Mwambe hili linakuondolea sifa ya kuwa mwenyekiti/kiongozi CHADEMA

Mwambe hili linakuondolea sifa ya kuwa mwenyekiti/kiongozi CHADEMA

Kwani kasema uongo? Kwani Ruzuku inawekwa wazi? Kwani jengo.la Ofisi lipo? Mwambe kasema ukweli
Kwani huko kwenu CCM kuna uwazi??

Niambie wewe unajua namna zinavyotumika zile bilioni 13 zinazotolewa kila mwezi kama ruzuku kwa Chama chenu??
 
Mimi ni mtanzania ninalipa kodi chama cha mapinduzi kinapata ruzuku ya bilioni 13 na chama cha demoktasia na maendeleo kinapata ruzuku ya bilioni 3 je huku mtandaoni naona wengi wanauliza ruzuku ya chadema tu kwanini hawaulizi za c.c.m amabazo ni Mara NNE ya za chadema majengo ya chama cha c.c.m ni yakuridhi kutoka chama kimoja ukumbi Wa c.c.m Dodoma kukwete kajenga kwa msaada kutoka China swali ruzuku za c.c.m nyingi kiasi hicho huwa zinaenda wapi na mbona watu wanauliza sana za chadema?naona kuna chuki kubwa sana kwa mwenyekiti Wa chadema kwa wale wanaomchukia kwakuwa ana msimamo katika upinzani
 
Huyo Mwambe ni pandikizi la CCM...........

Ndiyo sababu yeye anagombea nafasi ya juu ndani ya Chadema, lakini wapiga debe wake wakubwa wanatoka mtaa wa Lumumba!
kwahiyo mwanachadema akigombea nafasi ya juu ndani ya Chadema ni pandikizi la CCM?

halaf eti mnajiita chama cha Democrasia na maendeleo [emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi sana Mwambe Cesy kupitishwa asingepitishwa kuna watu hp wangechonga zaidi, hapa tu wanaona aibu
 
Retired,
Tatizo la Mwambe ni Mwana Chadema wa kuja. Hajaijua misingi ya kidemokrasia ndani ya Chadema ya kwamba ni "mwiko" kumsema vibaya Mwenyekiti Mbowe. Na bahati mbaya huyu Mwambe hajifunzi kwa Chacha Wangwe, Zitto Kabwe na Mzee Sumaye! Agghghg!
 
kwenye ugombea Ni kutofautiana ulitaka Mwambe aimbe wimbo ule ule anaoimba Mbowe? Mbowe Ana yake anayotatajia kufanya na mgombea mwingine Ana yake tatizo Nini ? Si ndio Demokrasia chadema si mnajiita chama Cha Demokrasia.
itakuwa matapeli mkuu maana kujiita chama cha Democrasia na maendeleo na wakati huna hiyo demokrasia wala maendeleo huo ni utapeli tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huko kwenu CCM kuna uwazi??

Niambie wewe unajua namna zinavyotumika zile bilioni 13 zinazotolewa kila mwezi kama ruzuku kwa Chama chenu??
Duh hivi kweli nyie ndio mnataka muwe mbadala wa CCM?
Kwa akili yangu ya kawaida tu naamini mlitakiwa nyie Chadema mjitofautishe na mfanye kilicho bora kuliko CCM ili watu wawakubali.

sasa kufanya kilekile wanachokifanya CCM wenye akili wanawaona ni wale wale mwisho wa siku watu wanaunga mkono juhudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye ugombea Ni kutofautiana ulitaka Mwambe aimbe wimbo ule ule anaoimba Mbowe? Mbowe Ana yake anayotatajia kufanya na mgombea mwingine Ana yake tatizo Nini ? Si ndio Demokrasia chadema si mnajiita chama Cha Demokrasia.
Katika kipindi hiki ambapo siasa hapa nchini imekuwa ya manunuzi na kubambikia wapinzani kesi si wakati wa kufikiria ruzuki wala ujenzi wa ofisi ni wakati wa kufikiria ni kwa namna gani siasa zitarudishwa katika kanuni zake na kuendelea kupambana na maovu ya upande wa pili.

Huyo anyejinadi kwa ruzuku asipopata hata mbunge mmoja 2020 hiyo ruzuku atatoa wapi na hiyo ofisi atajengaje? Mwambe aache ubabaishaji usiokuwa wa msingi.
 
Retired,
Hata kwa dawa huyu mchawi hataingia jikoni kwetu akatulogea chakula chote cha familia. Seriously haulizi vipi kuhusu 1.5trillion? Haulizii vote 20 na ukaguzi?

Atausikia uongozi na ikibidi uanachama kwenye bomba la dizeli au arudi haraka "nyumbani" kama wenzie. Ahsante Mungu kwa kutuonyesha mapema asubuhi. CDM itadumu daima ina ulinzi kutoka mbinguni!! sasa naamini.
 
Katika kipindi hiki ambapo siasa hapa nchini imekuwa ya manunuzi na kubambikia wapinzani kesi si wakati wa kufikiria ruzuki wala ujenzi wa ofisi ni wakati wa kufikiria ni kwa namna gani siasa zitarudishwa katika kanuni zake na kuendelea kupambana na maovu ya upande wa pili.
Huyo anyejinadi kwa ruzuku asipopata hata mbunge mmoja 2020 hiyo ruzuku atatoa wapi na hiyo ofisi atajengaje? Mwambe aache ubabaishaji usiokuwa wa msingi.
kwa maoni yako sio ya kila mtu akiwepo mwambe
 
Mwambe yuko sawa. Kama ruzuku haiwekwi wazi kwa nini asiseme. Pili ni aibu kubwa kwa CHADEMA kutokuwa na ofisi yenye hadhi. Jengeni ofisi yenye hadhi. Ruzuku mnapata kwa nini mnashindwa na kuwa na ofisi nzuri.
 
Retired,

Alichosema ni kweli, ila wanacdm watakuwa wajinga kumpa mwanaccm nafasi ya kuwaongoza. Mengi ya aliyoyasema yanapaswa kufanyiwa kazi, la sivyo cdm itakuwa inajiharibia haiba yake yenyewe.
 
Back
Top Bottom