Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Pamoja na kumlipa mafao yake ya ubungeKAmbagaza wakati alimuonea huruma dhidi ya nduli jpm baada ya kumchapa masasi 32
Pamoja na kumlipa mafao yake ya ubungeKAmbagaza wakati alimuonea huruma dhidi ya nduli jpm baada ya kumchapa masasi 32
Huyo Lissu aliwaambia anahitaji huo msamaha?Hawa wajinga hawataki kukuelewa kwa kuwa ni wafaidika wa maumivu ya Tundu Lissu
Aombe msamaha wakati hukumu ni kesho kutwa?.Kumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Msamaha wa Nini?Ikiandikwa barua, nitaipeleka Ikulu.
Sitaisoma. Sitahitaji kuisoma.
Chadema waiandike,mimi nitaipeleka.
Usiwe kama mbuni anayeficha kichwa chake kwenye chaka wakati matako yake yako wazi
Weka deposit slip ya ushahidi wa malipo.Pamoja na kumlipa mafao yake ya ubunge
Ni stahiki zake au ilikuwa hisani? Hapa weka sawasawa kwanza ndio tuendelee.Pamoja na kumlipa mafao yake ya ubunge
Utalijua kosa tarehe 6 NovemberAombe msamaha amefanya kosa gani?
Hivi ninyi chawa mna shida gani?
Kama ameshtakiwa na kesi ipo mahakamani aende akaombewe msamaha ili iweje?Ameshtakiwa kwa kosa la uhaini
Kwani Lissu mwenyewe anasemaje?Ameshtakiwa kwa kosa la uhaini
Jaji anaweza kupewa hukumu na kazi yake ikawa ni kuisoma tu, au haujasikia ya Uganda? Mtoto wa Museven anataka kumtowa jela Kiza Besigye amemtuma mtu aongee naye, mahakama wala haihusiki.Aombe msamaha wakati hukumu ni kesho kutwa?.
Wewe utakuwa umetumwa..Ikiandikwa barua, nitaipeleka Ikulu.
Sitaisoma. Sitahitaji kuisoma.
Chadema waiandike,mimi nitaipeleka.
Usiwe kama mbuni anayeficha kichwa chake kwenye chaka wakati matako yake yako wazi
Ok vizuriFirst born wa Nyerere, kaka yake Makongoro, tumekuwa naye humu JF kitambo tu.
Kama ana kosa, kesi ipo mahakamani..Utalijua kosa tarehe 6 November
Nina mashaka na akili za huyu mtu..Wewe Samia alivyokuja butiama si ulifungiwa chumbani ili usionane na ugeni ule kwa sababu ilionekana kichwani hauko sawa?
Yaani ki uwehu tu bado unaamini lissu hana kosa!Aombe msamaha amefanya kosa gani?
Hivi ninyi chawa mna shida gani?
Ndio huyu ndiye na hii ndio ID yake humuUna uhakika huyu ni Andrew?
Kamnyongeni kama ana kosa..Yaani ki uwehu tu bado unaamini lissu hana kosa!
Si apewe kwanza tuone kama ata ng'ang'ania Ukonga.Huyo Lissu aliwaambia anahitaji huo msamaha?