Mwalimu Nyerere na Dkt. Magufuli ndio wanaonekana marais bora, ila ndio marais wabovu kuliko wote

Alinifurahisha alivyodili na magaidi wa rufiji
 
Hao ni Marais Bora kwa ma mbumbumbu..

Marais wangu Bora ni
1.JK

2.Mkapa na

3.Samia
Kwangu mimi mpaka leo kikwete alinigusa sana kupita Nyerere. maana Kikwete alifuta kabisaa kurudia rudia darasa la saba mara kumi kumi ili ufaulu kwenda secondari. kakomboa watoto wa masikini milion hamsini kwa kuwajengea secondari za kata ! kajenga chuo kikuu kikubwa kupita vyote kusini mwa jangwa la sahala UDOM. kafanya elimu ya secondari kuwa haki ya raia hamna tena kurudia la saba,leo hii watoto wa mamesenja, maselemara, wavuvi,wauza sokoni, house boys, na wakata miwa wana graduate FiV, VI mpaka mavyuo makuu! Long Live Kikwete!!!!!!!!
 
Cha muhimu ni kuwa KAFA..
Na hatorudi tena .😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…