mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mtelemko punyeto peke yake.
Mara ya mwisho kukutana na mwanamke wangu ilikuwa tarehe 12 mwezi wa sita mpaka leo sijaona mwanamke ila sijawahi kutamani mtoto au mwanafunzi.nina malengo mengi sana . siwezi kukubali kupoteza miaka mingi jela kisa starehe ya dakika 5.SIWEZI

Yes nimewaza kama wewe mkuu.
Jamaa mshahara wake ni mdogo majukumu ni mengi hela ya kuhonga hana akaona ajitafutie mteremko.