whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Hiyo 10 inaenda wapi?Anatoka na miaka 46
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo 10 inaenda wapi?Anatoka na miaka 46
Tuwapeleke International School of Tanganyika, Braeburn etcTupeleke wapi watoto wetu jamani?
Hakuna tena penye usalama huko nyumbani baba na mama tunapigana vikumbo asubuhi kuwahi vibaruani huku nyuma watoto wanayumbishwa kitabia na kimwili na tuliowaachia watulelee.
Anaonewa tu na kwa nini kitanzi? Mbona muanzilishi wa dini yake ya haki almbaka binti wa miaka sita akiwa na miaka arobaini? Na kwa aibu kupotezea kwa kufunga naye ndoa akiwa na miaka 9?Wa hivi ni kitanzi tu. Sasa katoto hako eti ana mpango wa kukaoa mbeleni, kuharibiana maisha tu.
Tupeleke wapi watoto wetu jamani?
Hakuna tena penye usalama huko nyumbani baba na mama tunapigana vikumbo asubuhi kuwahi vibaruani huku nyuma watoto wanayumbishwa kitabia na kimwili na tuliowaachia watulelee.
Mbele ya polisi chochote kinawezekana.Bila aibu amekiri!
Miaka inavyozidi kwenda Kuna haja ya kuwa na mahospitali mengi kuliko shule.
Mana waliosoma na kuaminiwa wamekuwa mafara mstari wa mbele.
😁 Wanaotafuta hela wanabaka ili hela ziwalinde ... Tusaidien walimu tuna Hali ngumuUtelezi ni noma sana, anaenda jela kimasikhara.
unashangaa ayo mambo yapoa sana huko uko mbagara kuu kuna binti kama uyo jirani apa anatumika kotekote anasema hawezi kuacha kashazoeaDarasa la 6 kwa watoto wa sasa ana miaka kati ya 10 hadi 12. Bado dogo sana.
Jamaa ana miaka 26 anataka, akila miaka 30 atatoka na 56.
Dogo wamtupie miaka tu.
Ame date na Katoto sasa anaenda kudetiwa yeye kwa miaka 30.
unashangaa ayo mambo yapoa sana huko uko mbagara kuu kuna binti kama uyo jirani apa anatumika kotekote anasema hawezi kuacha kashazoea
Yes nimewaza kama wewe mkuu.
Jamaa mshahara wake ni mdogo majukumu ni mengi hela ya kuhonga hana akaona ajitafutie mteremko.