Mwambie Heche mimi niko tayari kuipeleka barua kwa Rais Samia

Mwambie Heche mimi niko tayari kuipeleka barua kwa Rais Samia

Sheria ilikuwepo na hairuhusu, tena sio hao tuu, hata mbunge wa Njombe, ametoka jela kwa majadiliano ya player bargain na DPP, haifuti hatia, inapunguza tuu kifungo, ila lazima mtu aweke pingamizi. Batili isipobatilishwa, inageuka halali. Na haramu isipoharimishwa inageuka halali,
P
Mzee wangu haujaweka hata kifungu cha Sheria kwa kipindi anagombea Mzee Maganga na Rage possibility ya kuwekewa mapingamizi ilikuwa kubwa na yangeweza kusikilizwa.
Hiyo ya Mbunge wa Njombe ni kipindi ambapo Sheria hazina maana hata kama angewekewa pingamizi na aliyetaka awe mbunge angevunja tu hiyo sheria akawa mbunge.

NChi hii sheria ziliacha kufanya kazi kwa baadhi ya makundi 2015 ila kuna wengine hata kama sheria inaruhusu kuna sheria zisizofahamika zinatumika tu.
Ni sheria ipi hiyo inayowazuia ?
 
Aombe msamaha amefanya kosa gani?
Hivi ninyi chawa mna shida gani?
Unaongea vile tuu hauko jela.
MTU kaamua kukuonea tuu na ana mamlaka ya kukuonea, sasa anakupa masharti ili asiendelee kukuonea halafu ambaye hayuko jela anashabikia usitoke sababu huna kosa.
Kuwa jela wakati huna kosa kunauma Sana Bora uwe na kosa utajutia kosa lako kuliko anavyoonewa Lissu.
 
Kuna kamsemo ,kichaa anachekesha kama cyo mtoto wako
 
Msamaha kwa kosa gani? Blood bastard

Mwenzenu yupo Lupango nyinyi mnadai kafanya kosa gani

Asingefanya kosa angekuwa Lupango japo yeye ni mwanasheria

Nyinyi ndio mnapenda Mhe Lissu kukaa Lupango mnazuga kujidai ni watetezi wake ✍️
 
Unaongea vile tuu hauko jela.
MTU kaamua kukuonea tuu na ana mamlaka ya kukuonea, sasa anakupa masharti ili asiendelee kukuonea halafu ambaye hayuko jela anashabikia usitoke sababu huna kosa.
Kuwa jela wakati huna kosa kunauma Sana Bora uwe na kosa utajutia kosa lako kuliko anavyoonewa Lissu.
Uhalisia ni kwamba CCM mpaka sasa hawajui wafanye lipi, kwa ufupi ile mahakama ni gheresha tu, lakini huko juu wanawaza na kuwazua hii kesi wafanye kipi...

Lissu kuachiwa huru ni pigo kwa CCM, na wakisema ana hatia ni mhaini pia sote tunaelewa nini kitatokea...

Sasa ndipo chawa wanaanza kujitokeza na kusema 'aombe msamaha'... acheni unafiki... Hivi unafikiri Lissu hapo gerezani anashindwa mwenyewe kusema kwa mdomo wake? ama akapewa simu akawasiliana na watawala kwamba yaishe?

Mwingine kafungua uzi huko juu eti Heche aandike barua ya kuomba msamaha kwa Lissu yeye aipeleke ikulu... hivi Lissu akihitaji msamaha anashindwa kusema?

Acheni ujuaji usio na maana...

Tunasubiri hio hukumu isomwe... msichengeshe mambo... walimfungulia kesi, sasa acha waimalize..
 
Kumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Sasa kwa nini mtu anaetumia crack cocaine aweze kuwavuruga ????

Halafu huoni ni bora anaetumia psychoactive chemicals, manake akiacha anakaa sawa?

Wewe ulikiwa diagnosed na inborn psycho something disorders - day one! Hujakaa sawa mpaka leo. Wa Magige kamaliza mizizi yote nchini. Si ni bora crackhead Mange ?
 
Chadema andikeni hiyo barua kuna mtu maalum kapatikana wa kuipeleka msije sema hakuna mtu wa kuifikisha.
 
Kumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Lissu kuwekwa ndani ni project ya Mange na watu wake ili wapige pesa. Huoni wengine wameshaanza kujiita mwenyekiti wa chama wakati yeye ni mamakamu tu. Pia nasikia hela za chama toka kwa wadau mbalimbali zinawekwa kwenye akaunti ya makamu ili kukamilisha project na kufanya viongozi wengine wakose fedha
 
Uhalisia ni kwamba CCM mpaka sasa hawajui wafanye lipi, kwa ufupi ile mahakama ni gheresha tu, lakini huko juu wanawaza na kuwazua hii kesi wafanye kipi...

Lissu kuachiwa huru ni pigo kwa CCM, na wakisema ana hatia ni mhaini pia sote tunaelewa nini kitatokea...

Sasa ndipo chawa wanaanza kujitokeza na kusema 'aombe msamaha'... acheni unafiki... Hivi unafikiri Lissu hapo gerezani anashindwa mwenyewe kusema kwa mdomo wake? ama akapewa simu akawasiliana na watawala kwamba yaishe?

Mwingine kafungua uzi huko juu eti Heche aandike barua ya kuomba msamaha kwa Lissu yeye aipeleke ikulu... hivi Lissu akihitaji msamaha anashindwa kusema?

Acheni ujuaji usio na maana...

Tunasubiri hio hukumu isomwe... msichengeshe mambo... walimfungulia kesi, sasa acha waimalize..
Mtu anapokuwa kwenye changamoto huwa kuna baadhi ya mambo anaweza asiyaone ndio maana watu huomba ushauri kwa ndugu jamaa na marafiki.

Kama Lisu angekuwa na mawakili naamini angekuwa na approach tofauti na jambo lake.

Ila hii ya kukomaa mwenyewe itamsumbua.

Ukiangalia hata submissions zake hakuna content za maana ni malalamiko tu.
 
Kwanini asilalamike hali ya kuwa kesi ni ya mchongo..?

Tunasubiri asomewe hukumu...
 
Back
Top Bottom