Umewahi kuugua ukichaa?Mwambe hana sifa ya msingi kupata uwenyekiti!!! YEYE ANATOKEA KUSINI MWA TANZANIA, KAMWE CDM HAITAPATA KIONGOZI KUTOKA MIKOA YA KUSINI. CDM NI FURSA YETU WACHAGA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilitakiwa Mwambe amalizie vizuri statement yake kwamba ruzuku ya chama inaliwa na Mbowe ! Angeeleweka zaidi.Jana ulitoa kauli ambayo haitegemewi kutoka kwenye kinywa cha mtu anayewania kuwa Mwenyekiti, eti: Ruzuku itawekwa wazi na si kama ilivyo sasa ambapo ni siri ya viongozi wachache! Eti utajenga Jengo la ofisi ya chama na blah blah nyingi.
Sawa ni haki yako kutoa mawazo yako, bila kuingiliwa, lakini unaangalia unayatolea wapi na muda gani. Kama hayo ungeliyasema ndani ya chama, sawa kabisa.
Katika kipindi ambacho kuna mtu mwenye nguvu zote anaapa kuua upinzani, ni muda wa kuepuka any kind of migogoro ndani ya chama.
Wewe ndiyo kwanza unazua migogoro ukijua fika kuwa wakati wa chaguzi ndio muda wa mifarakanao katika taasisi kama hizi.
Unataka wana CHADEMA wakuelewe vipi? Una agenda gani kama sio kuisambaratisha CHADEMA?
Rais Magufuli alikusifia sana wakati fulani.
Hakika Mwambe hufai, ni Pandikizi.
Angalia CCM ulipotoka, Mwenyekiti wao anafanya mangapi ambayo hakuna ndani ya chama chao anayehoji (sisemi CHADEMA muige watu kufungwa midomo, hapana), lakini unaangalia ni muda gani unatoa malalamko kama hayo, hata kama kutafuta kura.
Nilitegemea uyaseme siku ya kuomba kura, sio kwenye mitandao ya kijamii kuwabeza wenzako kuwa ni "wezi"
Mwambe ni pandikizi, mkirogwa mkampa hata kura moja, CHADEMA mmekwisha, kama CUF na vyama vingine vya mifukoni!
Membe kasema nini kuhusu chama chake in a negative way?Haya haya mnayoyasema kuhusu CCM na Serikali yake ndo hamyataki yasemwe kuhusu CHADEMA. Wakina membe na wengine wakiisema CCM mnawaona mashujaa na majasiri hamuoni kama wanaleta migogoro ndani ya chama. Ushabiki ni mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe jinga la kufuata mkumbo. CCM ina ofisi zipi za jasho lake? Una ushahidi kuwa Mbowe anakula hela za ruzuku au ndio praise teamKAMA MH. MWAMBE ALIZUNGUMZIA SUALA LA RUZUKU NA OFISI ZA CHADEMA WANACHADEMA WANAHAKI YA KUMPA KURA KM KWELI WANANIA YAKUJENGA CHAMA. jambo hili nimeliandika katika andiko na comment zangu hum JF. Siku 4zilizopita nikasema chadema nikibubu cha mbowee nanikathibitisha kwakuhoji rudhuku ya chama ambayo ameifanya kuwa niyake nahakuna wakuhoji wakati nipesa yetu ya walipakodi waTZ , nikahoji angarau ofice tu za chama hata ile yamakao makuu haina hadhi, mda huo anakodi ndege kwenda kuomba maridhiano kwenye sherehe yaanj ni ajabu kweli, namda huo anakagenge kawatu wachache ambao wengi wao niwachaga wenzake nabaadhi yawatu toka mikoa mingine ambao wapo pale km mandondocha nakuwafanya wanachama zaidi ya 2ml. Anaojisifia kuwa wapumbavu! Nasubiri kampeni za 2020 mungu atufikishe tutahitaji majibu ya maswari haya pamoja na maswari mengine mangi mtujibu. Najua mmepanga kuanza maboma ya ofice mwaka 2020 lakini hayatakuwa majibu yakujibu makusanyo yapesa miaka yte hyo namda huo tunachangia matibabu ya lisu. Mwambe umetusaidia kuchokonoa mada. Safi sana ila najua hawatakupa hata ukishinda ila umetupa nguvu yakuhoji
Yaan hawa manyumbu ni wanyama wa kuhurumiwa tuu hawajui wanataka nini. badala ya kufanya maaamuzi yaliyosahihi na kwa muda sahihi wanamshambulia mtu sahihi ambaye atawavusha ksalama mto mara wasiliwe na mamba. Sasa ngoja tuone kesho siyo mbali.Yaani mtu kuhoji kuhusu ruzuku ni pandikizi? Mtu kusema ataboresha office ni pandikizi? Mnaridhika ni kile kibanda cha kuku pale ufipa? Hivi mbowe kawapa nini? Mnataka atawale miaka mingapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisema Bwana Mkubwa kuwa Kmwili yuko CDM , rohoni yuko CCM, eti damu yake ni CCMKitendo cha kuambiwa kuwa yuko kimwili Chadema lakini Kiroho yupo CCM tena tukaambiwa na mwenye nguvu HAFAI HAFAI ipo siku atarudi CCM huyo
hana lolote la chmbani, huyu ni pandikizi. Mfano wewe nyumbani ni CDM, uko huko kwa vile ulipishana nao siyo kuwa damu yako ni CCM, NEVER! Unadhani wewe kesho utakuwa hapo kama wadhifa ulionao, walikupokea kuikomoa CDM, siyo kuwa wanakupenda, labda kama.............omba sana Mungu!Wanaokuja na sera ya kuindoa Chadema chumbani wanapingwa kwa nguvu zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Du. Chadema mnakwama wapi. Mna andika bila hata Aibu. Nyie kila siku mnashabikia Membe nk je MEMBE NI PANDIKIZI LA CHADEMA.
Pole sana mkuu naona unaumia sana lkn Cecil hafai tu. Anaweza kujaribu tena baada ya miaka mi5.
Hebu tuwaulize akina Kinana, Makamba (junior na senior), Membe, Nape, Ngeleja na wengine wengi kama ni ruksa kumsema ‘vibaya’ au hatu kumkisoa kwa haki mwenyekiti wa CCM Magufuli!Retired,
Tatizo la Mwambe ni Mwana Chadema wa kuja. Hajaijua misingi ya kidemokrasia ndani ya Chadema ya kwamba ni "mwiko" kumsema vibaya Mwenyekiti Mbowe. Na bahati mbaya huyu Mwambe hajifunzi kwa Chacha Wangwe, Zitto Kabwe na Mzee Sumaye! Agghghg!
Nazidi kuamini kweli wachaga hawapendwi nchi hii. Kama siyo hivyo basi hayo ndiyo maneno yanayoonekana kuwa na uzito wa kuivunja Chadema, maana kila chama chenye nguvu hutafutiwa maneno ya kukivumisha ubaya mpaka pale kinapotoweka.Umewahi kuugua ukichaa?
Bob Makani alikuwa mchaga? Mashinji ni mchaga? Dr Slaa alikuwa mchaga?
Au unataka kusema wachaga hawana haki ya kuwa vipngozi wa chama? Kama huko CCM kuna sera ya kuwazuia wachaga wasiwe viongozi wa juu wa chama, vyama vingine havina huo ubaguzi. Ndiyo maana unaona ndani ya CHADEMA, mchaga ameweza kushika mpaka nafasi ya juu kabisa, si kwa sababu ya uchaga wake bali kwa sifa na maamuzi ya wanachama.