Mwambe hili linakuondolea sifa ya kuwa mwenyekiti/kiongozi CHADEMA

huu ujinga wa Chadema utaisha lini?
kila anayegombea uenyekiti ni pandikizi la ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni hivi, safari hii cdm hawana mgombea sahihi kwenye uenyekiti. Mbowe he is outdated na huyo Mwambe ni ccm kindakindaki. Yoyote kati ya hao atakayekuwa mwenyekiti hatakuwa na mchango wa maana ndani ya cdm zaidi ya kuishusha cdm kila mmoja kwa angle yake.
 
Wa Lumumba wanadhani CHADEMA hawana akili ee! Kama mwambe ni MTU makini ccm hawapendi watu makini? Mbona ametoka ccm kwa hiyo makini wake umekuja baada ya kufika CHADEMA?
 
Sio kosa lako hata kwenye mawazo finyu humu wana haki ya kuchangia
 

Ila kama mikutano na kufanya siasa nchi nzima kumezuiwa, ilikuwa ni wakati muafaka wa cdm kujenga ofisi zenye hadhi ya cdm. Sasa hata kama hilo limeshindikana huoni kuwa kuna walakini? Huyo Mwambe najua hatashinda, lakini katuma ujumbe stahiki kuwa ofisi zenye hadhi ya cdm ni muhimu.
 
Watu Wanamchora tu baada ya uchaguzi atarudi kwao Wakampee U Dc
 
Mwambe ni wakala aliyetumwa kuleta vurugu kwenye Chama lakini tunashukuru kundi lake wameshindwa mapema...Mgombea gani asiyeweza hata kutamka neno "CCM" kwenye kinywa chake???
 
Sasa mbona hakukataa ?
 
Kitendo cha kuambiwa kuwa yuko kimwili Chadema lakini Kiroho yupo CCM tena tukaambiwa na mwenye nguvu HAFAI HAFAI ipo siku atarudi CCM huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya kampeni? Je mtu akihoji tu ruzuku anakuwa pandikizi. Nyie ndiyo kila siku mnalalamika Rais hakosolewi! Yaani hadi nashangaa lazima aseme ukweli ili wanachama waamue
 
Mbowe pekee ambaye hanunuliki,huyu Mwambe sijui naona kama ana price tag
 
Yaani mtu kuhoji kuhusu ruzuku ni pandikizi? Mtu kusema ataboresha office ni pandikizi? Mnaridhika ni kile kibanda cha kuku pale ufipa? Hivi mbowe kawapa nini? Mnataka atawale miaka mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Read with internalisation of my content! Nimesema ana haki ya kusema, lakini unayasemea wapi na muda gani? Sijasema asiseme , hapana. Huu ni wakati ambao ni fragile, delicate, mtu mwenye mapenzi na chake atanyamaza kwanza uchaguzi upite kuepusha mifarakano, then aseme yanayokera.
 
kwenye ugombea Ni kutofautiana ulitaka Mwambe aimbe wimbo ule ule anaoimba Mbowe? Mbowe Ana yake anayotatajia kufanya na mgombea mwingine Ana yake tatizo Nini ? Si ndio Demokrasia chadema si mnajiita chama Cha Demokrasia.
Mwambe ndiyo maana walimfukuza CCM, wakamnyima kugombea ubunge pamoja na kuwa alishinda maoni!
 
Kumbe hamtaki kiongozi ajenge ofisi, mapato ya chama yasiwekwe wazi ili kujua ni kwa namna gani yatumike. Kweli chadema hampo serious kuongoza dola siku moja naona mnaigiza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye ugombea Ni kutofautiana ulitaka Mwambe aimbe wimbo ule ule anaoimba Mbowe? Mbowe Ana yake anayotatajia kufanya na mgombea mwingine Ana yake tatizo Nini ? Si ndio Demokrasia chadema si mnajiita chama Cha Demokrasia.
Kwa kweli ccm uchaguzi huu wa chadema unawapa tabu sana!! Mbowe alishawaambia kua "nitaondoka kwa maamuzi ya wanachadema na sio kwa kuambiwa na watu walioko ccm. Kwa hio ndugu YEHODAYA tuvumiliane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli ccm uchaguzi huu wa chadema unawapa tabu sana!! Mbowe alishawaambia kua "nitaondoka kwa maamuzi ya wanachadema na sio kwa kuambiwa na watu walioko ccm. Kwa hio ndugu YEHODAYA tuvumiliane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambe hana sifa ya msingi kupata uwenyekiti!!! YEYE ANATOKEA KUSINI MWA TANZANIA, KAMWE CDM HAITAPATA KIONGOZI KUTOKA MIKOA YA KUSINI. CDM NI FURSA YETU WACHAGA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…