Mwalimu wa Kike apigwa na Mwalimu Mkuu

Hapo mwalimu Hasira utakuta hasira zimeongeza baada ya kutuma na yakutolea halafu akakukumbuka pia alikatwa na tozo daaaahhhh inauma sana kwa kweli.
Kaamua kuondoka na jino la bidada
 
Kakataa kutoa kwa mwalimu mkuu a test mitambo kuona kama chanjo ya korona imefanya kazi au la!
 

Mtoa mada unaelewa fika kwamba wahusika hawana taarifa juu ya tukio. Aliyefikwa na mkasa anaomba asaidiwe. Wewe unaelekeza taarifa yako kwa Askofu ambaye wala hayuko kwenye wilaya au mkoa wa tukio. Si hivyo tu, hata huo ujumbe unaouelekeza kwa Askofu unauandika kwa barua ya wazi hapa kwenye jamvi la JF. Sijui kama una uhakika kama mlengwa wa ujumbe huu ni mwanachama wa JF. Hata kama ni mwanachama, huenda zikapita siku kabla hajatua hapa jamvini. Hivyo atakuwa ameukosa ujumbe huo.

Hoja yangu ni kwamba malalamiko yanasambazwa kwenye vyombo vya habari badala ya kuwafikishia wahusika. Mtu analalamika kwamba ajali imetokea saa nzima iliyopita lakini mpaka sasa polisi wa usalama barabarani hawajafika. Au tukio la ujambazi limefanyika mahali fulani na vyombo vya usalama havijafika kwenye tukio.

Lawama kama hizi si sahihi. Tusikimbilie kulalamika kwenye vyombo vya habari kabla ya kutoa taarifa kwenye vyombo vinavyohusika. Hapo ndipo utakuwa sahihi kulalamika kwamba taarifa imefikishwa kwa wahusika saa kadhaa zilizopita lakini bado hawajaja.
 
Waende tume ya utumishi wa walimu,mamlaka yao ya utatuzi wa nigogoro wanaijua,kwenda kwa askofu ilipaswa kuwa baada ya ofisi za serikali kumaliza mgogoro,pia kumleta huku JF sio sawa
Mkuu Sheikh23; Hilo halijaharibu kitu. Amefanya vyema ili na ss huku maporini tuweze kuwa tumelijua na kama yupo mwengine (Mwl) anayefikiri au amezoea kufanya ujinga kama huyo Hasira awe amepata Fundisho ajihadhari na kujiepusha na ukorofi kama huo.😠👿
 
Huyu madam beautiful,kuna kitu hapa
Waache wapigwe tu mkuu, mzee Pinda alisema wapigwe tu, na mimi nakazia WAPIGWE TU, maana hawa ndio wanaolindaga kura za ccm na kuiba za upinzani
 

Kwani mheshimiwa mbunge Tale Tale wa pande za huko anasema je 😁😁?
 
uonevu wa kijinsia mimi mara nyingi nashangaa kwanini mwanaume rijali umpige mwanamke na unajua hawezi kujitetea, piganeni na wanaume wenzenu au naukuta tabia chafu sana hii na ya kukemea ni unyanyasaji wa jinsia,sheria ifate mkondo wake awajibishwe.
 
hawezi kupigwa pasipo sababu, huyo mwalimu siyo kichaaa nadhan ingekuwa busara wangeweka na sababu au mambo ya mahusiano, usikte alikua analiwa darasani
 
uonevu wa kijinsia mimi mara nyingi nashangaa kwanini mwanaume rijali umpige mwanamke na unajua hawezi kujitetea, piganeni na wanaume wenzenu au naukuta tabia chafu sana hii na ya kukemea ni unyanyasaji wa jinsia,sheria ifate mkondo wake awajibishwe.
mwanamke gani hawz kujitetea?? hawa tunaolewa nao kila siku?? wnye midomo kama chuchunge??
 
Hili halihitaji kusikiliza, hakuna sheria inayotoa uhalali wa kipigo kwa mtu mwingine.

Hili halihitaji kusikiliza, hakuna sheria inayotoa uhalali wa kipigo kwa mtu mwingine.
Nimemwelewa rasjeff kapita kwamba wahusika wa pande zote mbili i.e. Mlalamikaji (Mwl. Witness aliyepigwa/jeruhiwa) na Mlalamikiwa (mwl. Mkuu aliyejeruhi) katika shauri hili wapate fursa ya kusikilizwa = wajieleze mbele ya sheria. Ni kweli Hakuna Sheria inayotoa Uhalali wa kipigo kwa mtu mwingine Lakini mkuu Renegade ujue kwamba inawezekana mtu akapigwa kihalali kutokana na matendo au kauli zake mwenyewe. Mathalani mtu anakutukana, anakufanyia mizengwe na unamuonya x 2 au 3 lakini hakusikii na anafikia hatua ya kukugusa/ kukushika/kukuundia genge la mizengwe ; Je, hutapandwa na hasira ya ghafla hususan unapomkuta Red hand? Ndo maana huyo rasjeff kasema wasikilizwe ili ibainike ni nini hasa kilichojiri/kisababishi.
 
Pole kwa mwalimu Witness

Kumpiga mwenzio haikubaliki hata awe mke wa ndoa, vyovyote vile itakavyokuwa.

Lakini tuelezeni ikiwa mwalimu mkuu sio kichaa kwanini aliamua kumpiga Witness na sio kumpiga mwalimu mwingine?
Hahahaa mwalimu mwingine ndiyo Huyo Witness mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…