Mwambie Heche mimi niko tayari kuipeleka barua kwa Rais Samia

Mwambie Heche mimi niko tayari kuipeleka barua kwa Rais Samia

Kwani tarehe sita si kesho kutwa hapo, mbona mambo ya sijui aombe msamaha yameanza tunasubiri hukumu tu, ni either anyongwe au akutwe hana hatia
 
Ushasikia wapi mhaini anasamehewa?
Bibi Titi na akina Mohamed Abdulrahman Babu walisamehewa baada ya kuhukumiwa na kukaa jela mwaka mmoja kwenye kesi ya mwaka 1970.

Akina Zacharia Hanspope na akina Hatty MacGhee walisamehewa miaka ya 1990s baada ya kuhukumiwa kesi ya uhaini ya mwaka 1983
 
Rage alifungwa miaka mitatu alipoachiwa kwa msamaha wa rais aligombea ubunge.
Mzee Eugine Maganga alifungwa kwa kosa la uhaini alipoachiwa kwa msamaha aligombea ubunge.

Hawa sheria ilikuwa inaruhusu ?
Rage alishinda rufaa yake akiwa uraiani, alilijuwa hili ndio maana licha ya kuachiwa huru bado alikata rufaa ili mahakama imuweke huru kweli.
 
Sheria ilikuwepo na hairuhusu, tena sio hao tuu, hata mbunge wa Njombe, ametoka jela kwa majadiliano ya plea bargain na DPP, haifuti hatia, inapunguza tuu kifungo, ila lazima mtu aweke pingamizi. Batili isipobatilishwa, inageuka halali. Na haramu isipoharimishwa inageuka halali,
P
Kama watawala wana game plan yao nje ya mahakama kumuondowa Lisu kugombea Urais wanapoteza muda bure na kuwajaza watu hasira, hii ngoma itakwenda Court of Appeal chini ya jopo la majaji saba huwa hawapokeagi maelekezo Lisu ndio anakwenda kuwavuwa nguo kule, bora wakubali wao yaishe sasa kuliko kuhairisha tatizo, time itakapokuja kulilipuwa bomu walilolitengeneza wenyewe watajuta.
 
Hivi Magufuli wakati anatowa msamaha kwa Babu Seya na watoto wake wewe ulikuwa umelewa viroba?
Kwani Babu Seya alikutwa na kesi ya uhaini, au ubakaji? Hivi unacheza na uhaini, jaribio la kupindua serikali au kumpindua Raisi ni sawa na ubakaji?
 
Kama watawala wana game plan yao nje ya mahakama kumuondowa Lisu kugombea Urais wanapoteza muda bure na kuwajaza watu hasira, hii ngoma itakwenda Court of Appeal chini ya jopo la majaji saba huwa hawapokeagi maelekezo Lisu ndio anakwenda kuwavuwa nguo kule, bora wakubali wao yaishe sasa kuliko kuhairisha tatizo, time itakapokuja kulilipuwa bomu walilolitengeneza wenyewe watajuta.
Nchi hii, tuna majitu majinga sana!, yanafanya mambo ya kijinga kwa papa bila kuzingatia the law of unintended consequences, mwisho wa siku wanachafua nchi!, hata mwanafunzi wa certificate in law anajua uhaini sio maneno, ni matendo na mipango mkakati, mtu kusema tutakinukisha sio uhaini ni just sedition, kama Mahakama kuu itatoa uamuzi wa haki bin haki, Ijumaa Tundu Lissu is a free man!, lakini kama ni maelekezo, let them do walichoelekezwa, halafu the law of unintended consequences, itawafundisha adabu!.

P.
 
Rage alishinda rufaa yake akiwa uraiani, alilijuwa hili ndio maana licha ya kuachiwa huru bado alikata rufaa ili mahakama imuweke huru kweli.
Kabla ya rufaa aliachiwa kwa msamaha wa Rais kwanza
 
Kumbe ndo kinachongojewa hicho.
Mzee wangu shida ipo kwa lisu ana misimamo yake no reform no election.
Sasa yale anayoyataka yametimizwa?
Mfano tume huru ya uchaguzi na katiba mpya je vimepatikana?
Kwa hyo misimamo yake ndo kikwazo.
Kwa mbowe iliwezekana
 
Back
Top Bottom