Mwalimu Nyerere hakuwahi kuikosoa CCM akiwa mafichoni tusipende kujikweza

Wewe ni mtu usijifikirisha, watu wanauawa wewe unasema mtu asijifiche? Ubongo wako upo salama kweli. Hata kutojificha hata Mungu hawezi kukusaidia.
Usilinganishe Nyerere wakati ule, Waingereza walikuwa wastarabu, halafu Tanganyika haikuwa koloni lake alikabidhiwa na League of Nations alitunze. Kenya tofauti, Koloni lilikuwa lao.

Angalia Mozambique, Rhodesia, Angola, RSA viongozi walikuwa wapi?
 
Uliwahi kusikia wahuni wameruka geti na kumkamata dada wa mwl Nyerere?
..hivi kwa uhalisia dada yake polepole na Humfrey mwenyewe ni threat kiasi gani kwa System, they are just an insignificant nuisance fellows,
Your browser is not able to display this video.

Humfrey ni step son aliyeamua ku misbehave, kwa sababu hajapata alichokitarajia
High profile defection ktk historia ya CCM walikuwa ni Mrema na Mamvi tu, na walirudi miserably.
 
Na wewe ni mume wa mtu!
 
Mjingawao kwani Polepole alisema lini yuko mafichoni?

Kama vibaka wa mama mlimpata dada yake kwa kuruka ukuta na kuvamia kwake mmeshindwa nini kumpata Polepole au mnataka mpandishiwe posho ya utekaji?

Mimi nimemuona Polepole jana kwenye YouTube live stream sasa sijui hayi maficho wewe umeyajulia wapi?

Tulipokuwa tunasema utekaji na udhalimu hauna rangi hamkuamini eh sasa mnauana nyie kwa nyie.

No reforms no election.
Your browser is not able to display this video.
 
Afufuke Leo aje aisimange ccm hadharani uone kama awajamteka wamng'oe meno kama dr ulimboka.
Zama zimebadilika
 
Nyie ******* mnataka Mumtoweshe kama mdude, Akil zako ziko wapi?
 
Dada yake Polepole ametekwa sio kama individual ila kwa sababu ya Polepole ukisema ni insignificant kwa serikali inayoongozwa na kiumbe mwoga kuliko waoga wote duniani hakuna mtu insignificant. Kwamba Soka alikuwa na significance gani? Au Mdude au woote waliotekwa? Ni kwa sababu ya woga wa wakuitwa mama
 
Mchonga alikuwa ndiye mmiliki wa TISS ndiyo maana aliweza hata kumkemea rais aliyepo madarakani bila ya kutisha, kama una akili japo kidogo utakuwa unafahamu tofauti yake(when he was still alive) na hao wengine ambao hivi vijibwa vya 🐸 Kiziwi vinaweza kuwateka na kuwalawiti huku wakiwarekodi. Yaani umeandika upumbavu huku ukijua kuwa kuteka na kulawiti ni moja ya sera za bi Urojo.
Mdude yuko wapi, Ali Kibao kakutwa na yapi. Uchungu mliogubikwa nao ni kwa kuwa mmeshindwa kumpata mkaishia kumteka dada yake, sasa mngempata yeye si angebaki kuwa historia.
 
Wewe ni mzoefu wa utekaji na kuisingizia Serikali
 
Unaamini serkali imemteka mtu mdogo, non political, na asiye na madhara yoyote, na pia kwa akili yako unaamini kabisa polepole ni threat kwa serikali, anyway nisikubishie kwa saabu siju wasifu wako, tutakesha tunabishana kwa imani potofu
 
Unaamini serkali imemteka mtu mdogo, non political, na asiye na madhara yoyote, na pia kwa akili yako unaamini kabisa polepole ni threat kwa serikali, anyway nisikubishie kwa saabu siju wasifu wako, tutakesha tunabishana kwa imani potofu
Kama serikali haikumteka itwambie nani alimteka si ndo serikali ina jukumu la kulinda raia na mali zake?
 
Kama serikali haikumteka itwambie nani alimteka si ndo serikali ina jukumu la kulinda raia na mali zake?
Utekaji kwani umeanza leo??, watu wanatekana wenyewe, kwa akili yako hao walotekwa wana threat gani kwa serikali mpaka wawe na thamani ya kutekwa au kuuwawa.
TUNDU LISSU, alipigwa risasi na watu anaowajua, nyie mnaaminishwa serikali ndyo imefanya hivyo
Waliompiga risasi walikuwa hawana weledi wa kufanya assassination, alikuwa ni common thugs
 
Tujifanye serikali aihusiki basi iwakamate hao wanaowateka wenzao,iwakamate na kuwashitaki waliompiga risasi Lissu na wewe uwe shahidi wa jamuhuri maana kumbe bahati nzuri na wewe unawajua wakifanya hivyo tutaacha kuaminishwa kwamba wanatekwa na serikali.
 
Prof. MPOKI ni mteule wa mfumo na ndiye aliye mwokoa Lissukama angekuwa na nia mbaya alikuwa na uwezo wa kumopteza LISSU Boy kabla hajapelekwa nje kwa matibabu ya ziada, pls watch this video below


View: https://youtu.be/CMIjEhyjY4E?si=FyuEew6rRteQTh7r
 
uliisima hiyo thread kwa utulivu?
"Ulisima" ndio nini?

Andika kwa utulivu bado usiwe kama unakimbizwa.

Nakuuliza tena asali uliyolambishwa ulisainishwa NDA??

Maana ghafla umebadili gia angani leo mtu yule uliyekuwa ukiunga mkono utawala wa mkono wa chuma chini ya Magufuli,Polepole ,Bashiru , Ndugai leo unamsema Polepole ni kichekesho.

Wewe na lile genge lako la kina Mudawote ulitakiwa kuwa mtu wa mwisho kumsema mtu aliyekuwa anafanya ule upuuzi ndio maana nakuuliza asali ya kizimkazi uliyolambishwa ulisainishwa NDA?



View: https://youtu.be/PuP2ZJn3q3Q?si=9hsdd3axpJ-pqHrH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…