Mwalimu wa Kike apigwa na Mwalimu Mkuu


Hiyo Shule haina walimu wanaume? Mnaonaje mwanamke anapigwa kwa kiwango Hivho mnanyamaza?

Hii CCM imeharibu Hii nchi, kila kitu ni utii utii wa kijinga!
 
Reactions: BAK
Toeni sababu... Kama kala hela afu kagoma toa uchi wacha anyukwe tu.
 
MWALIMU WA KIKE APIGWA NA MWALIMU MKUU NA KUVUNJWA JINO MOROGORO VIJIJINI.
Ilitosha kusema mwalimu apigwa na mwalimi mkuu na kuvunjwa jino. Hiiya kuweka 'wa kike' inataka kuhalalisha kwamba mwalimu 'wa kiume' kupigwa na mwalimu mkuu hakuna uzito wowote
 
Kisa cha kupigwa hadi kutaka kuuwawa ni nini? Maana msilete story za upande mmoja hapa.
 
Hakujui polisi? Hamjui Afisa Elimu wake? Hajui ofisi za wizara ya elimu/ Tamisemi?

Askofu ndio mwajiri wake? Huyu ni mwalimu mjinga acha apigwe tuu
 
Tukio n la serikali afu unaliomba kanisa hii n sawa kwel???
 
Mbona wapo wengine wa ubini huu na ni wapole tuu hao hao wa huko kisaki.A HASIRA, S HASIRA ni wapole tuu ila huyu mwalimu mkuu hakutumia busara sana kusema anataka na kumuua kabisa tena baada ya kumshushia kipigo heavy namna hiyo.

Ila yote kwa yote waeleze sababu za kwa nini kaamua kumpiga kiasi hicho maana walalamikaji nao wapo kimya juu ya sababu ikiyopelekea hayo kutokea.
 
Hiyo taarifa haijaeleza kinaga ubaga nini hasa kisa na mkasa mpaka huyu mwalimu mkuu akaamua kumpika huyu mwalimu mwenzie mwalimu Witness?au huyu mwalimu mkuu amepandwa na kichaa cha ghafla?

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
In which case hapatakuwa na police case l, bali ni phsychiatric case...
 
Walimu wa sasa hawasomu TGO kabisa kama vile polisi walivyokuwa hawasomi PGO
 
Nimemuonea huruma.. ila kwa sura inaonekana huyu dada ni mbea sana🤣🤣🤣🤣. Upigwe mpka ung’olewe jini.. sio mchezo.
 
Naona hapa siasa za tapeli Mwamakula zimeanza
 
Unasahau kwamba KE wengi wanadhalilishwa kwa namna mbali mbali katika sehemu zao za kazi. Unadhani angethubutu kumgusa Mwalimu mwenzie mwanaume? 😳

Ilitosha kusema mwalimu apigwa na mwalimi mkuu na kuvunjwa jino. Hiiya kuweka 'wa kike' inataka kuhalalisha kwamba mwalimu 'wa kiume' kupigwa na mwalimu mkuu hakuna uzito wowote
 
Unasahau polisiccm hawa hawa ndiyo walioshindwa kuchunguza shambulio la Lissu, kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda na Watanzania wengi wengine ambao miili yao iliokotwa ufukweni. Usidhani hao Walimu walioandika ujumbe huu WALIKURUPUKA tu kumuandikia Askofu kabla ya kwenda polisiccm.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…