Mwalimu wa Madrasa apandishwa Kizimbani kwa tuhuma za kuwachapa fimbo (Ukatili) wanafunzi wa madrasa

Akimaliza kuvichapa fimbo anaanza kuvilawiti
Chuki zisikufanye ukajishushia heshima kijana.

Ukiitwa mahakamani ukathibitishe kauli yako utawaambia nini watu.

Siamini kama wale mapadre waliosoma miaka zaidi ya kenda ndo mahubiri wanayowapa huko makanisani au hayo ni mahubiri ya makanisa ya manabii ndo wanawahubiria na kueneza chuki.

Siamini kama RC wanafanya haya.Watu wale wa madhabahu wamejaa hekima,busara na wanaelimu pana sana.
 
Nchi haiendeshwi kwa taratibu za dini yoyote.
Na hakuna dini yenye kibali cha kudhuru mtu kwa kigezo cha maandishi yake.
Aadhibiwe ili awe fundisho kwa wengine.
 
Nchi haiendeshwi kwa taratibu za dini yoyote.
Na hakuna dini yenye kibali cha kudhuru mtu kwa kigezo cha maandishi yake.
Aadhibiwe ili awe fundisho kwa wengine.
Rais ni muislamu hizo jazba zako hazina nafasi chuki zako peleka hukooo,,,,,,
 
Uko dunia ya ngapi wewe. Tumia Google ya simu yako vizuri.
Ni walimu wangapi wamefikishwa mahakamani kwa kesi hizo.
 
Rais ni muislamu hizo jazba zako hazina nafasi chuki zako peleka hukooo,,,,,,
Akiwa Mwislamu ndiyo inakuwaje?

Ninyi mambo yenu ya kukataa hicho mnachokiita elimu dunia yanawafanya mwonekane nanii
 
Watoto mnawaonea bure

Shuleni mtoto anafundishwa kuandika na kusoma a,b,c,d ....z kuanzia kushoto kwenda kulia

Akienda madrasa anafundishwa kuandika na kusoma na kukariri maandishi ya ajabu ajabu kutoka kulia kwenda kushoto mtoto anazidiwa kichwa kinashindwa kuhimili

Ndio maana shule za kiislamu watoto wa kiislamu hufeli sana mitihani ya taifa ya baraza la mitihani

Vichwa vinakuwa over loaded kuliko wenzao wakristo hata kama wanasoma shule moja ya kiislamu ya msingi au sekondari
 
Fimbo haimaanishi mt.
Usimnyime mwanao fimbo,amrudie mwanae fimbo uikwepa aibu ukubwani.
Haya ni maandiko yanataja fimbo lakini fimbo Kibiblia maana yake ni maonyo na sio kumpiga mtoto fimbo huo ni ukatili thus ulaya unafungwa au unapokonywa mtoto.
Mtoto anachapwa akili yke na sio mwili wake.
 
Lakini je ni rahisi kuwafundisha Quran watoto bila kuwalazimisha kwa maana inahitajika kukariri zaidi na kizazi cha sasa hakiwezi kukariri kwa sababu ya aina ya vyakula wanavyokula vingi ni sumu GMO
 
Nashangaa wanapowapa walimu maamuzi makubwa dhidi ya watoto wao.

Kwa mfano hao watoto wakiumia, mzazi atafurahi kuwa wamepata thawabu?
 
Unaendelea kudhihirisha kiwango chako cha upungufu wa maarifa,uwezo na akili kiujumla.

Unafikia conclusion kizembe sana.Wewe elimu yako inawalakini maana hata diploma wanafanya research na wamesoma research methodology wewe kilaza unaelimu gani kwanza???
 
Ukristo ndo dini iliyo mwaga damu za watu wengi katika kuenezwa kwake kuliko dini yeyote.
 
Lakini je ni rahisi kuwafundisha Quran watoto bila kuwalazimisha kwa maana inahitajika kukariri zaidi na kizazi cha sasa hakiwezi kukariri kwa sababu ya aina ya vyakula wanavyokula vingi ni sumu GMO
Ni tofauti na masoma ya sunday school ambayo yanafundishwa kwa lugha mama.

Watu hawataki kujifunza na kuelewa.Mtoto anayeweza kusoma kuraan na kuikariri yote huyo hawezi kufeli darasani.Hiyo ipo wazi maana ili uweze kukariri hicho kitabu walau nusu yake lazima uwe na uwezo mkubwa wa kiakili( IQ)
 
Mnaomtetea huyo mwalimu wa madrasa, je kama ndiyo tabia yake huwachapa kila mara? Watu wamemchoka ndiyo sababu wakamrekodi mtajuaje?

Kijana wa miaka 24, ila hana huruma na mtoto mdogo wa kike analia, anaendelea kumchapa na hapo mwishoni kamchapa mwilini. Huo ni ukatili, mtoto/watoto wakikosea njia si kupiga ongea nao na kuwakataza Mabaya.

Hivi mtoto mmoja angekuwa mgonjwa na alipochapwa hapo akanyooka mngesema hayo? Tujaribu kuongea na watoto zaidi ya kuwachapa. Mtoto wangu sijawahi mchapa, ila anasifiwa kila anapokuwepo kuwa ana nidhamu sana analelewa vizuri kinidhamu. Nimemuweka karibu, kirafiki na kuongea naye zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…