Mwambie Heche mimi niko tayari kuipeleka barua kwa Rais Samia

Mwambie Heche mimi niko tayari kuipeleka barua kwa Rais Samia

Kumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Maria Sarungi ni chawa wa mmatengo aliyenyang'anywa tonge mdomoni na wahafidhina. Mange ni chawa wa raisi wa mawe.
Ukifuatilia vizuri trend huwa hawawagusi hao watu hata kwa bahati mbaya.
 
Wanyamwezi Wanasemaga “ Problems could always be solved but you had to think and think and think and then Remember “ 😎🤓🙋‍♂️ !
 
Kumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Asante Kaka Mkubwa, wasaidie hawa jamaa zetu.
Ila kwa stage ambayo kesi imefikia, no one can do anything bali ni kusubiri tuu hukumu, akikutwa hana hatia, ataachiwa na yatakuwa yamekwisha, akikutwa na hatia, atafungwa, na hapo sasa ndio mama atakuwa na mamlaka ya kufanya kitu, kumtoa kwa msamaha wa rais, ila msamaha wa rais haufuti hatia, kama atahukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi 6 jela, atakuwa amepoteza sifa za kugombea nafasi yoyote ya utumishi wa umma, hivyo akitoka kwa msamaha wa rais, shughuli pekee anayoweza kuendelea nayo ni kuwa mwanaharakati tuu lakini hawezi kugombea uongozi wa umma.

P
 
KAmbagaza wakati alimuonea huruma dhidi ya nduli jpm baada ya kumchapa masasi 32
Ni upumbavu. Huruma ipi? Huyu nduli dada ameua watanganyika wengi na kumtengenezea kesi ya kubumba sababu kwa hoja ameshindwana naye. Anamwita Lissu Simba na yeye anajiita Chura. Nduli Samuya Dada anamwogopa kila mtu.
 
Asante Kaka Mkubwa, wasaidie hawa jamaa zetu.
Ila kwa stage ambayo kesi imefikia, no one can do anything bali ni kusubiri tuu hukumu, akikutwa hana hatia, ataachiwa na yatakuwa yamekwisha, akikutwa na hatia, atafungwa, na hapo sasa ndio mama atakuwa na mamlaka ya kufanya kitu, kumtoa kwa msamaha wa rais, ila msamaha wa rais haufuti hatia, kama atahukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi 6 jela, atakuwa amepoteza sifa za kugombea nafasi yoyote ya utumishi wa umma, hivyo akitoka kwa msamaha wa rais, shughuli pekee anayoweza kuendelea nayo ni kuwa mwanaharakati tuu lakini hawezi kugombea uongozi wa umma.

P
Rage alifungwa miaka mitatu alipoachiwa kwa msamaha wa rais aligombea ubunge.
Mzee Eugine Maganga alifungwa kwa kosa la uhaini alipoachiwa kwa msamaha aligombea ubunge.

Hawa sheria ilikuwa inaruhusu ?
 
Rage alifungwa miaka mitatu alipoachiwa kwa msamaha wa rais aligombea ubunge.
Mzee Eugine Maganga alifungwa kwa kosa la uhaini alipoachiwa kwa msamaha aligombea ubunge.

Hawa sheria ilikuwa inaruhusu ?
Sheria ilikuwepo na hairuhusu, tena sio hao tuu, hata mbunge wa Njombe, ametoka jela kwa majadiliano ya plea bargain na DPP, haifuti hatia, inapunguza tuu kifungo, ila lazima mtu aweke pingamizi. Batili isipobatilishwa, inageuka halali. Na haramu isipoharimishwa inageuka halali,
P
 
Back
Top Bottom