Mzee wangu haujaweka hata kifungu cha Sheria kwa kipindi anagombea Mzee Maganga na Rage possibility ya kuwekewa mapingamizi ilikuwa kubwa na yangeweza kusikilizwa.Sheria ilikuwepo na hairuhusu, tena sio hao tuu, hata mbunge wa Njombe, ametoka jela kwa majadiliano ya player bargain na DPP, haifuti hatia, inapunguza tuu kifungo, ila lazima mtu aweke pingamizi. Batili isipobatilishwa, inageuka halali. Na haramu isipoharimishwa inageuka halali,
P
Unaongea vile tuu hauko jela.Aombe msamaha amefanya kosa gani?
Hivi ninyi chawa mna shida gani?
Unaongea vile tuu hauko jela.
MTU kaamua kukuonea tuu na ana mamlaka ya kukuonea, sasa anakupa masharti ili asiendelee kukuonea halafu ambaye hayuko jela anashabikia usitoke sababu huna kosa.
Kuwa jela wakati huna kosa kunauma Sana Bora uwe na kosa utajutia kosa lako kuliko anavyoonewa Lissu.
Msamaha kwa kosa gani? Blood bastard
Uhalisia ni kwamba CCM mpaka sasa hawajui wafanye lipi, kwa ufupi ile mahakama ni gheresha tu, lakini huko juu wanawaza na kuwazua hii kesi wafanye kipi...Unaongea vile tuu hauko jela.
MTU kaamua kukuonea tuu na ana mamlaka ya kukuonea, sasa anakupa masharti ili asiendelee kukuonea halafu ambaye hayuko jela anashabikia usitoke sababu huna kosa.
Kuwa jela wakati huna kosa kunauma Sana Bora uwe na kosa utajutia kosa lako kuliko anavyoonewa Lissu.
huyu mwanamke atakufa kifo cha Yezebeli, mbwa watairamba damu yake. baada ya mwili wake kuliwaKumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Kumbe tunachati naye hapa jukwaaniWewe Samia alivyokuja butiama si ulifungiwa chumbani ili usionane na ugeni ule kwa sababu ilionekana kichwani hauko sawa?
Kwani alikiri kuwa alifanya kosa?Aombe msamaha amefanya kosa gani?
Hivi ninyi chawa mna shida gani?
Sasa kwa nini mtu anaetumia crack cocaine aweze kuwavuruga ????Kumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Hapana..Kwani alikiri kuwa alifanya kosa?
Pumbavu kumbe Lema linawasiliana na samia....Kumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Humu Kuna watu wakubwa kwa umri sawa na baba zetu mkuuKumbe tunachati naye hapa jukwaani
Lissu kuwekwa ndani ni project ya Mange na watu wake ili wapige pesa. Huoni wengine wameshaanza kujiita mwenyekiti wa chama wakati yeye ni mamakamu tu. Pia nasikia hela za chama toka kwa wadau mbalimbali zinawekwa kwenye akaunti ya makamu ili kukamilisha project na kufanya viongozi wengine wakose fedhaKumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Mtu anapokuwa kwenye changamoto huwa kuna baadhi ya mambo anaweza asiyaone ndio maana watu huomba ushauri kwa ndugu jamaa na marafiki.Uhalisia ni kwamba CCM mpaka sasa hawajui wafanye lipi, kwa ufupi ile mahakama ni gheresha tu, lakini huko juu wanawaza na kuwazua hii kesi wafanye kipi...
Lissu kuachiwa huru ni pigo kwa CCM, na wakisema ana hatia ni mhaini pia sote tunaelewa nini kitatokea...
Sasa ndipo chawa wanaanza kujitokeza na kusema 'aombe msamaha'... acheni unafiki... Hivi unafikiri Lissu hapo gerezani anashindwa mwenyewe kusema kwa mdomo wake? ama akapewa simu akawasiliana na watawala kwamba yaishe?
Mwingine kafungua uzi huko juu eti Heche aandike barua ya kuomba msamaha kwa Lissu yeye aipeleke ikulu... hivi Lissu akihitaji msamaha anashindwa kusema?
Acheni ujuaji usio na maana...
Tunasubiri hio hukumu isomwe... msichengeshe mambo... walimfungulia kesi, sasa acha waimalize..
Aisee kazi ni kipimo cha utuHumu Kuna watu wakubwa kwa umri sawa na baba zetu mkuu
mtetezi nae atetewe.Kumwombea msamaha Lissu.
Waandike barua,mimi nitaipeleka Ikulu.
Yule Mange anatumia crack cocaine.
Anataka kuivuruga Chadema.
Kwanini asilalamike hali ya kuwa kesi ni ya mchongo..?Mtu anapokuwa kwenye changamoto huwa kuna baadhi ya mambo anaweza asiyaone ndio maana watu huomba ushauri kwa ndugu jamaa na marafiki.
Kama Lisu angekuwa na mawakili naamini angekuwa na approach tofauti na jambo lake.
Ila hii ya kukomaa mwenyewe itamsumbua.
Ukiangalia hata submissions zake hakuna content za maana ni malalamiko tu.