Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Aombe msamaha amefanya kosa gani?Kumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Kumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Msamaha kwa kosa gani? Blood bastardKumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Bila matusi pia yawezekanaMsamaha kwa kosa gani? Blood bastard
Una uhakika huyu ni Andrew?Wewe Samia alivyokuja butiama si ulifungiwa chumbani ili usionane na ugeni ule kwa sababu ilionekana kichwani hauko sawa?
Lema anatia mashaka sanaKumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Andrew ndio nani?Una uhakika huyu ni Andrew?
Nani huyo mkuu?Wewe Samia alivyokuja butiama si ulifungiwa chumbani ili usionane na ugeni ule kwa sababu ilionekana kichwani hauko sawa?
Kweli Mkuu, Lissu anahitaji kusaidiwa na watu walio neutral. Kuendelea kumsikia MangeKimambi ambaye ni mwana harakati aliye nje ya nchi ni upuuziKumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Ameshtakiwa kwa kosa la uhainiAombe msamaha amefanya kosa gani?
Hivi ninyi chawa mna shida gani?
Huyu ni Andrew ndiyo.Una uhakika huyu ni Andrew?
Hawa wajinga hawataki kukuelewa kwa kuwa ni wafaidika wa maumivu ya Tundu LissuIkiandikwa barua, nitaipeleka Ikulu.
Sitaisoma. Sitahitaji kuisoma.
Chadema waiandike,mimi nitaipeleka.
Usiwe kama mbuni anayeficha kichwa chake kwenye chaka wakati matako yake yako wazi
First born wa Nyerere, kaka yake Makongoro, tumekuwa naye humu JF kitambo tu.Andrew ndio nani?
KAmbagaza wakati alimuonea huruma dhidi ya nduli jpm baada ya kumchapa masasi 32Lissu kamkosea nini Samia?
πππππKumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.