Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbagala Kuu apandishwa kizimbani kwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la Sita

Mtelemko punyeto peke yake.
Mara ya mwisho kukutana na mwanamke wangu ilikuwa tarehe 12 mwezi wa sita mpaka leo sijaona mwanamke ila sijawahi kutamani mtoto au mwanafunzi.nina malengo mengi sana . siwezi kukubali kupoteza miaka mingi jela kisa starehe ya dakika 5.SIWEZI
Yes nimewaza kama wewe mkuu.
Jamaa mshahara wake ni mdogo majukumu ni mengi hela ya kuhonga hana akaona ajitafutie mteremko.
 
Darasa la 6 kwa watoto wa sasa ana miaka kati ya 10 hadi 12. Bado dogo sana.

Jamaa ana miaka 26 anataka, akila miaka 30 atatoka na 56.

Dogo wamtupie miaka tu.
akila miaka 30 atatoka na miaka 46 na sio 56,kisheria miaka ya kutumikia jela hupunguzwa kwa 1/3,hivyo atatumikia 2/3 ya kifungo chake.
 
Akitiwa hatiani huyu anastahili adhabu kali sana.

Mabinti wangapi kawaharibu huyu ngese
 
Kajikaanga na mafuta yake mwenyewe. Kaenda ndichi kiboya sana
 
...ni makosa na napinga vikali vitendo ovu dhidi ya watoto ila vi-miaka 11 vya kike vya huko daslam kwenu navyo vimechangamka sana😐
 
sir ally miaka 30 inamuhus ss
 
Kwa asilimia kubwa hayo ndiyo madhara ya kuchelewa kuowa
 
Hivi hawa watu hawaridhiki na wake zao?Kwanini wasifate wamama kitaa?Wanaharibu watoto wetu awajibishwe kwa makosa yake.
 
Tupeleke wapi watoto wetu jamani?

Hakuna tena penye usalama huko nyumbani baba na mama tunapigana vikumbo asubuhi kuwahi vibaruani huku nyuma watoto wanayumbishwa kitabia na kimwili na tuliowaachia watulelee.
The difference between the patriachy and matriachy!
 
Ndio. Ni lazima uangalie mbele, maisha ni mipango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…