Mwalimu Nyerere hakuwahi kuikosoa CCM akiwa mafichoni tusipende kujikweza

Hivi Nyerere ata akiwa anaongea waziwazi ungeenda kumteka? Au unaweza kwenda nyumbani kwake kuchukua hata sisimizi?. Kama mlivyoenda kwa polepole?.
 
Hebu anza wewe kuonesha mfano, unapata wapi ujasiri wa kumsema polepole kwa kujificha jf si uitishe nawe presa conference kumsema haya unayoyasema hapa
 
Hivi Nyerere ata akiwa anaongea waziwazi ungeenda kumteka? Au unaweza kwenda nyumbani kwake kuchukua hata sisimizi?. Kama mlivyoenda kwa polepole?.
ndio maana nikasema maigizo ni mwiko
 
Tulia wewe kasema jana kasema 25% tu. Bado yupo sana anasubiri kutetemeka na 75% zilizobaki. Na atafanya kwa staili yake aitakayo,
 
Tulia wewe kasema jana kasema 25% tu. Bado yupo sana anasubiri kutetemeka na 75% zilizobaki. Na atafanya kwa staili yake aitakayo,
CCM Iliwahi kukosolewa na Nyerere na ikaendelea kudumu na itaendelea kudumu.
Enjoy your life my friend.
 
Zamani ukikosoa hauuawi, sasa hivi ukikosoa unauawa?
 
CCM Iliwahi kukosolewa na Nyerere na ikaendelea kudumu na itaendelea kudumu.
Enjoy your life my friend.
Yes ccm kama taasisi itadumu ila sio vikundi vya watu hivyo havidumu popote ng'o
 
Tulia wewe kasema jana kasema 25% tu. Bado yupo sana anasubiri kutetemeka na 75% zilizobaki. Na atafanya kwa staili yake aitakayo,
Nafurahia sana hizi CIRCUS made by the system. POLEPOLE si wa kwanza,circus nyingi zimepita na tumesahau.
Your browser is not able to display this video.

The World 🌎 is Living Suffering is Your Choice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…