Malaria 2WAISLAMU MTABADILIKA LINI? KILASIKU KESI ZA ULAWITI MISIKITINI.
Tutabadilika nchi ikisnzishwa sheria za kiislam yaani Shariah. Wabakaji watauliwa hadharani . Hivi sheria za kikiristo zinazotumika duniani ndio chanzo cha yote haya. Wabakaji hawana hofu kwa sababu wanaamini hata wakibaka miaka 30 hawaogopi..lkn mahakama kuu zikihukumu kwa kutumia Quran hayo mambo kila mtu ataingia akili. Ukibaka utanyongwa hadharani kila mmoja anaonaWAISLAMU MTABADILIKA LINI? KILASIKU KESI ZA ULAWITI MISIKITINI.
Hawawezi.Hivi Waalimu wa Madrassa wataendelea mpaka lini na hii tabia ya Ulawiti wa watoto?
Mbona wanauchafua sana Uislam?
Viongozi wa kiislam mbona hamlaani hii tabia?
Wazazi nao akili kisoda, kijana wa 19 years unamwachia mwanao amfundishe, hizo akili matope? Na dini yenyewe anaijua sasa at 19 years? Ovyo kabisa.....nae anangoja zile 72.HABARI: Mwalimu wa madrassa Abuubakar Mussa Hamisi (19) na mwendesha bodaboda Muhaji Mohamed Rajab 25 wote wakazi wa Dule B lililopo eneo la Bumbuli, wilayani Lushoto, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Lushoto kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi wawili wa kiume na mmoja wa kike.
Imedaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sylivia Bitanto kuwa, mnamo mwezi Oktoba mwaka huu, Hamisi katika eneo la Dule B, alimwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 9.
Aidha, mwendesha mashtaka huyo Sylivia Bitanto ameendelea kudai kuwa, katika eneo hilo hilo la Dule B Bumbuli, dereva wa bodaboda Muhaji Mohmed Rajab anatuhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kike mwenye umri wa mika 11 katika eneo hilo la Dule B lililopo Halmashauri ya Bumbuli.
Hata hivyo, Mwendesha Mashtaka huyo amezidi kueleza kuwa, mbali na shauri hilo, pia mtuhumiwa Muhaji Mohmed Rajab alimlawiti mwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 7 katika tukio lililotokea mwanzoni mwa mwezi huu katika eneo la Dule B lililopo wilayani Lushoto.
Watuhumiwa hao waliofikishwa katika mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Wilaya ya Lushoto Kavumo Mndimi aliahirisha shauri hilo hadi Disemba 5, mwaka huu litakapotajwa tena huku watuhumiwa wakiendelea kusota rumande ndani ya Ngome Kuu iliyopo wilayani Lushoto.
Source: ITV Digital
Hapa siyo Iran.Tutabadilika nchi ikisnzishwa sheria za kiislam yaani Shariah. Wabakaji watauliwa hadharani . Hivi sheria za kikiristo zinazotumika duniani ndio chanzo cha yote haya. Wabakaji hawana hofu kwa sababu wanaamini hata wakibaka miaka 30 hawaogopi..lkn mahakama kuu zikihukumu kwa kutumia Quran hayo mambo kila mtu ataingia akili. Ukibaka utanyongwa hadharani kila mmoja anaona
Pangakikuwa na shariah baada ya sheria wakabakaji kama hao ingalikuwa historia. Uislam umeweka misingi mizuri sana ya kushughulikia mambo kama hayo. Jopo la wanazuoni likikaa na msahafu mbele uadilifu kwenda mbele. No rushwa no kupendeleaHapa siyo Iran.
Mohamedians katika 1 na 2,HABARI: Mwalimu wa madrassa Abuubakar Mussa Hamisi (19) na mwendesha bodaboda Muhaji Mohamed Rajab 25 wote wakazi wa Dule B lililopo eneo la Bumbuli, wilayani Lushoto, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Lushoto kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi wawili wa kiume na mmoja wa kike.
Imedaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sylivia Bitanto kuwa, mnamo mwezi Oktoba mwaka huu, Hamisi katika eneo la Dule B, alimwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 9.
Aidha, mwendesha mashtaka huyo Sylivia Bitanto ameendelea kudai kuwa, katika eneo hilo hilo la Dule B Bumbuli, dereva wa bodaboda Muhaji Mohmed Rajab anatuhumiwa kumbaka mwanafunzi wa kike mwenye umri wa mika 11 katika eneo hilo la Dule B lililopo Halmashauri ya Bumbuli.
Hata hivyo, Mwendesha Mashtaka huyo amezidi kueleza kuwa, mbali na shauri hilo, pia mtuhumiwa Muhaji Mohmed Rajab alimlawiti mwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 7 katika tukio lililotokea mwanzoni mwa mwezi huu katika eneo la Dule B lililopo wilayani Lushoto.
Watuhumiwa hao waliofikishwa katika mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Wilaya ya Lushoto Kavumo Mndimi aliahirisha shauri hilo hadi Disemba 5, mwaka huu litakapotajwa tena huku watuhumiwa wakiendelea kusota rumande ndani ya Ngome Kuu iliyopo wilayani Lushoto.
Source: ITV Digital
Walaani vipi wakati ni mafundisho ya kurwani kupitia mtume wao pedophileHivi Waalimu wa Madrassa wataendelea mpaka lini na hii tabia ya Ulawiti wa watoto?
Mbona wanauchafua sana Uislam?
Viongozi wa kiislam mbona hamlaani hii tabia?
Labda hawa ndugu zetu katika imaan THE BIG SHOW na FaizaFoxy wanaweza kuwa na majibu sahihi.Hivi Waalimu wa Madrassa wataendelea mpaka lini na hii tabia ya Ulawiti wa watoto?
Mbona wanauchafua sana Uislam?
Viongozi wa kiislam mbona hamlaani hii tabia?
Unalaanije asili??Hivi Waalimu wa Madrassa wataendelea mpaka lini na hii tabia ya Ulawiti wa watoto?
Mbona wanauchafua sana Uislam?
Viongozi wa kiislam mbona hamlaani hii tabia?
Wakiristo mtapata shida sana na uislamWalaani vipi wakati ni mafundisho ya kurwani kupitia mtume wao pedophile
Hakuna umri sahihi wa kua mwalimu kwa Kobazi..Miaka 19 anakuaje mwalimu??