Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

 
Achana kwanza na hizo risasi tano, bro siku nyngne ukitaka kutunga stori jaribu kuwa consults basi waliosoma maana naona ulikimbia umande alokwambia lazima ufanane blood group na babako nani??? Daah kazi ipo[emoji1783][emoji119][emoji119]
kama unatumia phenotype n sawa lkin ukisema utumie genetype lazma achukue moja kwa baba mfano haiwezekan mwanamke grup AB na mwanaume grup AB wapate mtoto ambaye ana grup A au B au O.......piah haiwezekan mwanamke grup O na mwanaume grup A wapate mtoto grup AB au grup B......inshort kbla ya DNA inabid ufanye hizo genetic cross ambazo zinaweza kukuthinitishia mtoto sio wako .......lkn hazithibitish kuwa pia mtoto n wako incase mwanamke alichepuka na mwanaume ambaye mnakaribiana au manafanana grup la damu🤕🤒😷
 
Boya kweli
 
Mkuu Fortyseven blood group AO ndo group gani hilo la damu? kama una maana atapata bbood group O huoni tayari huyu ameform group lake??
hahaha blood group A n phenotype ukiona mtu ni A maana yake huyo anaweza kuwa AO au AA positive or negative
 
Sasa Kwa nini asimuue na huyo mwanamke na yeye kujiua? Unamuacha ana peta tuu kwani wanawake Huwa wanajali Sasa,wao Wana focus ya mbele tuu.

Mwisho hii ni chai kama Chai zingine na sijui utaalamu upi unasema blood group ya mtoto lazima ifanane na ya baba.
 
Mimi naamini Mungu hakutumia ubavu wetu sisi wanaume kumuumba mwanamke..
 
yote yapo ndugu kuna magrup ya damu kama ifatavyo AA AO BB BO AB O positive or negative
Mi kusoma kote biology nimeambulia 4main blood groups A,B,AB and O
Then kuna -ve na +ve kwenye hizo group...ndo unaweza kucross sasa phenotypicaly na genotypicaly...
 
Mi kusoma kote biology nimeambulia 4main blood groups A,B,AB and O
Then kuna -ve na +ve kwenye hizo group...ndo unaweza kucross sasa phenotypicaly na genotypicaly...
hizo ni maini kama ulivosema na phenotypically lkin genotypically A ni either AA au AO na B ni either BB au BO AB ni haibadiliki ni AB na O ni O
 
hizo ni maini kama ulivosema na phenotypically lkin genotypically A ni either AA au AO na B ni either BB au BO AB ni haibadiliki ni AB na O ni O
Basi watoto wakikuuliza ili usiwachanganye zaidi waambie group ni A,B,AB and O
Then ukiingia ndani kwenye crossing ndo utakutana na kina AA,n.k
 
Kwanza mtu anawezaje kujipiga risasi tano kichwani? Labda ungesema tumboni au kifuani lakini sio kichwani.

Kichwani risasi moja au mbili tu, hutoweza kufyatua nyengine.
 
Uyu mtu ameuwawa sio kawaida kujidunga risasi tano kichwani, sema kastori kako katamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…