Mbona hamna kitu. Halafu mbona umenitag mimi?Tazama clip hapo chini. Serikali inatakiwa ichukue hatua za haraka kwenye suala hili na kufanya uchunguzi wa kina kabisa ikiwemo na kuwahoji watoto wanaosoma hizi shule maana hivi tunavyoona inaweza ikawa ni tip of the iceberg tu.
Malaria 2 ndiyo mnavyofundisha watoto hivi mpaka mnawatoa damu?
Nimeweka clip...wewe si ndiyo Mudti humu jamii forumsMbona hamna kitu. Halafu mbona umenitag mimi?
Malaria 2 siku hizi ni mla nguruwe mzuri tu usimuulize habari hizo.Tazama clip hapo chini. Serikali inatakiwa ichukue hatua za haraka kwenye suala hili na kufanya uchunguzi wa kina kabisa ikiwemo na kuwahoji watoto wanaosoma hizi shule maana hivi tunavyoona inaweza ikawa ni tip of the iceberg tu.
Malaria 2 ndiyo mnavyofundisha watoto hivi mpaka mnawatoa damu?
Nimefunga mimi hivi sasa, naitafuta laylagadri. Nakushauri na wewe usilimu usije ukapata mateso baada ya kufaMalaria 2 siku hizi ni mla nguruwe mzuri tu usimuulize habari hizo.
Huyu mtoto uvaaji unawasiwasi, halafu itakua shule kama zile shule zenuTazama clip hapo chini. Serikali inatakiwa ichukue hatua za haraka kwenye suala hili na kufanya uchunguzi wa kina kabisa ikiwemo na kuwahoji watoto wanaosoma hizi shule maana hivi tunavyoona inaweza ikawa ni tip of the iceberg tu.
Malaria 2 ndiyo mnavyofundisha watoto hivi mpaka mnawatoa damu?
Asikuongopee mtu, ukifa biasha inaishia hapo hapo, hizi dini zenu za kutoka Mashariki ya Kati zinawapoteza sana.Nimefunga mimi hivi sasa, naitafuta laylagadri. Nakushauri na wewe usilimu usije ukapata mateso baada ya kufa
Tafuta Hela Hilo linawezekana kabisaEeh ili nione kama kweli adhabu apewayo inastahili.
Jukumu langu kukumbusha na kukutoa ktk gizaAsikuongopee mtu, ukifa biasha inaishia hapo hapo, hizi dini zenu za kutoka Mashariki ya Kati zinawapoteza sana.
Wazazi tuweni makini na hawa walimu. Mimi dogo alikua anapigwa bakora za kichwani kutokana na ubusy sikujua hata siku nakuja kushtuka kijana kavimba kichwa asee kuuliza mwalimu ndo anachapaga kichwa. Nakumbuka nilitoka job night break ya kwanza niliingia pale shuleni hakuna kitu watasahau mpaka leo na yule mwalimu alikuja kufukuzwa kwa style ya kumficha maana nilikua natembea nae kama kivuli.Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule.
Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu sasa leo wakiwa wamechelewa baada ya hapo mwalimu huyo akawashushia kipigo kizito wanafunzi hao.
Soma Pia: Mwalimu adaiwa kumpiga ngumi mwanafunzi na kumng'oa jino, eti Kisha kapata alama 29 za Hisabati
Mnadanganywa sana.Jukumu langu kukumbusha na kukutoa ktk giza
Mkuu walimu wengi wana stress za maisha kwahiyo usipokuwa karibu na mtoto utakuja kuletewa kilema ama maiti.Wazazi tuweni makini na hawa walimu. Mimi dogo alikua anapigwa bakora za kichwani kutokana na ubusy sikujua hata siku nakuja kushtuka kijana kavimba kichwa asee kuuliza mwalimu ndo anachapaga kichwa. Nakumbuka nilitoka job night break ya kwanza niliingia pale shuleni hakuna kitu watasahau mpaka leo na yule mwalimu alikuja kufukuzwa kwa style ya kumficha maana nilikua natembea nae kama kivuli.
Nb. Wanafunzi wote kwenye ile shule ndiyo walikua wanachapwa hivyo ase nilisaidia watoto wengi pale kwa kupiga kambi pale