Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

Hatari...
Wanaume tumeumbwa na tamaa ukishindwa kujizuia kuna hatari kubwa sana...Sasa kijana wa 26 anaenda jela kisa tamaa na kutokufikiri sawasawa...hapo mbagala wanawake wasiosoma wapo wengi tena vigori kibao ila yeye kaona adili na mwanafunzi wake.....
 
Miaka inavyozidi kwenda Kuna haja ya kuwa na mahospitali mengi kuliko shule.
Mana waliosoma na kuaminiwa wamekuwa mafara mstari wa mbele.
 
Wa hivi ni kitanzi tu. Sasa katoto hako eti ana mpango wa kukaoa mbeleni, kuharibiana maisha tu.
Anaonewa tu na kwa nini kitanzi? Mbona muanzilishi wa dini yake ya haki almbaka binti wa miaka sita akiwa na miaka arobaini? Na kwa aibu kupotezea kwa kufunga naye ndoa akiwa na miaka 9?

Na watu wanamtukuza kujiua na kuua wengine kwa ajili yake?
 
Tupeleke wapi watoto wetu jamani?

Hakuna tena penye usalama huko nyumbani baba na mama tunapigana vikumbo asubuhi kuwahi vibaruani huku nyuma watoto wanayumbishwa kitabia na kimwili na tuliowaachia watulelee.

Ukipeleka madrassa kuna shida, upeleke kanisani paroko ana mnajisi mtoto mbele ya kiti cha kitubio, ukimuacha nyumbani, mtoto anapata shida kwa wafanyakazi wa nyumbani, shuleni ndo shida kabisa... Inachosha mno...
 
Utelezi ni noma sana, anaenda jela kimasikhara.
 
Wanawake wamejaa mtaani halafu mtu mzima anaitwa Mwalimu anawaacha na kwenda kumharibu mtoto

Aondolewe kilichotumika kufanya hicho kitendo na fungwe hadi kufa
 
Darasa la 6 kwa watoto wa sasa ana miaka kati ya 10 hadi 12. Bado dogo sana.

Jamaa ana miaka 26 anataka, akila miaka 30 atatoka na 56.

Dogo wamtupie miaka tu.
unashangaa ayo mambo yapoa sana huko uko mbagara kuu kuna binti kama uyo jirani apa anatumika kotekote anasema hawezi kuacha kashazoea
 
Back
Top Bottom