Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
Tuchambue upuuzi uliondika.Ninajua wewe ni mchambuzi mzuri wa masuala ya kisiasa. Hebu tuanze kuchambua yaliyomo kwenye mada hii kwa manufaa mapana zaidi.

Nakuona umejikita katika suala moja tu la kuongea huku ukifumbia macho kabisa direction mpya ya kiuchumi ambayo ameianzisha Rais JPM. Nchi nyingi za kiafrika zimeanza kuiga mwenendo wa kiuchumi wa Tanzania.Katika nyakati kama hizi ambazo wapiga zumari wa watawala wanataka kutuaminisha kwamba suti ya mfalme ni nzuri sana, na inaonekana kwa wale wenye busara tu, inawezekana watakaoona mfalme anatembea uchi wataogopa kusema "mbona mfalme yupo uchi?" kwa sababu wataonekana hawana busara.
Nakataa ujinga huo, ni bora nionekane mjinga kwa kuukataa ujinga kuliko kuonekana mwerevu kwa kuogopa kuonekana mjinga kunakotokana na kukemea ujinga.
Katika uongozi, kauli ina uzito sana. Inaweza kukuza uchumi, inaweza kuanzisha vita.
Sasa tutalazimishaje kiongozi asiyejua kuitawala kauli yake tu kama Magufuli ni kiongozi mzuri sana wa kulinganishwa na Nyerere, mtu aliyeweza kuongea kwa dhana za enlightenment Europe, akazichanganya na malezi na mafunzo ya Kiafrika, na kujaribu kuleta mfumo mpya duniani, watu wanaoendesha dunia wakamsikiliza kama "philosopher king" ?
Nyerere was a "philosopher king". Ukubaliane naye, usikubaliane naye, alikuwa "philosopher king".
Alikuwa na mawazo mazito, kayaandika, yamechambuliwa, alikuwa coherent.
Kama alishindwa utekelezaji kiuchumi hilo ni suala jingine.
Magufuli hajui hata anataka kwenda wapi na afikeje anakotaka kwenda, kuna mtu ana kitu comprehensive alichoandika Magufuli?
Magufuli anaweza kujieleza kwa saa nzima bila kujikanyaga na kuji contradict mwenyewe na kutishia mambo ya kijinga kama kupiga shangazi za watu?
Huyu ni mtu wa kumfananisha na Nyerere?
Msikilize Nyerere alivyokuwa anahutubia Bunge la Africa Kusini, alivyopiga "eminent critique" habari ya nationalism in Africa.
Nyerere alipiga sommersault katika hotuba kama mpiga sarakasi hodari, kama rapper ninesema ali flow kama Big Daddy Kane akaliacha beat haraka sana akarudi kwenye mstari kuonesha ana command the flow!
Mzee kwanza kaanza na African nationalism, unamsoma unasemahuyu anaenda kutoa hotuba iliyo nationalistic.
Hapo hapo akapiga U-Turn, anasagia African nationalism, unasema ayaa wee, mzee anazeekavibaya nini? Mbona kama anajipinga?
Halafu anaanza kukuelezealogically the fallacy of African nationalism, kwamba hivi vinchi tumepewa na wakoloni tu,vingine tumeviunda wenyewe maishani mwetu (Tanzania) anakuja na grand scheme sasa ya pan Afriacinst vision.
Ukimsikiliza unaona burudani, unajua kwanini huyu anaitwa Mwalimu. Hata kamakashindwa imlplementation, ana vision, inaeleweka.
Magufuli hata kuongea tu tabu.
Unaweza kuwafananisha hawa wawilikweli?
Nakuomba msikilize Nyerere hotuba ya Bunge la South Africa, halafu tafuta sehemu Magufuli anapoongea with eloquence and leadership kama hivyo utuwekee hapa.
Kauli ina matter katika uongozi.
Kuvielewa ni kazi sana kama references za "The Emperor's New Clothes" tu nina shaka zitaeleweka umuhimu wakekwa wengi waliochagua kuwa wajinga hata pale ulimwengu unapowapa kila nafasi ya kujifunza.Unazungumzia vitu vizito sana ambavyo elimu yetu ya sasa haiviruhusu kuvielewa.
Wikipedia siyo credible source.Kuvielewa ni kazi sana kama references za "The Emperor's New Clothes" tu nina shaka zitaeleweka umuhimu wakekwa wengi waliochagua kuwa wajinga hata pale ulimwengu unapowapa kila nafasi ya kujifunza.
https://en.wikipedia.org/wiki/The_Emperor's_New_Clothes
Mkuu pole kwa matusi uliyoyapataLeo ninawaletea ufafanunuzi wa mambo yanayoashiria ufanano wa kiutendaji kati ya Mwl Nyerere na Ndg Magufuli Mwkt wa CCM na Rais wa Tanzania, kwa kuwa viongozi hufananishwa na hutofautishwa kwa utendaji wao katika kutoa uongozi.
-Ukweli
Mwalimu mwanzoni mwa miaka ya 1960 alipojiuzulu Uwaziri Mkuu kwenda kujenga Chama nakumuachia Serikali Mzee Kawawa, aliandika vitabu vitatu kimojawapo ni TUJIJISAHIHISHE ni kitabu kidogo chenye kurasa zisizozidi ishirini ambapo amesisitiza katika kusema kweli na neno Kweli limetajwa zaidi ya mara ishirini.
"Ukweli unatabia moja nzuri sana, haujali mkubwa wala mdogo, haujali adui wala rafiki. Kwake watu wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kujilipiza kisasi kama ukipuuzwa.."
Hayo ni baadhi ya maneno katika kitabu hicho, yanayosisitiza kusema ukweli na kuheshimu ukweli. Hii ni sawa kabisa kwa Magufuli ambaye toka awali amekuwa ni kiongozi anayesisitiza kusema ukweli na kwa sasa ni mwasisi wa msemo "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu".
-Kusimamia Misingi
CCM ina msingi wa vitu viwili, Haki na Watu. Mwalimu mwaka 1968, akitoa hotuba aliyoiita, "Lazima Chama Kiwasemee watu" na moja ya kauli zake ni, "kazi ya Chama cha Siasa kilicho imara ni lazima kiwe kama daraja la kuwaunganiaha watu na serikali walioichagua." Mwalimu alisema akiwaasa viongozi wa Chama kuwa karibu na wananchi na kuwa watetezi wa haki za wanyonge.
Hiyo tunaishuhudia tena kwa Magufuli ambapo kwa kiasi kikubwa amekuwa akiwasisitiza viongozi wa Chama kuwa sikio la wananchi na hata mageuzi ya Chama yamelenga kukifanya kuwa "Chama Cha wanachama na kinachoshughulika na shida za watu"
-Falsafa ya kazi
Mwaka 1976 Mwalimu aliandika kitabu "kila mtu afanye kazi" kinachoeleza kwa undani umuhimu wa kazi katika maisha binafsi na kwa taifa. Sasa ni miaka 40 Magufuli amekuja na falsafa inayofanana ya "Hapa Kazi Tu".
- Sera ya Viwanda na Kilimo
Mwalimu aliweza kuanzisha programu za kilimo ikiwemo "utekelezaji wa siasa ni kilimo" - 1974, sera ya viwanda vidogo vidogo (SIDO), vya kati ikiwemo viwanda vya nguo urafiki, Mwatex, Mutex, Mbeyatex, n.k Sawa kabisa na Magufuli ambaye ndoto yake ni Viwanda. Miezi miwili iliyopita amezindua mradi mkubwa wa kilimo awamu II utakaogusa maisha ya wakulima wadogo kwa kuwapatia mikopo nafuu ya kilimo.
-Udhibiti wa madini
Katika suala la madini Mwalimu alifanya utambuzi wa maeneo yenye madini, hakuruhusu uchimbaji uanze mbali na changamoto tulizokuwa tukizipitia kama Taifa, kwa kuwa Watanzania hatukuwa na elimu ya kutosha ya Madini. Magufuli amekuja amekuta mikataba kandamizi iliyoingiwa na watangulizi wake baada ya mwalimu hivyo ameifumua mikataba yote ya Madini na kufanya haki ya mtanzania kuheshimiwa na kuweza kuingia makubaliano kutoka 3% ya awali mpaka 50/50%.
- Reli, Umeme na Anga.
Mwalimu aliweza kujenga Reli ya TAZARA miaka ya 1970, kwa upande mwingine alikuwa na ndoto kubwa ya ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme maarufu kama Stiegler's Gorge ambao ulikwamishwa, shirika la ndege lilikuwa na ndege za AirTanzania kabla halijafa katika awamu zilizofuata. Miaka 30 sasa Magufuli amefufua shirika la ndege na mpaka sasa serikali imefanikiwa kununua ndege Saba ndogo za kati na kubwa. Ujenzi wa Reli ya kisasa unaendelea naujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa Stiegler's Gorge umeanza.
Vijana wa miaka ya 1990, Nyerere tunayesimuliwa nakumsoma amerejea katika sura ya Magufuli na ni jukumu letu kumpa ushirikiano na kufanya naye kazi kuhakikisha tunatekeleza na kufikia ndoto ya TViwanda.
Na mwandishi wetu,
Said Said Nguya
[email protected]
huwezi kumfananisha Mwalimu Nyerere na vitu vya hovyo kama hivyo,Leo ninawaletea ufafanunuzi wa mambo yanayoashiria ufanano wa kiutendaji kati ya Mwl Nyerere na Ndg Magufuli Mwkt wa CCM na Rais wa Tanzania, kwa kuwa viongozi hufananishwa na hutofautishwa kwa utendaji wao katika kutoa uongozi.

Nimeleta suala la kauli kwa sababu umejaribu kupindisha mambo kwamba Magufuli analeta nidhamu serikalini.Nakuona umejikita katika suala moja tu la kuongea huku ukifumbia macho kabisa direction mpya ya kiuchumi ambayo ameianzisha Rais JPM. Nchi nyingi za kiafrika zimeanza kuiga mwenendo wa kiuchumi wa Tanzania.
Mwalimu Nyerere alitukomboa na kuwa nchi huru kisiasa. Lakini JPM anatuletea ukombozi wa kiuchumi.
Sasa basi unapojadili issue hizi ni muhimu kujadili katika context pana. Kwamba kwa wakati wake baba wa taifa aliweza kuipatia uhuru wa kisiasa nchi yetu. Lakini JPM yeye anatuletea uhuru wa kiuchumi.
Ukiwa na jicho la uhuru wa kiuchumi utaliona hilo. Lakini ukiwa bado umebaki katika mtazamo wa uhuru wa kisiasa utakuwa uneachwa na basi.
Ni jambo rahisi sana ni kubadili mtazamo na kuelewa kuwa tupo katika kipindi gani.
Leo unapata za uso kwanjaa zako za teuziWikipedia siyo credible source.
Siyo credible source ya nini? Unajua nimeweka hapo kwa minajili gani?Wikipedia siyo credible source.
Ukiwa na jicho la uhuru wa kiuchumi utaliona hilo. Lakini ukiwa bado umebaki katika mtazamo wa uhuru wa kisiasa utakuwa uneachwa na basi.
Mkuu nimelog in just kutoa like kwenye hii posti yako.👍🏽Acheni ufala nyie watu!
... kwa kuwa viongozi hufananishwa na hutofautishwa kwa utendaji wao katika kutoa uongozi.
Hapa ndipo ninapokuja kusema kuwa ni mtazamo wako. Huo mtazamo wako hauondoi ukweli kwamba nidhamu kwenye ofsi za umma umeongezeka. Watu wanawahi kazini wanafanya kazi zao za kuhudumia wananchi kwa kiwango.Nimeleta suala la kauli kwa sababu umejaribu kupindisha mambo kwamba Magufuli analeta nidhamu serikalini.
Mtu mwenye kauli za kishenzi hawezi kuwa analeta nidhamu.
Anaweza kuwa anatumia karata ya kuleta nidhamu kuogopesha watu na kuchukua point fulanikisiasa kwa watu wasiochambua mambo kwa kina, lakini kwa sisi tunaojua nidhamu ni nini, nidhamu inaanzia kwenye fikra na kuonekana kwenye kauli kwanza.
Kiongozi ambaye kashindwa kuwa na kauli nzuri, mwenye kauli za kishenzi, hawezi kujitapa kwamba anarudisha nidhamu.
Huko kwingine kote tunaweza kufika, lakini kwanza kubali hili.
Point yako ya nidhamu kwa Magufulini ya uongo, kwa sababu Magufuli kashindwa nidhamu ndogo tu ya kutumia kauli zenye staha za kirais.
Ondoa point yako kwamba Magufuli anarudisha nidhamu, tutaendelea kujadili mambo mengine.
Hakuna rais wa Tanzania aliyeudhalilisha urais kwa kauli zisizonidhamuwalastaha za kirais kama Magufuli.
1.Nyerere hakuwahi kukopy plagiarism) PhD ya MTU mwingineLeo ninawaletea ufafanunuzi wa mambo yanayoashiria ufanano wa kiutendaji kati ya Mwl Nyerere na Ndg Magufuli Mwkt wa CCM na Rais wa Tanzania, kwa kuwa viongozi hufananishwa na hutofautishwa kwa utendaji wao katika kutoa uongozi.
-Ukweli
Mwalimu mwanzoni mwa miaka ya 1960 alipojiuzulu Uwaziri Mkuu kwenda kujenga Chama nakumuachia Serikali Mzee Kawawa, aliandika vitabu vitatu kimojawapo ni TUJIJISAHIHISHE ni kitabu kidogo chenye kurasa zisizozidi ishirini ambapo amesisitiza katika kusema kweli na neno Kweli limetajwa zaidi ya mara ishirini.
"Ukweli unatabia moja nzuri sana, haujali mkubwa wala mdogo, haujali adui wala rafiki. Kwake watu wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kujilipiza kisasi kama ukipuuzwa.."
Hayo ni baadhi ya maneno katika kitabu hicho, yanayosisitiza kusema ukweli na kuheshimu ukweli. Hii ni sawa kabisa kwa Magufuli ambaye toka awali amekuwa ni kiongozi anayesisitiza kusema ukweli na kwa sasa ni mwasisi wa msemo "Msema kweli ni mpenzi wa Mungu".
-Kusimamia Misingi
CCM ina msingi wa vitu viwili, Haki na Watu. Mwalimu mwaka 1968, akitoa hotuba aliyoiita, "Lazima Chama Kiwasemee watu" na moja ya kauli zake ni, "kazi ya Chama cha Siasa kilicho imara ni lazima kiwe kama daraja la kuwaunganiaha watu na serikali walioichagua." Mwalimu alisema akiwaasa viongozi wa Chama kuwa karibu na wananchi na kuwa watetezi wa haki za wanyonge.
Hiyo tunaishuhudia tena kwa Magufuli ambapo kwa kiasi kikubwa amekuwa akiwasisitiza viongozi wa Chama kuwa sikio la wananchi na hata mageuzi ya Chama yamelenga kukifanya kuwa "Chama Cha wanachama na kinachoshughulika na shida za watu"
-Falsafa ya kazi
Mwaka 1976 Mwalimu aliandika kitabu "kila mtu afanye kazi" kinachoeleza kwa undani umuhimu wa kazi katika maisha binafsi na kwa taifa. Sasa ni miaka 40 Magufuli amekuja na falsafa inayofanana ya "Hapa Kazi Tu".
- Sera ya Viwanda na Kilimo
Mwalimu aliweza kuanzisha programu za kilimo ikiwemo "utekelezaji wa siasa ni kilimo" - 1974, sera ya viwanda vidogo vidogo (SIDO), vya kati ikiwemo viwanda vya nguo urafiki, Mwatex, Mutex, Mbeyatex, n.k Sawa kabisa na Magufuli ambaye ndoto yake ni Viwanda. Miezi miwili iliyopita amezindua mradi mkubwa wa kilimo awamu II utakaogusa maisha ya wakulima wadogo kwa kuwapatia mikopo nafuu ya kilimo.
-Udhibiti wa madini
Katika suala la madini Mwalimu alifanya utambuzi wa maeneo yenye madini, hakuruhusu uchimbaji uanze mbali na changamoto tulizokuwa tukizipitia kama Taifa, kwa kuwa Watanzania hatukuwa na elimu ya kutosha ya Madini. Magufuli amekuja amekuta mikataba kandamizi iliyoingiwa na watangulizi wake baada ya mwalimu hivyo ameifumua mikataba yote ya Madini na kufanya haki ya mtanzania kuheshimiwa na kuweza kuingia makubaliano kutoka 3% ya awali mpaka 50/50%.
- Reli, Umeme na Anga.
Mwalimu aliweza kujenga Reli ya TAZARA miaka ya 1970, kwa upande mwingine alikuwa na ndoto kubwa ya ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme maarufu kama Stiegler's Gorge ambao ulikwamishwa, shirika la ndege lilikuwa na ndege za AirTanzania kabla halijafa katika awamu zilizofuata. Miaka 30 sasa Magufuli amefufua shirika la ndege na mpaka sasa serikali imefanikiwa kununua ndege Saba ndogo za kati na kubwa. Ujenzi wa Reli ya kisasa unaendelea naujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa Stiegler's Gorge umeanza.
Vijana wa miaka ya 1990, Nyerere tunayesimuliwa nakumsoma amerejea katika sura ya Magufuli na ni jukumu letu kumpa ushirikiano na kufanya naye kazi kuhakikisha tunatekeleza na kufikia ndoto ya TViwanda.
Na mwandishi wetu,
Said Said Nguya
[email protected]
Maswali mengi mno wakati sentensi yangu ni moja tu. Unaweza ukathibitisha kuwa Wikipedia ni credible source!?Siyo credible source ya nini? Unajua nimeweka hapo kwa minajili gani?
Unajua naongelea nini hapo? Au unarukia tu mambo?
Unaelewa kwamba katika ulimwengu wa hyperlink nikikupa link ya Wikipedia sijakupa linkya Wikipedia tu?
Unaweza kukosoahata kitu kimoja katika Wiki hiyo? Au unapinga jumla tu hata kusoma huwezi?
Nikikupalinks za JSTOR na Lexis-nexis na Wall Street Journaluna subscriptions za kuingia?
Unajua hata JSTOR ni nini?
Kwa retort kama hizi, siwezi kushangaa unaposhabikia mtu kama Magufuli na kumfananisha na Nyerere.