Mwambie Heche mimi niko tayari kuipeleka barua kwa Rais Samia

Ikiandikwa barua, nitaipeleka Ikulu.
Sitaisoma. Sitahitaji kuisoma.
Chadema waiandike,mimi nitaipeleka.
Usiwe kama mbuni anayeficha kichwa chake kwenye chaka wakati matako yake yako wazi
Msamaha wa Nini?
 
Lissu inawezekana kuna mambo mengi hawezi kufanya, ila kuongea hashindwi. Angetaka huo msamaha angesema
 
Aombe msamaha wakati hukumu ni kesho kutwa?.
Jaji anaweza kupewa hukumu na kazi yake ikawa ni kuisoma tu, au haujasikia ya Uganda? Mtoto wa Museven anataka kumtowa jela Kiza Besigye amemtuma mtu aongee naye, mahakama wala haihusiki.
 
Ikiandikwa barua, nitaipeleka Ikulu.
Sitaisoma. Sitahitaji kuisoma.
Chadema waiandike,mimi nitaipeleka.
Usiwe kama mbuni anayeficha kichwa chake kwenye chaka wakati matako yake yako wazi
Wewe utakuwa umetumwa..
 
Utalijua kosa tarehe 6 November
Kama ana kosa, kesi ipo mahakamani..
Kosa la uhaini adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa..
Lissu haombi msamaha wowote, na tunasubiri tuone akisomewa hio adhabu ya kunyongwa, tupo hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…