N vile nchi hii mwalim hana bahati anasubiriwa ateleze kidogo kila mja atoe lawama zake.
Kilicho tokea n ajali kazin uenda aliadhibu kwa pole pole tu lkn Mungu akamchukiza ikaleta madhara, ata kazi zingne kun ajal kazini utokeaa daktari anaweza kuwa sababu ya mgonjwa kufariki kwa uzembe wake lkn hilo lisionekane,..
Ukija kweny suala la Hawa watt kwanz inaonekana Hawa n manunda yan wana kosa tyr kabla adi kuwekewa wa saini kila siku sa moja na nusu so inamaana kulikuwa na mechanism ya kuwa shape Hawa watt wawe ktk mstari lkn labd kukubuhu kumezid mwlm akaona ngoja niwatie bakora kidogo.
N vle wat wanaongea Dhihaka hapa kuw walim wana stress lkn kwa kizaz hik cha sasa bila viboko watt watakuw watoro, hawatakuw na nidhamu, hakuna ufaul wa maana, watt wa saiv wameharibika sn unakuta katoto ka darasa la sita ad mapenz kameshaanza huyu mtt unategemea atakuwa na nidhamu wakat akimwangalia mwlm anaona sawa na Kibwana chake anacholala nacho.
Ninachoamin zama hizi hakuna mwalim ambae anataka kuonyesha umwamba wakuchapa ila unakuta mazingira yanakulazimu kumchapa mtt, mwanafunz akiharibikiw huko mtaani utaona walim wanasemwa kuw wanashindwa kulea vzr, lkn mtt akiadhibiwa napo mwalim analaumiwa sasa Mimi nachokiona n serikal kufuta kabisa viboko SHULENI yan ata mwanfnz awe mtoro au ata afanye kosa kubwa marufuku kuchapwa wala kuguswa yan mwanafunz hasichapwe ata na mwlm mkuu kazi ya mwalim iwe kufundisha tu darasan alafu adabu nidhamu na Malezi kila mzazi apambane na mwanae nyumbani.