufukuza kazi wenyevyeti feki kwa ubaguzi wengine wakiachwa

5) kutukuza mambo yahovyo, vyerehani NNE kiwanda! Machine 2 zakusaga unga kiwanda! Are we serious?

Jiongeze Mzee unatuabisha hapa jukwaani
Nimesema tangu mwazo hizo arguments ni za weak thinkers. Any person can do that. Ndiyo maana umesema na wengine waongezee.
Ni wachache sana wenye uwezo wa kujadili beyond hypothesis.
We huishia kwenye analysis tu.
Hata mimi naweza kukuita wewe unatabia za kishezi. Lakini linapokuja suala la critical arguments wengi hukimbia na kuanza kutoa matusi na dharau.
 
Mods embu mtutolee huu uzi.
Nilipita hapa mchana nikaona iyo heading nikapotezea.naona bado ipo mpk sasa.
Hope watu wanakwazika kuuona ona.kama mimi
Waiache tu tuwanange.

Watu wanasoma na kueleweka kwa kuchambua mbivu na mbichi.

Kama sasa tumeonesha kwamba Magufuli ni mshenzimshenzi kwa kauki na matendo.

Kasema atawapiga shangazi za wapinzani wake. Mwanamme anaacha kupigana na wanaume wenzake anaenda kuonea wanawake ambao hata hawapo kwenye upinzani naye.

Hiyu ni mshenzi.

Hivyo hawezi kuwa kinara wa nidhamu serikalini kama tunavyotaka kuaminishwa.
 
Ili uonekane ni critical thinker unaweza ukaleta evidences hizo hapa!?
Alisema nani!? Alisema wapi!? Alisema lini!? Kwanini alisema hivyo!? Alisema hayo kwa namna gani!?
Hayo maswali ndio msingi wa critical thinkers. Kutokujibu maswali hayo tunaweka conclusion ya kuwa hizo ni propaganda, hypothesis and conspiracies.
Hayo maswali yako kwamba majibu yake huyajui?
 
Nimesema tangu mwazo hizo arguments ni za weak thinkers. Any person can do that. Ndiyo maana umesema na wengine waongezee.
Ni wachache sana wenye uwezo wa kujadili beyond hypothesis.
We huishia kwenye analysis tu.
Hata mimi naweza kukuita wewe unatabia za kishezi. Lakini linapokuja suala la critical arguments wengi hukimbia na kuanza kutoa matusi na dharau.
Umeandika Magufuli ni kinara wa kurudisha nidhamu serikalini.

Tumeona Magufuli ni mshenzimshenzi tu, hana nidhamu hata kwenye kauli tu, jambo la msingi kabisa.

Mfano, kasema atawapiga shangazi za wapinzani wake.

Umeshindwa kukanusha hoja hii ya ukweli kwamba Magufuli ni mshenzi tu.
 
Magicuki hajasema atawapiga shangazi za watu?

Kauli hiyo si ya kishenzi?
Nimemjibu mwezako hapo juu alete critical explanation.
Alisema nani!? Alisema wapi!? Alisema nini!? Kwanini alisema hivyo!? Alisema lini!? Alisema kwa namna gani!?
Ukijibu maswali hayo utakuwa umeleta analytical argument.
Zaidi ya hapo ni hypothesis tu.
 
Back
Top Bottom