Chuki zisikufanye ukajishushia heshima kijana.Akimaliza kuvichapa fimbo anaanza kuvilawiti
Ukiitwa mahakamani ukathibitishe kauli yako utawaambia nini watu.
Siamini kama wale mapadre waliosoma miaka zaidi ya kenda ndo mahubiri wanayowapa huko makanisani au hayo ni mahubiri ya makanisa ya manabii ndo wanawahubiria na kueneza chuki.
Siamini kama RC wanafanya haya.Watu wale wa madhabahu wamejaa hekima,busara na wanaelimu pana sana.