Mwalimu Nyerere na Dkt. Magufuli ndio wanaonekana marais bora, ila ndio marais wabovu kuliko wote

Mwalimu Nyerere na Dkt. Magufuli ndio wanaonekana marais bora, ila ndio marais wabovu kuliko wote

Mtu anayeweza kulinganisha JPM na MDEBWEDO wa saa hizi, huyo anafaa kupelekwa haraka Mirembe.

Mimi nimekubali kwamba, JPM alikuwa CHUMA kweli kwe.
Mimi nimewahi kuishi maeneo ya Makambako miaka ya 2013 hadi 2017.
Wakati ule wa miaka ya 2013 hadi 2015( Wakati wa utawala wa JK), Makambako nzima ilijaa kundi la WAPIGANONDO. Ilikuwa ukichelewa kidogo tu kurudi nyumbani jioni, unapigwa Nondo.

Lakini alipoingia tu JPM, 2015 hadi 2020, WAPIGANONDO, VIBAKA, WATEKAJI wa MAGARI NA WAPORAJI kwenye maduka wote walitoweka kwa speed isiyo ya kawaida. Watu wa Makambako waliishi kwa furaha na kwa Uhuru wote.
Lakini alipotoweka tu JPM, mauaza uza yote yanarudi kwa kasi ya Kimbunga.
Kama kuna mtu anabisha namtuma aende Makambako akaeaulize watu wa kule ya haya niyasemayo.

Kwa kifupi, JPM alikuwa mkombozi wa kweli wa Watanzania.
RIP, OUR BELOVED FATHER, JPM.
Alinifurahisha alivyodili na magaidi wa rufiji
 
Hao ni Marais Bora kwa ma mbumbumbu..

Marais wangu Bora ni
1.JK

2.Mkapa na

3.Samia
Kwangu mimi mpaka leo kikwete alinigusa sana kupita Nyerere. maana Kikwete alifuta kabisaa kurudia rudia darasa la saba mara kumi kumi ili ufaulu kwenda secondari. kakomboa watoto wa masikini milion hamsini kwa kuwajengea secondari za kata ! kajenga chuo kikuu kikubwa kupita vyote kusini mwa jangwa la sahala UDOM. kafanya elimu ya secondari kuwa haki ya raia hamna tena kurudia la saba,leo hii watoto wa mamesenja, maselemara, wavuvi,wauza sokoni, house boys, na wakata miwa wana graduate FiV, VI mpaka mavyuo makuu! Long Live Kikwete!!!!!!!!
 
Tokea Magufuli afe sijawahi ona Mtu akijitokeza kuwa nilinyanganywa ela zangu,labda Wachaga waliomsingizia Sabaya,nawe inaonekana ni mchanga maana Wachaga ndio waliongoza chuki kwa Magufuli, maana bila madili hao watu hawawezi ishi,na magufuli alikuwa ana uruma kwa watu wamadili.Kasikazini walimchukia sana Magufuli
Cha muhimu ni kuwa KAFA..
Na hatorudi tena .😂😂
 
Back
Top Bottom