Mwambe hili linakuondolea sifa ya kuwa mwenyekiti/kiongozi CHADEMA

Mwambe hili linakuondolea sifa ya kuwa mwenyekiti/kiongozi CHADEMA

Kumbe hamtaki kiongozi ajenge ofisi, mapato ya chama yasiwekwe wazi ili kujua ni kwa namna gani yatumike. Kweli chadema hampo serious kuongoza dola siku moja naona mnaigiza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma between lines hakuna aliyesema mapato yasiwekwe wazi, NO. Wote tunapenda jengo zuri kwa kila chama, hata UDPD, TLP etc. Lakini kuna watati wa kusema, muda wa kusema, muda wa kulaumu. This is a delicate, fragile moment during elections. Mwenye mapenzi ya kweli ataacha rubusha babusha zozote ili kuepuka mifarakano wakati wa uchaguzi. kama huyu anaibua mifarakano wakati tete kama huu, basi kwa kipimo chochote hafai. Ataiweka CDM tawi la CCM! Hafai
 
Mwambe hana sifa ya msingi kupata uwenyekiti!!! YEYE ANATOKEA KUSINI MWA TANZANIA, KAMWE CDM HAITAPATA KIONGOZI KUTOKA MIKOA YA KUSINI. CDM NI FURSA YETU WACHAGA

Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhuru wa kuandika. But you are an outlier! Huna tofauti na Bulicheka, Pauli!
 
Kwanini unateseka ndugu?

Sisi tuhsmuelewa Mugombea.
Anahaki ya kujieleza pia, vilevile anayoyasema yanajulikana kwa watanzania wote na mengine mengi yamepigiwa sana kelele humu.

Hapo hajaongelea swala ya Hela za akina Sabodo, Manunuzi ya vitu vya office, kukatwa kwa posho za wabunge .k.

Je, Wewe haya mambo huyaoni? Unazani ni uongo kwamba hakuna office na makatibu hawalipwi?
 
Mimi naunga Mkono mawazo ya Mwambe, hakika fedha za Ruzuku zinatakiwa kusimamiwa vyema kwa ustawi wa Chama, leo mnawabunge 2020 hamtakuwa nao wengi hivyo Kama mliowapata 2015... Hivyo Chama kilitakiwa kujipanga hata kuanzisha miradi ya kiuchumi ili kisije kutetereka wakati wa njaa...

Kwa Miaka Mitano Mngeweza hata kuwa na Majengo ya vitega uchumi kwenye Mikoa kadhaa au vyovyote vile itakavyo wapendeza...

Au Mmengeamua kuimarisha Uongozi hata mkaamua kuajiri hata Makatibu wa Chadema Mikoa, wangekuwa wanaratibu mambo vizuri Sana na Taasisi kuwa imara matokeo yake mnapiga tu... Msipo angalia Mwisho wenu ndio huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe pekee ambaye hanunuliki,huyu Mwambe sijui naona kama ana price tag
Lowasa mbona aliweza kumnunua Mbowe,Lisu,Msigwa Lema nk wote walionunuliwa 2015 na Lowasa Sasa hivi ndio wanajidai hawanunuliki wezi wakubwa.Mwambe 2015 hakununuliwa na yeyote alijipigania nafsi yake Tena eneo gumu kwenye ngome ya CCM kupitia CUF.

Hawa akina Mbowe wanataka kurudi wauze Chama 2020 tena
 
Ukipitia humu unagundua watu wenye wivu na roho mbaya. Wengine ni asigned kufanya hayo wafanyayo. But mti wenye matunda utarushiwa mawe... TLP na wengine hawana shida hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waliomtuma jamaa ili ajaribu kuwagawa wana CDM wabebugi kwani CDM ni taasisi imara, cha msingi tu ni yeye kuondoka kuwahi viwanja huko Lumumba asije akakuta vishaisha akaana kutulaumu sisi kwamba hatukumtonya mapema.
 
Hata mimi nilimshangaa Sana huyu ndugu kwa kauli yake ile. Kwa kifupi the guy lacks leadership qualities, he's just emotional leader who doesn't see things in its reality shape....

Kwa sababu hizo ni fedha zinazoingia kidogo kidogo kila mwezi na kila mwaka na kisha kutumika kwa kipindi hicho kulingana na mipango na bajeti yake....

Anachojaribu kufanya Cecil Mwambe ni kuchora picha kwa watu wasiofikiri wala kudadisi mambo, wanaomeza chochote wanachosikia kuamini na kusema kuwa, ".....ala!! kumbe chama kina fedha nyingi sana na zinaliwa tu...!!"

Lengo lake obviously si kutaka uongozi bali kujaribu ku - instigate mgogoro miongoni mwa wana CHADEMA.

Mimi naamini wajumbe wa mkutano mkuu wana uelewa na ufahamu wa kutosha wa kupima na kuamua. Chagueni kiongozi atakayekipeleka chama mbele na siyo kukitumia kama fursa kwake ambapo mwisho wa siku kukiua chama.....

Ikitokea huyu jamaa mfano yeye ndiyo akawa kiongozi mkuu wa chama, usije kushangaa akashindwa kufanya lolote ikiwemo hata kujenga choo tu achilia mbali hicho anachosema kujenga majengo ya kisasa ya ofisi kila mahali kwa sababu hayatazami mambo ktk uhalisia wake....

Kwa kigezo hiki akikitumia kukokotoa fedha ambazo CCM na vyama vingine vimepata kwa muda uleule atashangaa kupita kiasi...

Kwa mfano mtu akisema fulani ana miaka 25 kazini kwake tangu ameajiriwa kwa mshahara wa 600,000 kila mwezi na kwa hiyo ameshapata jumla ya Tshs. 150,000,000 kwa miaka yote na sijui kwanini ameshindwa kumiliki kampuni kubwa ya usafirishaji na kujenga ghorofa kila mahali sijui utakuwa na maana gani tu!!
 
KAMA MH. MWAMBE ALIZUNGUMZIA SUALA LA RUZUKU NA OFISI ZA CHADEMA WANACHADEMA WANAHAKI YA KUMPA KURA KM KWELI WANANIA YAKUJENGA CHAMA. jambo hili nimeliandika katika andiko na comment zangu hum JF. Siku 4zilizopita nikasema chadema nikibubu cha mbowee nanikathibitisha kwakuhoji rudhuku ya chama ambayo ameifanya kuwa niyake nahakuna wakuhoji wakati nipesa yetu ya walipakodi waTZ , nikahoji angarau ofice tu za chama hata ile yamakao makuu haina hadhi, mda huo anakodi ndege kwenda kuomba maridhiano kwenye sherehe yaanj ni ajabu kweli, namda huo anakagenge kawatu wachache ambao wengi wao niwachaga wenzake nabaadhi yawatu toka mikoa mingine ambao wapo pale km mandondocha nakuwafanya wanachama zaidi ya 2ml. Anaojisifia kuwa wapumbavu! Nasubiri kampeni za 2020 mungu atufikishe tutahitaji majibu ya maswari haya pamoja na maswari mengine mangi mtujibu. Najua mmepanga kuanza maboma ya ofice mwaka 2020 lakini hayatakuwa majibu yakujibu makusanyo yapesa miaka yte hyo namda huo tunachangia matibabu ya lisu. Mwambe umetusaidia kuchokonoa mada. Safi sana ila najua hawatakupa hata ukishinda ila umetupa nguvu yakuhoji
 
Hata km kunamatumizi nibora yangekuwa yanawekwa wazi hata kila baada ya miezi3 au6 cyo yeye na akina mlema ndo wenye power of attorney kwenye pesa ya chama. Tunahitaji majibu ya pesa zetu athorwise tuanze kutumbuana ndani ya chama, chama hakijatoa hata msaada wwte miaka4 sasa ruzuku wanabeba nawabunge wetu wanachangia + wahisani mbowee anajinufaisha na chama.
 
Yaani mtu kuhoji kuhusu ruzuku ni pandikizi? Mtu kusema ataboresha office ni pandikizi? Mnaridhika ni kile kibanda cha kuku pale ufipa? Hivi mbowe kawapa nini? Mnataka atawale miaka mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ujamsikia kiongozi mkuu mmoja alisema anatamani kiongozi mmoja wa juu atawale maisha? Jiulize kampa nn?
 
Mbowe kawalisha nini nyie nyumbu, nafasi yake ya kurithi ukweni haiguswi.... kumpoka chama ni kama kumpoka mkewe binti Mtei.
 
Ukisoma kitabu cha Dr Slaa ""nyuma ya pazia ",chadema iliyosalitiwa 2015"" ndipo utajua kuwa Mbowe ana kamati kuu nyengine tofauti na kamati kuu ya chadema..Dr Slaa anasema alipigwa na bumbuazi 2010 alipoambiwa eti kamati kuu imefanya kazi yake na kumchagua Dr slaa agombee uraisi wakati hakuna kikao chochote kilichokaa kumpitisha yeye kuwa mgombea urais
Hapa Dr. Slaa nae aache unafiki.
Kwanini hakukataa kuwa mgombea na kudai kamati halali ikae impitishe ndipo aendelee na kuwa mgombea alieye pitishwa na kamati kuu halali?
Ingawa mimi binafsi niliweka saini petition iliyokuwa inatembezwa maeneo flani ya kumuomba awe mgombea kupitia CDM 2010.
 
Mbowe ni mwenyekiti chadema tangu 2004. Tangu mwaka huo, mbowe ana mafanikio gani ukiachilia kuongezeka wanachama ambayo si kazi yake peke yake na kuongezeka ruzuku ya chama ambayo hata hivyo siyo kazi yake peke yake?

Kwa umri alionao akiwa mwenyekiti chadema, tunatarajia tungekuwa na makao makuu ya chadema yaliyo safi kulingana na hadhi ya chama, tungekuwa na ofisi za chadema kila mkoa, na pengine tungekuwa na assets ambazo zingesaidia kuboresha mapato ya chama. Lakini muda wote huo, yeye ni kutumbua ruzuku tu na kugawana ubunge viti maalumu na watu wa kasikazini tu.

Sasa Mwambe kusema ataweka uwazi katika mapato na matumizi(fikra mpya) MWAMBE anaitwa ppandikizi la ccm.

Kwa nini aitwe pandikizi la ccm wakati huu alipotangaza kuwa mwenyekiti wa chadema taifa na hakuwahi kuitwa pandikizi la chadema wakati akiwa mwenyekiti wa kanda ya kusini? Shida ni ukaskazini tu hakuna lingine
 
Haya haya mnayoyasema kuhusu CCM na Serikali yake ndo hamyataki yasemwe kuhusu CHADEMA. Wakina membe na wengine wakiisema CCM mnawaona mashujaa na majasiri hamuoni kama wanaleta migogoro ndani ya chama. Ushabiki ni mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom